Mr sule
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 607
- 1,097
Kumepekuwepo na mijadali mingi sana kuhusu hili swala, hasa katika nchi zetu za africa mfano Tanzania.
Tanzania mwanachuo anapomaliza chuo na kupata Degree yake basi huwa anahisi maisha ameyamaliza. huwezi kumwambia chochote utasikia mimi nina Degree yangu wewe wa darasa la saba utaniambia nini. jambo hili huwa linasababisha matatizo hasa kwa wale darasa la saba kuhisi kwamba wao bila degree hawawezi chochote. na amani kwamba kuna darasa la saba wengi walikosa kufikia ndoto zao baada ya kukumbana na kauli kama hizi(hawajasoma).
Hivi ni kweli Degree ni kigezo cha mtu kufanikiwa katika maisha au ukisoma ndo kwamba wewe ndo unajua kila ktiu. Maana wana degree wa Tanzania husiwaambie kitu kila kitu anajua kigezo yeye ni msomi na wanapenda sana kuwakosoa darasa la saba,Mf: msukuma, babu tale nk... kisa wao wana degree.
Nchi kama marekani, hawaamini Degree ni kigezo cha kufanikiwa katika maisha, Ndomana huwezi kukutana na hizo kauli za mimi ni msomi nk.., Nimeshafatilia interview nyingi za Wamarekani huwa wanaamini Degree sio kigezo cha wewe kufanikiwa kimaisha, Mf: elon musk, Meter owner, 45th USA president, Warren Buffett Nk..