maisha

  1. MovingForward

    Iringa mlimpiga makofi Queen Sendiga, sasa ndiyo mkuu wenu wa Mkoa

    Maisha ni darasa, Ahsante mama Samia Suluhu Hassan kwa funzo hili kwa Watanzania.
  2. comte

    Watu wengi tunapitia maisha ya kuhukumu na kuhukumiwa kirahisi tu

  3. R

    Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

    Habari za mida wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni member wa JF muda ila imenibidi nifungue ID mpya kutokana na kuepusha sintofahamu za hapa na pale..ningependa nisamehewe mimi sio muandishi mzuri sana ila nadhani ntaeleweka. Mimi ni kijana wa mid 30's ni mwenyeji wa mikoa ya...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Maajabu ya orodha ya tisa kwenye maisha ya mwanadamu

    MAAJABU YA TEBO YA TISA KWENYE MAISHA YA MWANADAMU 9×1=9 miez ya kuishi tumboni 9×2=18 umri wa kutambulika mtu mzima kwa baadhi ya nchi 9×3=27 miaka ya ukomavu na binadam kijana anaweza anza kunitegemea kila kitu makazi,malazi na mengneyo 9×4=36 miaka ya kuweza muda kulea( kuanzisha au...
  5. Chizi Maarifa

    Watanzania wengi wanaamini adui yao mkuu alikuwa ni Sabaya. Wamefurahi wameridhika Maisha yanaendelea. Adui Mkuu anatabasamu tu

    Jambo alilofanya Samia Suluhu la kumpumzisha Aliyekuwa DC wa Hai Bwana Sabaya linapaswa liwe jadi ya nchi na wananchi husika. Halipaswi liwe ni jambo kuu la kitaifa katika ulimwengu wa watu wastaarabu,wenye akili au uelewa. Alikuwepo Makonda Dar es salaam.alifanya aliyoyafanya mpaka alipokuja...
  6. N

    Hatari ya anga za juu: Kuna vyombo vingine vinavyotishia maisha ya binadamu katika anga za juu vinavyoweza kuangukia dunia wakati wowote

    Hatari ya anga za juu:Kuna vyombo vingine vinavyotishia maisha ya binadamu katika anga za juu vinavyoweza kuangukia dunia wakati wowote Ulimwengu haupo salama. Licha ya kuanguka kwa njia salama kwa roketi ya China kutoka anga za juu na kuwapa watu wengi afueni, bado kuna hatari kwani kuna zaidi...
  7. Baba jayaron

    Maisha yanapokufanya uonee wivu marehemu

    Wasalaam, Jamani hali ya maisha imekua ngumu, kila kukicha mikosi. Kila dili linafeli, ukiwa na shida marafiki wanakimbia, ukiomba msaada wanadhani unawakejeli hawakupi. Ukiwaza kuroga upate pesa za ndago roho inasita maana umelelewa katika ukristo mpaka ndani ya moyo wako. Nikijipa moyo...
  8. The Garang

    Nimekataliwa kisa ni mwanachuo

    Habarini za jioni wana jamvi. Kuna binti tumefahamiana miaka miwili iliopita, ni dada ambae tunakaa sehemu moja. Aliniomba urafiki kwa kuwa alikuwa ananijuaa lakini mie sikuwa namjuaa kwakuwa kwao ni geti kali kidogo na ni mtu wa kushinda dukani. Maisha yakaendelea baada ya kumkubalia ombi...
  9. K

    Rais Samia azindua Kitabu cha Maisha ya Rais wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi

    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa. ======== Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
  10. j_h_kirigini

    Kwanini wanawake wanashindwa kufanya haya matano?

    1. Lala nae (muhimu kuliko yote) 2. Mlishe ashibe 3. Muheshimu 4. Mwache awe na amani 5. Usimuingilie katika mambo yake. Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
  11. bongo man

    Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu zangu bila shaka mwenyezimungu anaendelea kutupigania hadi sasa. Ndugu leo naona nilete story kidogo kuhusu safari yangu moja hivi nchini DRC mikasa na visa mbali mbali kwa kipindi chote cha safari wakati napambana na maisha kwenye...
  12. Daisy Llilies

    Maisha ya Wazungu kutoka Zama za Kilimo kwenda Zama za Viwanda

    Wenye viwanda walitangaza kazi na watu kutoka vijijini walihamia katika miji yenye viwanda. Nyumba zilikua na umeme lakini vyoo na bomba la maji vilikua nje. Kulikua na mabafu ya kulipia na watu wengi wa hali ya chini walimudu kuoga mara moja kwa wiki. Hizi ni enzi za The Poor Law...
  13. Sky Eclat

    Hali unayopitia katika maisha mapito tu, kaza mwendo

    Miaka ya 1980-90 kuna msichana mrembo aliishi Oyster Bay na baba yake. Baba yake alikua mfanya kazi wa ndani wa Mzungu na walipewa servants quater. Yule binti alikua na akili sana shule na alifaulu darasa la saba na kupata nafasi katika moja ya shule za wasichana za vipaji maalum Dar. Wavulana...
  14. M

    Nahitaji mke aliye tayari kwa ndoa halali

    Mimi ni Kijana Me Umri 32 Rangi: Mweupe wastan Mwajiriwa wa serikalini pia nimejiajiri Sijawahi oa wala sina mtoto Dini: islam Elimu: Bachelor Degree Height: 5.7 Umbo : wastan si mnene wala mwembama sana Mke anayehitajika Umri:22-29 Itapendeza zaidi kama atakuwa mwembamba wastan Rangi: Mweupe...
  15. J

    CCM ujana ni sifa ya ziada lakini CHADEMA ujana ni maisha yao. Sijajua UVCCM wanafeli wapi?

    Ni kawaida sana kumuona diwani, mbunge au Waziri wa CCM akitamba kwamba sasa kazi itafanyika kwa sababu yeye ni kijana. Na unaweza kukuta hata Kigwangalla au Shinza akijinasibu kwamba yeye ni kijana. Lakini Chadema vijana hawanaga hizo swaga wao utawatambua kwa matendo yao tu kuwa ni vijana na...
  16. J

    Rais Samia kwenye hili la ajira mpya umeturudisha nyuma alipotuachia Hayati Magufuli

    Rais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya 2020/2021 mwezi Februari alisema watatoa ajira milioni 12, iweje sasa Samia anatoa ajira elfu 40...
  17. Erythrocyte

    Happy Birthday Joseph Mbilinyi Mbunge uliyeiletea heshima kubwa Mbeya , Mungu akupe Maisha Marefu

    Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia . Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa...
  18. Kifaru86

    Maisha ya kuanza kujitegemea ukiwa mtu mzima Ni stress tupu vijana anzeni kujipanga from 25

    Kama nikipata nafasi ya kuzungumza na kijana mwenye umri chini ya miaka 30 ningemshauli aanze maisha ya kujitegemea akiwa na miaka 25 kuliko akisubilia afike 30,35 au 40 atakuja kupata stress hatari Kuna umri ukifika kama haukujianda kujitegemea ukiwa na umri kuanzia 25 ukishaanza kuwa mtu...
  19. O

    Ushauri: Baba hataki nimuoe binti kisa baba yake mkubwa alikuwa mwizi!

    Habarini za wakati huu mabibi na bwana wa JF.......! Mimi ni kijana wa kwanza kuzaliwa kwa wazazi wangu. Kwa sasa nina umri wa miaka 27, kama mjuavyo huo ni umri sahihi kabisa wa mimi kuwa na mwenza wa kusaidiana nae kulisongesha gurudumu la maisha...! Na mzee wangu amekua mastari wa mbele...
  20. Gemini Are Forever

    Nina mtaji wa sh. 60,000 nifanye biashara gani kwa Iringa?

    Shalom, Hatimaye nimefika Iringa baada ya kuamua kuondoka nyumbani na bado sijapata kazi wakuu. Ninachoshukuru kwa sasa angalau nimepata hifadhi japo sina uhakika kama ni ya kudumu. Pamoja na hayo, nina akiba yangu ya pesa kama Tsh. 60,000/= ambayo nimeona ni vyema niiwekeze katika biashara...
Back
Top Bottom