Siku hizi naona Walimu wana maisha mazuri sana

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,745
Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje.

Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu.

Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh?

Mitano tena kwa mama yetu.
 
Walimu wa kike ndio wanapaki hayo magari.

Ni wake wa ma bosi. Ma engineer, na wafanyabiashara wengi..

Mshahara wake hauna kazi nyumbani ndio maana wanaendesha gari kali.

Kwa Tgs za manispaa ama halmashauri mwalimu anunue gari ya milion 20 ama 30 familia itakula nini? Na mafuta ataweka na nini?
 
Mazuri sana kwa mshahara huu huu wa tgts C, D, E na F bila posho?

Sema tu wameamua kumiliki magari ila bado hawana maisha mazuri.

Maslahi ya mlinzi wa bandari inampiku headmaster kabisa
Inasemekana walimu ndiyo watumishi wa serikali kuu wanaolipwa mshahara mkubwa.kuna ukweli hapo mkuu?
 
Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje.

Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu.

Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh?

Mitano tena kwa mama yetu.
Kwa hiyo,mtu akiwa na gari ndo ana maisha mazuri?
 
Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje.

Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu.

Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh?

Mitano tena kwa mama yetu.
Upande wa pili kuna shule ya msingi kanapakigi kastarlet kamoja kama roho,pale Kisauke Sec kweli ni mengi na wengi ni akina mama
 
Back
Top Bottom