Natafuta mwenza wa maisha

Habari humu ndani....
Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha .

Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri zaidi.

Nami ni muajiriwa Serikalini....
Mungu akufanyie wepesi upate aliye mwema.......Ila ikatokea mjeda ama eng akakosekana inakuwaje kwahe
 
Habari humu ndani....
Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha .

Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri zaidi.

Nami ni muajiriwa Serikalini....
Nakuombea
 
Wewe ni muilaki wa Mbulu au Karatu?

Samahani lakini hilo jina lako limenifanya niulize
 
Habari humu ndani....
Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha .

Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri zaidi.

Nami ni muajiriwa Serikalini....
??sifa zako
 
Sie waendesha maguta hamtutaki na tupo na uaminifu %99.99
Kila la kheri bibie ukibadilisha sifa za hao wawili utucheki na kada zingeni jeshi hatukuendelea kukaa huko.
 
Una chura, marinda yapo au yametatuliwa, umeolewa au umeachika, mweusi au mweupe, mrefu au mfupi? Funguka mama
 
Sema unatokea wapi watu wajue nasaba yako kingine kama una mtoto maana kuna mtego huwezi kumtaka mwanaume mweny umri mkubwa kiasi icho ukawa hauna mtoto
 
Mtoto ninae...na wala sioni shida kusema nina mtoto so wala sio mtego. Na niko proud kuwa mama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom