maisha

  1. technically

    JamiiForums Tanzania Tuyaishi maisha sio kutafuta maisha

    Vijana tusitafute maisha Bali tuyaishi maisha Tusitafute vyeo tuache vyeo vitutafute Tusitumikie pesa tuache pesa itutumikie. Tusimiliki pesa Bali tumiliki vanzo vya sisi kupata pesa Pesa Ni kama maji hata uchote vipi mwisho wa siku utayamwaga tu yarudi baharini
  2. Nevilly

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kwangu kunanitisha sana

    Habari zenu binadam wenzangu, wanajamii wenzangu, natumai ni wazima wote. Swali linalo nisumbua na kunitesa hadi sasa ni kwanini nipo kwenye mfumo wa kuchelewa chelewa sipati jbu. Umri wa mwanadamu wa kuishi ni miaka 60 tu, na mimi miaka 30 sasa ni Nusu ya umri wa binadam kuishi duniani ila...
  3. Alagwa

    JamiiForums Tanzania Whatapp, facebook na Insta zikifungwa mtaweza maisha bongo hii

    Kwa muda mfupi wa mitandaao hi ya kijamii kusumbua wate wengi wamekwama katika shughuli zao nyingi. Mfano mshijai wangu kazini kwako kila kitu ni kwenye group la whatapp la job sasa jioni nii mtandao hakuna ndio kama likizo kwake,, Je kama ikichukua muda mrefu halii hii tutaimudu?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kipanya na Katuni hii, aliona Mbali

    Pigisha hata kura ya maoni ulipo au hata katika ulio nao karibu: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kibonzo hapa kina hoja nzito.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80

    Dodoma. Waziri wa Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80 na zilizobakia mikoani hivi sasa ni chache. Jumla ya chanjo milioni 1.058 zilizopokelewa nchini kutoka nchini Marekani Julai 24, 2021 na uchanjaji ulizinduliwa rasmi Julai 29, 2021 na Rais...
  6. Invisible

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official languages, Swahili or English. Karibu +++++++++++++++++++++++++++++++++++++ If we don't change, we don't...
  7. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya: Mwongozo wa Maisha ya Mafanikio

    Rafiki yangu mpendwa, Huwezi kutoka nyumbani kwako na kwenda popote kama huna mwongozo unaoufuata. Hata kama haujauandika mahali, unajua kabisa utapita wapi na wapi ndiyo ufike kule unakotaka. Na hata unapokuwa njiani na kukutana na njia nyingine, hutahangaika nazo kwa sababu unajua njia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maisha kuwa magumu zaidi: China kuna matatizo ya umeme, Ulaya nako kuna mgao, gesi na makaa ya mawe ni dili kubwa

    Tanzania na Watanzania wenzangu mmeshuhudia kwa macho yenu kwamba vitu vimepanda Bei Mara dufu hasa vinavyotoka China na ulaya, hali ya maisha imekuwa mbaya Sana, uchumi wa dunia umetetereka. Tanzania tutegemee maisha kuwa makali zaidi, nchini China kuna shida kubwa ya umeme iliyosabishwa na...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Unahisi umekata tamaa kabisa ya maisha? Au unaishi maisha yenye misukosuko mingi? Au hufurahii kabisa maisha yako?

    Inaweza kuwa ni wewe unayesoma hapa, ama inaweza ikawa ni mtu unayemfahamu kama ndugu, jamaa ama rafiki. Vyovyote vile, tusaidie kumfikishia taarifa hii. Ndugu zangu katika Bwana. Kama unahisi upo kwenye maisha usiyoyafurahia, au upo kwenye maisha usio na amani nayo, basi wasiliana nami PM...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya sisi members wa jamiiforum tuna stress za maisha

    Kubali ukatae asilimia 90 ya sisi members wa jf ni stressed people hebu ona. Magret thinkers tunapoangukia ilinujue tuko stressed. 1. Wengi tuna kazi Bora. (Kazi huleta stress) 2.wengi tuna pesa.(pesa huleta stress) 3.Wengi tuna ndoa (ndoa huleta stress) 4. Wengi tuna chepuka.(kuchepuka huleta...
  11. ChrissD

    JamiiForums Tanzania SoC01 Upendo, kusudi la maisha

    Heko kwa mkandarasi yule tusiewahi kumuona, japo ndie muasisi wa vyote tunavyoviona, kuvisikia na kuvihisi. Ubora na wake ufanisi si vyepesi kuunena, tena abadan si rahisi kuuelezea kwa marefu wala mapana. Bila malalamiko ya wanyonge na shinikizo la mwenyekiti, wazo lilimjia tangu. Bila shahada...
  12. snap

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kauli "Maisha yenyewe mafupi" huwa ni mabaya

    "Maisha yenyewe mafupi" Sio ajabu kujibiwa hivyo kila Ukileta thread za kuonyesha madhara ya vitu mbalimbali vinavyoharibu na kudhoofisha miili yetu. Tumekuwa watu wakujifariji sana Lakini pale yakikutokea yakukutokea ndo utakapoona umuhimu wa maisha na afya kwa ujumla. Kwa kifupi matokeo ya...
  13. ChrissD

    JamiiForums Tanzania Upendo, kusudi la maisha

    Heko kwa mkandarasi yule tusiewahi kumuona, japo ndie muasisi wa vyote tunavyoviona, kuvisikia na kuvihisi. Ubora na wake ufanisi si vyepesi kuunena, tena abadan si rahisi kuuelezea kwa marefu wala mapana. Bila malalamiko ya wanyonge na shinikizo la mwenyekiti, wazo lilimjia tangu. Bila shahada...
  14. nyboma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana, inakuaje vijana wa sasa wanakubali kulelewa kama watoto wa kike

    Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa. Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu...
  15. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Mijadala katika club house ya Mindset Transformation inaweza kuboresha maisha yako

    Habari za kazi. Kuna tafsri nyingi juu ya motivation speakers duniani juu ya yale wasemayo na namna ya kuyatekeleza katika maisha halisi. lakini katika club house hii hakika kwa wiki mbili sasa nashiriki hakika kuna kitu cha tofauti. nimeona nami nishiriki kuwajulisha kwa wanaopenda kushiriki...
  16. Mmakedonia

    JamiiForums Tanzania Masaa 96 ya uamuzi wa maisha

    Salam ndugu wote wa JF, naomba kufungua uwanja huu nikiwa nimebakiza masaa 96 tu (siku nne) kufikia kilele cha udahili wa vyuo ngazi ya diploma awamu ya pili. Niliomba awamu ya kwanza katika vyuo vya serikali nikakosa, nikasubiri awamu ya pili lakini bahat mbaya vyuo vya serikali vimejaa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Siri ya mafanikio katika maisha ya binadamu

    SIRI YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YA BINADAMU NA: NESTER REUBEN 'Unazo nguvu za kujidhuru au kutojidhuru mwenyewe kama utachagua kutokuwa na furaha hakuna mtu anayeweza kukufanya ufurahi'' Angalia maisha yako. Je, kuna maeneo katika maisha yako hayakufurahishi? Maisha yako ni wajibu wako...
  18. Ntiyakama

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mitindo ya Maisha na Saratani

    Saratani ya matiti hutokea zaidi kwa wanawake, ingawa WANAUME pia wanaweza kuipata. Watu wengi hawafahamu kama wanaume pia wanayo matiti hivyo wanaweza kupata saratani ya matiti (American Cancer Society, 2020). Andiko hili litaeleza zaidi kuhusu SARATANI YA MATITI; ni nini, mitindo gani ya...
  19. Elly Twix

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mafanikio yapo mikononi mwako

    Je umewahi kujiuliza ni kwa nini watu waliofanikiwa kwenye maisha ni wachache kuliko ambao hawajafanikiwa? Kwa nini idadi ya wanafunzi wanaofika chuo kikuu ni ndogo sana ukilinganisha na wenzao wanaoishia njiani? Kwa nini baadhi ya wajasiriamali wanaanza biashara ndogo na baadae itakuwa na kuwa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Watanzania wengi tumeshindwa kufanya mambo kwa sababu tumekuwa walalamikaji

    Kama ilivyo ada Leo nakuja na hizi tafakuri alafu ujitafakari...watanzania wengi tumeshindwa kufanya mambo kwa sababu tumekuwa walalamikaji sana. Hahaha kuna jamaaa nilikutana nae analalamika mpaka analaumu kwanini kazaliwa kwenye ukoo alioko...daaah laana hii..lakini Leo tutafakari je...
Back
Top Bottom