maisha

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Shutuma Kubwa walizonazo sioni akina Sabaya na Mbowe wakikwepa kuyaanza Maisha yao mapya na rasmi Gerezani

    Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa. Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana zamu kwenda Gerezani. Hukumu za hawa Wawili zitaionyesha Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ya Bi...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hali duni ya maisha inaweza athiri afya na kupelekea kifo

    Nidhahiri Hali duni ya kimaisha, hasa pale mtu anapougua na hali ya kipato chake cha maisha ni duni. Hii huweza kupelekea kukosa matibabu sahihi kwa wakati na hatimaye kupelekea kupoteza maisha. Vituo vya afya vya Serikali unaambiwa lipa kwanza upewe huduma, wakati huo mchana MTu hajui atakula...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tusikusanye tu tozo, tufikirie pia jinsi ya kuwaboreshea maisha hasa makazi na maji safi na salama.

  4. Chorter

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ni silaha muhimu, lakini Maisha huanza kwa kuthubutu

    Habari wanaJF, Mimi ni kijana niliyehitimu shahada ya bsc in math and ICT kutoka chuo kikuu Cha Mzumbe Morogoro mwaka 2018. Kipindi nipo chuo mtazamo wangu nilikuwa nawaza nisome nimalize chuo then niajiriwe, kwakweli nilijitahd sana kusoma kwa bidii na namshukuru sana Mungu nilifanikiwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanadamu katika dunia ya digitali yamekua usanii na rahisi sana

  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kudumu na kuishi maisha ya furaha na mwenza wako

    Hivi unakumbuka mara ngapi ulishawahi kumwambia maneno mazuri mwenza wako na yakamkosha hadi akafurahi? Hakuna Siri ya kwanini fulani amedumu na ana furaha katika maisha yake ya mapenzi. Unaweza kufanya vitu mbalimbali ili kuhakikisha unakuwa na unaishi kwa furaha na kudumu katika mapenzi...
  7. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na Engineer yeyote hana kazi, mchongo wala ramani yoyote ya maisha tafadhali mpige makofi

    Mods sitaki mbadili title, Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer. Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

    Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya maisha imesababisha watu wamekua wakatili zaidi ya wanyama, muuguzi anashona na kufumua jeraha kisa hela

    Yaani watu wamefikia kwenye level ambayo sio tena
  10. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Comrade Peter Magoti afunga pingu za maisha

    Leo tar 04 Septemba 2021, kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg Petro Magoti amefunga pingu za maisha na mchumba wake wa muda mrefu, mrembo Joyce Mvungi. Kada huyu ambaye anafanya kama Ofisa Makao Makuu ya Chama. Alikuwa msaidizi wa karibu sana kwa aliyekuwa Katibu wa NEC, Siasa...
  11. Genius jack

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nitaishije Maisha Yenye Faida

    Hivi ulishajiuliza kwanini upo hai mpaka leo? Hili ni swali gumu sana lakini sio kila mmoja anaweza kutoa majibu sahihi, kwa ufasaha wa swali hili ni lazima mtu awe alishajiuliza ni kwanini kwanza anaishi. Ndipo aje ajiulize juu ya ukomo wa maisha. Lazima tukubali hakuna kitu kinaweza kutokea...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania Picha hii ni somo kubwa kuwa maisha ni safari ndefu sana inayoandikwa ikifika ukomo

  13. K

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za maisha

    Nijambo la kushangaza sana ,wananchi wanahuzuni kubwa kutokana na maisha kupanda kiasi hiki, lita ya petrol 2500, mafuta ya kula 6000 lita, makato ya simu kuongezeka, KUNA NINI NYUMA YA PAZIA?, mtueleze wananchi kuna nini kwenye uchumi,wananchi wanawalipa mishahara ,magari mazuri na kila raha...
  14. Mbu

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake). =======
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu na baada ya miaka hamsini: Simulizi ya maisha ya Shaaban Robert

    Hii ni simulizi ya maisha ya Shaaban Robert kama ilivyoandikwa na yeye mwenyewe. Fuatana nami uisome hapa, pia unaweza kuisoma bure ndani ya maktaba app (by pictuss) inayopatikana playstore. DIBAJI Ni fahari kubwa kwangu kukaribishwa kuandika maneno machache kuhusu kazi na sifa za marehemu...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Najipanga kwenda Canada kutafuta maisha

    Hello guys mambo vipi poleni na majukumu. Kwa majina Naitwa Omary naishi Nairobi ila elimu yangu ya Msingi mpaka Chuo nimepata Tanzania. Naamini hii ni platform kubwa sanaa ambayo imejaa watu wa kila aina hivyo basi nategemea once nitakavyo leta swala langu kwa ajiri ya ushauli ni furaha yangu...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dada alivyohitimisha maisha ya ndoto yake

    Anaitwa Bahati, tangu akiwa mdogo alishaamua atapambana na maisha na kuboresha maisha ya familia yao. Baba yake alikua Mchungaji wa kanisa, mama mwalimu. Wakizaliwa sita na kati ya hao wa kike walikua wanne. Baba yao alipokea wageni wengi wa kanisa kutoka nchi mbalimbali. Kuna wakati...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dar: Afungwa maisha jela kwa kumlawiti mtoto wa miaka tisa

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh. 500,000. Kati ya Mei 3, 2020 maeneo ya Chamanzi...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

    Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile. Alilia Sana Akatoa haja zote Mwisho alilia machozi Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu. Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan. Superbug
  20. Emanuel Eckson

    JamiiForums Tanzania Jela Kifungo cha Maisha kwa Kumlawiti Mtoto wa Miaka 9

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh500,000. Kati ya Mei 3, 2020 maeneo ya Chamanzi...
Back
Top Bottom