Genius Hayati Magufuli Hakuongeza Mshahara ila Maisha yaliendana na Kipato

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,037
71,271
Kuna ambaye bado anabisha tu kua Hayati JPM alikua ni Genius? Kwamba Hayati JPM alikua ni Mteule wa Mungu aloletwa Kuwainua Watanzania !!.?

Watumishi wa Umma hao , walimu kama nawaona , Mapolisi kama nawaona ( Hawa watu wawili Wana Maisha ya tabu sana ) Lakini ndio wa kwanza kuimba nyimbo za mapambio Kila kukicha !!

Nirudi kwenye Mada, Niliposikia Vifujo na mayowe kisa Rais Samia kasema 23% nilicheka sanaaaa, nikawaonea huruma, pasipo kujali ni kiasi gan Cha Pesa kingeongezwa,

Swali pekee nilojiuliza lilikua ni hii👇

👉Je hiyo 23% itapambana na HII INFLATION TUNAYOISHUDIA ?

Petrol Juu, Diesel Juu, Mafuta ya Taa Juu , Mafuta ya Kupikia Juu, Gas Juu sana, Nauli juu, Vyakula ndo usiguse juuu sana na Kuna Njaaa inakuja Iko njiani haijawah shuhudiwa ( endeleen kuruhusu wakulima wauze nje ) , Sabuni Juu, Sukari juuu sana Umeme Juu,

Nchi hiii Kila kitu kipo juuu Kwa Sasa na vinaendelea kua Juu !!

Haya Sasa Nyongeza hiyo hapo, mnasemaje ??. Mmeacha kubweka ?
bado mna la kusema juu ya Chuma JPM??..

HIi Nchi kama lilivyo Bara la Afrika Kwa ujumla, tunakoswa viongozi wenye Maono, watu ni viongozi sababu wanataka waonekane kwenye Rununga, wapigiwe Saluti, Magari ya bure ,Majumba ya bure, Walindwe ,na watumie Pesa za Umma Kwa faida za familia zao na matumbo Yao wenyewe .

katika Nyakati za Sasa, Kwa hakika, Kiongozi aina ya Hayati MAGUFULI ni mwibaa mchungu Kwa watu wachache lakini Mwenye Maana kubwa Kwa Watanzania walio Wengi !!

Hii Nchi inahitaji Viongozi wenye Maono, Akili zilizokomaa na Pevu, watu wazalendo wenye Kupenda na wapo tayari kuifia nchi Kwa faida ya Wananchi wenyewe kama alivyokua JPM.

Sahizi Nchi Haina hata Bei Elekezi, wafanyabiashara wanajiamulia tu wanavyotaka, MAKODI MENGI YA KIJINGA bahati mbaya MAKODI yenyewe yanadeal na watu wakawaida, Wafanyabiashara wanaambiwa ni wawekezaji wazuri wapewe misamaha ya Kodi !!

Kuanzia Leo mkome kabisa Kumfananisha Hayati JPM , Chuma, Genius , Akili kubwa na Hawa mbumbumbu wenu wa Sasa wasotulia nchini Kila kukicha ni Nje ya Nchi utadhan Nchi inajengwa na Mabeberu !!.

Hata Ukope kiasi gani, kama Hauna Upeo, Maono , Usimamizi na Uadilifu utawaumiza Watanzania tu!!.

Hivi bila JPM Leo hii kweli hata haya machache makubwa ambayo tunayaona kama Alana za uongozi wake, Yangekuwepo?

Watumishi wa Umma nanyie acheni Ujinga, kutegemea Mshahara , achen kua na Akili mgando , wekezeni ,muongezee mzunguko wa Pesa kwenye mifuko yenu !!....bila Ivo mtalia sana ,mtalia sanaaa na ndo kwanza Vita ya ' Ukraine na COVID-19 ' kama ilivyo kisingizo Cha mbumbumbu wetu ,ndo kwanza vinaanza !!.

JPM aliwezaje ?
 
Huyu alikua mtu na nusu sema ndo ivo
FYRhCRCXgAIWphT.jpeg
 
Leo kuna watu hata haibu wanaona kuandika humu, wkt ule wa siku 100 nilisema jamani muda bado msishangilie muda bado sana wa kutoa credit!.

Leo naona mada zinajaza sever oooh tumezurumiwa, oooh 20k ndogo, oooh tuliahidiwa 23%, oooh mbona hamna huruma na wafanyakazi nk.

Bado kidogo wataanza kumtaja japo kwa lugha nyingine ili kificha aibu, ahahaaaa!!, Dunia yetu sote hii kila kitu ni hapa hapa duniani.

👉🏾Tuwe wavumilivu.
 
Ukweli ni kwamba watu wengi walimkubali JPM kwa uthubutu,lakin ndo hivyo ameshafariki ,hatuwez kupaki bus tukawa tunalialia lazima nchi iende .. tumempata mama twende nae nchi isonge mbele tujikwamue tulipo,Angekuwa hai tungesema baba rud uendeleze kijiti ,lakin ndo amefariki tuutumie mpini tulionao tutapata mavuno mbele ya safari Inshaallah
 
Alisema Mh.Lowasa yeye kipaumbele chake
No.1-Elimu
No.2-Elimu
No.
3-Elimu
Watanzania wengi hata elimu ya kujitambua tuu hawana,yaani mtu anaibiwa mwaka huu mwakani yule mwizi anarudi tena kuomba kumuibia anampa funguo aingie ili amuibie tena.
Ndo maana kuna kundi la watu walimchukia Magu kwa kuwa ni majizi. Na hao ndo kwa sasa wako kimyaa hawana habari na yanayotomea,wao busy kufanya back-up ya walizozirudisha wakati wa Magu.
 
Kuna ambaye bado anabisha tu kua Hayati JPM alikua ni Genius? Kwamba Hayati JPM alikua ni Mteule wa Mungu aloletwa Kuwainua Watanzania !!.?

Watumishi wa Umma hao , walimu kama nawaona , Mapolisi kama nawaona ( Hawa watu wawili Wana Maisha ya tabu sana ) Lakini ndio wa kwanza kuimba nyimbo za mapambio Kila kukicha !!

Nirudi kwenye Mada, Niliposikia Vifujo na mayowe kisa Rais Samia kasema 23% nilicheka sanaaaa, nikawaonea huruma, pasipo kujali ni kiasi gan Cha Pesa kingeongezwa,

Swali pekee nilojiuliza lilikua ni hii👇

👉Je hiyo 23% itapambana na HII INFLATION TUNAYOISHUDIA ?

Petrol Juu, Diesel Juu, Mafuta ya Taa Juu , Mafuta ya Kupikia Juu, Gas Juu sana, Nauli juu, Vyakula ndo usiguse juuu sana na Kuna Njaaa inakuja Iko njiani haijawah shuhudiwa ( endeleen kuruhusu wakulima wauze nje ) , Sabuni Juu, Sukari juuu sana Umeme Juu,

Nchi hiii Kila kitu kipo juuu Kwa Sasa na vinaendelea kua Juu !!

Haya Sasa Nyongeza hiyo hapo, mnasemaje ??. Mmeacha kubweka ?
bado mna la kusema juu ya Chuma JPM??..

HIi Nchi kama lilivyo Bara la Afrika Kwa ujumla, tunakoswa viongozi wenye Maono, watu ni viongozi sababu wanataka waonekane kwenye Rununga, wapigiwe Saluti, Magari ya bure ,Majumba ya bure, Walindwe ,na watumie Pesa za Umma Kwa faida za familia zao na matumbo Yao wenyewe .

katika Nyakati za Sasa, Kwa hakika, Kiongozi aina ya Hayati MAGUFULI ni mwibaa mchungu Kwa watu wachache lakini Mwenye Maana kubwa Kwa Watanzania walio Wengi !!

Hii Nchi inahitaji Viongozi wenye Maono, Akili zilizokomaa na Pevu, watu wazalendo wenye Kupenda na wapo tayari kuifia nchi Kwa faida ya Wananchi wenyewe kama alivyokua JPM.

Sahizi Nchi Haina hata Bei Elekezi, wafanyabiashara wanajiamulia tu wanavyotaka, MAKODI MENGI YA KIJINGA bahati mbaya MAKODI yenyewe yanadeal na watu wakawaida, Wafanyabiashara wanaambiwa ni wawekezaji wazuri wapewe misamaha ya Kodi !!

Kuanzia Leo mkome kabisa Kumfananisha Hayati JPM , Chuma, Genius , Akili kubwa na Hawa mbumbumbu wenu wa Sasa wasotulia nchini Kila kukicha ni Nje ya Nchi utadhan Nchi inajengwa na Mabeberu !!.

Hata Ukope kiasi gani, kama Hauna Upeo, Maono , Usimamizi na Uadilifu utawaumiza Watanzania tu!!.

Hivi bila JPM Leo hii kweli hata haya machache makubwa ambayo tunayaona kama Alana za uongozi wake, Yangekuwepo?????

Watumishi wa Umma nanyie acheni Ujinga, kutegemea Mshahara , achen kua na Akili mgando , wekezeni ,muongezee mzunguko wa Pesa kwenye mifuko yenu !!....bila Ivo mtalia sana ,mtalia sanaaa na ndo kwanza Vita ya ' Ukraine na COVID-19 ' kama ilivyo kisingizo Cha mbumbumbu wetu ,ndo kwanza vinaanza !!.

JPM aliwezaje ????

Hata yeye alikuwa mwizi tu,kama huyu,wapo watu waliumia,makampuni yalifungwa,watu walibambikiwa kesi Ili wanunue uhuru wao,
 
Back
Top Bottom