maisha

  1. Emanuel Eckson

    JamiiForums Tanzania Jela Kifungo cha Maisha kwa Kumlawiti Mtoto wa Miaka 9

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh500,000. Kati ya Mei 3, 2020 maeneo ya Chamanzi...
  2. etton1999

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maisha si leo tu, Utawala Bora unaanzia nyumbani

    “Most people do not really want freedom, because freedom involves responsibility, and most people are frightened of responsibility.” Sigmund Freud ”Watu wengu hawataki uhuru wa kweli, sababu uhuru unahusisha jukumu, na watu wengi wanaogofya jukumu” Sigmund Freud Wakati tunaendelea na...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Je, Hamza alirogwa? Jinsi wachawi wanavyo tumia roho wa mauti kuharibu hatma za maisha ya watu

    Awali ya yote ninatoa pole zangu za dhati kabisa kwa ndugu jamaa na marafiki walio poteza ndugu zao kwenye tukio la salender. Tukio hili lililo kinyume na utu " INHUMANITY " LIlikuwa ni tukio baya kabisa kuwahi kutokea katika ardhi ya jiji la Dar Es...
  4. M

    JamiiForums Tanzania 20,20,60 na namna inavyofanya kazi katika maisha

    Kwanza tumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai,afya silika na tabia njema Miongoni mwa vitu jamii nyingi inavikosa ni kulazimisha kupendwa/kukubarika katika kila hatua anayopitia, na hali hii huleta msongo wa mawazo pale inapotokea hilo hitaji lako linapokutana na vikwazo na kupelekea kujihisi una...
  5. Yenga08

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya maisha?

    Habari wana janvi, Naomba mwenye kujuwa maana halisi ya maisha anijuze maana nimekuwa nikifikilia sana kuhusu maisha lakini sipati maana halisi. Unakuta mtu anasema huyu atakuja kuwa na maisha magumu sana au maisha marahisi sana. Je, maisha ni uhai anaokuwa nao mtu, au maisha ni zile kazi za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msidanganywe eti sasa hivi hali ya maisha ughaibuni ni rahisi

    Mzuka wanajamvi! Nitasema tu ukweli. Hali ya maisha sasa hivi ughaibuni / ulaya ama mamtoni ni ngumu sana. Maisha yamekuwa Magumu sana hasa kwaanzia mwezi wa tatu mwaka jana baadaya hii Corona. Maelfu na Maelfu wamepoteza kazi zao na kujiandikisha kwenye employment benefits. Kazi za kubeba...
  7. Liverpool VPN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa huwa zinaua ndoto zenu za maisha?

    Wajumbe Wazima? Ni yuleyule Mr. Liverpool from Anfield. Baada ya salamu hebu twende direct kwenye mada. Kwanini mkishaoa huwa ndoto zenu zina kufa? Scenario 01:- Walimu wa2 from Songwe. Hawa jamaa nilikutana nao 2012 Tunduma, tukawa marafiki. Kwenye maongezi yetu nikagundua waliajiriwa 2011...
  8. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

    Haabari wadau..! Maisha ya UDSM enzi hizo yalikuwa powa sana sijajua kwa sasa. Tuanzie wapi ,ngoja tuanze na Boom enzi hizo lilikuwa 4000/= kwa siku ila tulivyoingia chuo ikabidi tufanye mgomo Boom liongezwe watoto wa mama hawataelewa. Maandamano yalianzia Revo Square sijuhi kama watoto wa...
  9. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kubadili Mwelekeo ni Katika Njia ya Kufikia Mafanikio, Using'ang'ane na Ulichonacho

    Katika maisha kuhangaika ni jambo la kawaida bila kujali wewe ni mfanyabiashara, mkulima, mfugaji, mwanasiasa, mtumishi wa uma, mvuvi, msanii au mwanasanaa, fundi nk. Kila mmoja ana jambo ambalo linamshugulisha ili aweze kuendesha maisha yake ya kila siku. Kupitia shuguli hizo baadhi yetu hupata...
  10. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Pakacha la Mimba, Masomo na Maisha nimbebeshe nani?

    Nilipopata akili nilisimuliwa kuwa wazazi wangu walifariki nikiwa mdogo sana. Baba alitangulia na baadae Mama. Walezi wangu wakawa babu na bibi ambao ni wakulima kijijini Manda. Siku moja, nikiwa darasa la tatu walipita wageni nyumbani ambao walikuja kwa shughuli zao pale kijijini. Walisikia...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond Baba Lao unatufundisha maisha ya mwanadamu sio milele

    Kwenye wimbo wa Diamond wa Baba Lao yope wanatajwa na kusifiwa watu ambao Leo hawapo Tena kwenye circles of power . Magufuli baba Lao. Makonda baba Lao . Hawa Leo wote hawapo mmoja kafa mwingine majaliwa yake anajua Mungu. Funzo tukanyage kwa adabu ardhi ya Mungu.
  12. Freiston

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda? Siri ni hii

    Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda kwa kipindi hiki kifupi? Labda nianzie hapa. Kwa kipindi cha karibu miaka sita cha mnyonge mnyongeni, wanyonge waliishi kama malaika wakati matajiri waishi kama mashetani. Hivyo chochote kile ambacho kingefanyika kumnyonya huyu mnyonge kisingeruhusiwa...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wakatwa tozo la miamala katika picha

  14. Mr Excel

    JamiiForums Tanzania Ni vipi kusaidia wengine kutaboresha maisha yako?

    Faida tano zinazopatikana kwa kusaidia wengine wenye uhitaji. 1.Utakuwa na furaha zaidi 2.Hujenga mahusiano mazuri na urafiki katika jamii. 3.Inakujenga kuwa mvumilivu katika kupitia nyakati ngumu. 4.Kitendo cha kusaidia wengine ni kizuri kwa maendeleo yako binafsi. 5.Inaweza kufanikisha...
  15. hata mimi

    JamiiForums Tanzania Haya ni maneno mawili muhimu Maishani

    Kuna maneno mawili ambayo ukiyachukulia kikawaida unaweza kuyadharau sana lakini ni maneno ya muhimu sana kuyatumia kwenye maisha yetu ya kila siku 1.SAMAHANI Vyovyote utakavyoiweka iwe kumradhi, nisamehe, niwie radhi, tafadhali nk; ilimradi tu uoneshe kukiri/kujutia kosa ulilofanya...
  16. cabo

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ya kila siku na kioja cha leo

    Habari ndugu jamaa na marafiki wa jukwaa hili. Wengi mtashangaa kwanini kichwa cha habari kinasema ivo ni kwasabu nitaweka vitu vinavyonitokea au nitakavyo vifanya daily au kitakaponitokea chochote iwe ni cha kipuuzi au cha kuelemisha au cha kuchangamsha. Tukio la kwanza : juzi bhana wakati...
  17. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania Yaliyojificha Mochwari, hatosahau, maiti kufufuka, kupakwa makeup aliekaa miaka 7 anahudumia maiti

    Ushawahi kujiuliza nani atakuandaaa siku yako ya mwisho pale mwili utakapotengana na roho, nani atakuosha, nani atakuvisha? au ushajiuliza inakuwaje pale mtu anapofariki katika ajali viungo vyake vya mwili vikatengana, utumbo ukatoka nje? Maswali hayo yakanifanya nifunge safari mpaka Hospitali...
  18. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri jinsi ya kuanza maisha ya kuwa single

    Mimi ni mdada na kazi yangu na maisha yangu, nimekuja kuomba ushauri jinsi ya kuweza kuishi single maana mchumba niliyekuwa naye ameniumiza. Nataka nianze kuwa single, niishi vipi mpaka nimsahau kabisa na maisha yaendelee?
  19. Vaislay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wa sasa acheni kukurupukia ndoa

    Habari za muda huu wapendwa katika bwana. Naomba niseme hili kwa uchache tu. Mabinti wengi wamekuwa moto mno na kujikuta wanangukia pua wakitangaziwa ndoa na hawa watoto wetu wa kiume wenye mikakati yao, bila kuchukua muda wa kumsoma na kumfahamu muoaji, mwisho wa siku wanatutesa wanandugu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yanakwenda kasi sana. Juzi tu Polepole alikuwa kidume hapo Lumumba

    Nikifikiria jinsi Mzee wa mavieite alivyokuwa na madharau na jinsi alivyokuwa anawapiga mkwara viongozi waandamizi wa CCM lakini leo hii naye anapigwa mkwara na Chongolo nabaki kujisemea tu dunia inazunguka. Vijana ishini na watu wote kwa heshima na adabu, hakuna aijuae kesho yake. Polepole...
Back
Top Bottom