maisha

  1. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

    Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia. Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana. Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Iringa: Mabinti waliokimbia kwao kisa maisha magumu warejeshwa kwenye mstari

    Vijana waliokuwa wanaishi katika mazingira magumu ambao baadhi yao walikuwa na mzigo mkubwa wa kutunza familia zao na hata mabinti kukimbia vijiji kwenda kufanya kazi za ndani, hivi sasa maisha yao yamekuwa tofauti baada ya kufikishiwa elimu ya ujasiliamali na elimu ya Saikolojia. Elimu hiyo...
  3. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Binadamu haendeshi maisha bali maisha ndio yanamuendesha Binadamu

    Moja ya jambo ambalo nakaaa muda na kuwaza ni kuwa Maisha na vilivyomo ndani yake. Niukweli usio pingika na Uko wazi kuwa haya maisha yanatuendesha yatakavyo. Naukifuatilia kwa karibu ni kuwa anayeendesha Maisha ni Mungu au Shetani. Mfano tu labda unataka kiwa mtakatifu uwe Mwaminifu kwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Interview ya MKUTA ni moja ya interview mbovu niliyowahi kuhudhuria katika maisha yangu

    Mwitikio wa Kudhibiti Kifua Kikuu na Ukimwi Tanzania (MKUTA) Hawa jamaa niseme tu kwamba hawapo serious au hawajui nini wanatakiwa kufanya Kama mwezi umepita walitangaza nafasi moja ya kazi wakanialika interview kupitia Zoom Meeting, chakushangaza kuna rafiki yangu mmoja nae aliniambia...
  5. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Nahisi maisha yamenipiga vibaya mno hadi naona aibu

    Mpaka sasa nina miaka 25 ndio kwanza nipo Diploma mwaka wa kwanza Semester ya 2 inaanza tarehe 4 Aprili 2022. Bado nakaa na kaka yangu japo naye ana familia yake. Najihisi kama nimechelewa kuanza maisha vile, nimesoma kwa kuungaunga tu, washkaji na rafiki zangu niliomaliza nao sekondari mwaka...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna kifo, maisha ni milele

    Wanasema we are made of atoms 100%, na atoms are forever and you can't destroy it, sasa kifo kinatoka wapi kama kila kitu from galaxies mpaka miili yetu yote na kila kitu kinachotuzunguka ni atoms 100% ? naanza kuamini life is forever ( maybe in different forms after you "die")
  7. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Kuna Msemo wa Maisha Ni safari, yako imefikia wapi

    Safar ya Mwanadamu ya mapambano inaanza punde tu anapozaliwa. Hiyo safari iliyosemwa na wahenga yako iko wapi?
  8. Mr sule

    JamiiForums Tanzania Degree ni Kigezo cha mtu kufanikiwa maisha?

    Kumepekuwepo na mijadali mingi sana kuhusu hili swala, hasa katika nchi zetu za africa mfano Tanzania. Tanzania mwanachuo anapomaliza chuo na kupata Degree yake basi huwa anahisi maisha ameyamaliza. huwezi kumwambia chochote utasikia mimi nina Degree yangu wewe wa darasa la saba utaniambia...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Mandela asingeandika historia ya maisha yake?

    INGEKUWAJE KAMA MANDELA ASINGEANDIKA TAWASIFU YAKE "LONG WALK TO FREEDOM? Mimi ni mpenzi mkubwa wa vitabu vya tawasifu na wasifu hasa za watu maarufu awe mwanasiasa kama Nelson Mandeala au mwanamuziki kama Harry Belafonte (My Song) na wengine ambao hwafahamiki sana kama Maulid Mshangama (Sowing...
  10. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Maisha ni kuzaliwa, kusoma, kupata kazi, kuoa/kuolewa, kupata watoto kisha yanaishia hapo au kuna kingine?

    Wakuu.. Hiv maisha ndo yanaishia hapo tu au kuna la ziada... Maana naona watu weng accomplishment zao znacheza hapo.. So. Nauliza ni hapo tuu au? Kuna kitu na regret sana mim kama mim.. niko mbion angalau kukibadili. Well.. perhaps tumezaliwa kwenye land of no dream... Tunafanyaje sasa hapo...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Sio kila baya linalokutokea lina lengo la kukuumiza

    Hadithi Hadithiii.. Kulikuwa na mvuvi mmoja kwa bahati mbaya akiwa kwenye kazi yake ya kuvua basi boti yake ilizama. Kwa bahati nzuri alifanikiwa kuogelea na kufika kwenye kisiwa kimoja kilicho kuwa karibu na sehemu ambapo boti yake ilizama. Basi siku zikazidi kwenda na kwa bahati mbaya hakuna...
  12. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Miaka flani niko Bongo sielewi mambo hayaeleweki, nina sista angu yuko U.S nikaongea nae kuhusu kwenda Marekani kujaribu maisha anakubali, mipango inakamilika kijana nikatua Jackson Heartsfield Atlanta lengo kubwa la kwenda Marekani ni kupata exposure na kutafuta maisha. Harakati zinazofuata ni...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kwanini Baba wa Taifa Mwalimu J.K. Nyerere hakunyanyua kalamu kuandika maisha yake?

    KWA NINI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE HAKUNYANYUA KALAMU KUANDIKA MAISHA YAKE? Naikumbuka siku hii kama jana vile. Niko nje ya mipaka ya Tanzania ni nyakati za usiku niko kwa rafiki yangu mmoja ambae ajabu sana yeye ananiambia kuwa aliona kitu katika maandishi yangu toka enzi...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Kwamtogole, vitenge vinauzwa kipande kimoja

    Huku kwetu sabuni ya kufulia unapimiwa kwenye kikombe cha chai kama huwezi kununua ndoo au box zima. Vile vitenge vitatu vinavyouzwa Karume na Mnazi Mmoja huku vinauzwa kipande kimoja. Ukiweza kununua vyote vitatu sawa, ukiweza viwili sawa ukishindwa kabisa unanunua kipande kimoja. Kuku...
  15. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Kanuni ya Umoja katika kuwezesha kutatua changamoto kubwa za maisha zinapokujia

    Rejea mada tajwa hapo juu kwenye heading na ninaomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. UTANGULIZI Kwanza kabisa unaweza kukubaliana nami kuwa changamoto kubwa zaidi za watu wa maisha ya kati ni kuhudumia matibabu, kupoteza ajira, kuunguliwa na nyumba, misiba na kupatwa na kadhia ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Proffessionally mimi ni mwalimu, masomo ninayofundisha ni Kiswahili na Historia. Nilibahatika kuajiriwa serikalini mwaka 2013. Kutokana na matatizo ya kifamilia nilikazimika kuacha kazi 2019, matatizo yamekuwa yakiniandama bila suluhisho na nimejaribu kutafuta ajira sehemu mbali mbali bila...
  17. Titus3652

    JamiiForums Tanzania umri sahihi ni upi wakuwa na maisha bora

    wakuu habari za muda huu naleta uzii huu kwa vijana ningependa kujua umri sahihi wa kua na maisha bora maana maisha ya sasa yamekua tough kweli kweli na matobo ni hayaonekan ili kutoboa kijana wenu ni early 20's nawasilisha
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Mitindo ya Maisha yaathiri mifumo ya lishe bora

    Ukuaji wa haraka wa Miji na mabadiliko ya mitindo ya maisha kumesababisha mabadiliko katika Mifumo ya Lishe, na kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) watu wengi sasa hawali Mbogamboga na Matunda ya kutosha Milo hubadilika kwa wakati, ikiathiriwa na mambo mengi ya kijamii na kiuchumi...
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Story kutoka kwa watu, Maisha yana changamoto kweli

    Maisha yana changamoto nyingi sana. Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia. Nikaendelea kuishi pia...
  20. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Story kutoka kwa WATU: Maisha yanachangamoto kweli

    "Maisha yana changamoto nyingi sana. Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia. Nikaendelea kuishi...
Back
Top Bottom