Maisha ya Dar es Salaam miaka ya 1950

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,916
30,259
DAR ES SALAAM YA MIAKA YA 1950

Naeleza maisha ya wenyeji wa Dar es Salaaam ya 1950 kama nilivyoyakuta wakati nazaliwa.

Nagusia barza za kahawa na wauza kahawa, naeleza picha kutoka Maktaba ya Ali Msham iliyopigwa mwaka wa 1955 ikiwaonyesha watu waliohudhuria dua maalum ya kumuombea salama Julius Nyerere katika safari yake ya UNO.

Dua hii ilifanyika nyumbani kwa Ali Msham ambako alifungua tawi la TANU.

Picha hii kwa bahati mbaya iimeelezwa mitandaoni kuwa ni Mtaa wa Congo miaka ya 1920.

Nimewaeleza kwa ufupi Mama Daisy na Mama Maria Nyerere walivyosuhubiana katika miaka hii kama wanawake vijana ambao waume zao walikuwa mstari wa mbele katika TANU kupigania uhuru wa Tanganyika.

(Video hii ni kutoka Channel Ten kipindi Siri ya Sifuri).

 
Back
Top Bottom