Tofauti ya maisha kati ya Tanzania na Somalia ni vita, ila ugumu wa maisha huwenda ikawa bora zaidi kule Somalia

Paulsylvester

JF-Expert Member
Oct 15, 2021
1,470
3,359
Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata

Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji

Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe

Kwamba ukiwa na 20,000 hupati kilo 7 za Mchele, wakati wazalishaji ni sisi?

Hiyo ni mifano michache tuu kati ya vitu vingi visivyonunulika Kwa Tsh 10,000 Kwa sasa, wakati vitu hivyo, miaka miwili iliyopita vilikuwa vikinunulika Kwa Tsh 3000 hadi 4000

Ni zaidi ya kuishi kwenye nchi yenye vita na ukaona maisha ni rahisi kulikoni kuwa hapa tulipo!

Jambo la kula sasa linaonekana ni kama kitu cha anasa vile, kula inahangaisha wenye ndevu zao na wengine kukimbia family zao

Atakayeichagua CCM 2025, amelogwa wallah nawaambia!

2025, Ole wa familia yangu aende tu hata kwenye kampeni za Mdugu ccm! Namvunja miguu
 
Buhare

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
325
312
Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata

Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji

Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe

Kwamba ukiwa na 20,000 hupati kilo 7 za Mchele, wakati wazalishaji ni sisi?

Hiyo ni mifano michache tuu kati ya vitu vingi visivyonunulika Kwa Tsh 10,000 Kwa sasa, wakati vitu hivyo, miaka miwili iliyopita vilikuwa vikinunulika Kwa Tsh 3000 hadi 4000

Ni zaidi kuishi kwenye nchi yenye vita na ukaona maisha ni rahisi kulikoni kuwa hapa tulipo!

Atakayeichagua CCM 2025, amelogwa wallah nawaambia

“Ndugu zangu WaTanzania najua mtanikumbuka sio kwa mabaya ila kwa mazuri” tuendelee Kula mtori nyama tutazikuta chini. Spika amekuwa Spika wa Mhimili wa Serikali sio tena mwakilishi wa Wananchi hapo unategemea mwananchi kutetewa Na nani? Kabaki yatima
 
0ozg Tz

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
4,083
10,219
Wanaotumaliza ni hawa wajinga wanaoleta ushabiki kama wa simba na yanga kwenye mambo ya maendeleo

Kuna mjinga mmoja yupo tayar kuipigia kura ccm pasipo kukifikirisha kichwa chake chochote,

Kama ni fadhila za kutukombolea nchi kwasasa imetosha inabid tuwapatie na wengine ili akili ziwakae sawa
 
Hao chumia tumbo upande wa Pili (Chadomo) unahakika wanaweza kukuletea mapinduzi unayotarajia? Tanganyika hatujawa na upinzani kwa kipindi Cha miaka 20iliyopita labda kipindi kile 1995
 
Nachotaka ni kuwafungua macho ccm ili safar nyingine wakirudi warudi wakiwa na adabu,ila wakiendelea kuwa wao tu watatudharau sana kama ambavyo anafanya Mwigulu sahiv
 
mbari sa menya

JF-Expert Member
Apr 29, 2022
759
1,358
Wanaotumaliza ni hawa wajinga wanaoleta ushabiki kama wa simba na yanga kwenye mambo ya maendeleo

Kuna mjinga mmoja yupo tayar kuipigia kura ccm pasipo kukifikirisha kichwa chake chochote,

Kama ni fadhila za kutukombolea nchi kwasasa imetosha inabid tuwapatie na wengine ili akili ziwakae sawa
CCM haipigiwa kura, wanajipigia wanajaza kwenye mabegi meusi,
 
Nunio

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
213
564
Bongo kwa sasa hali ni tete! Kila kitu bei juu! Ni wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa waandamizi pekee wa ccm ndiyo wanao faidi mema ya nchi.
Kinachokera zaidi ni serikali kusema mfumuko wa bei ni kwa asilimia 4 tu.

Mafuta ya kupikia niliyokuwa nanunua kwa sh 22,000 sasa ni sh 40,000, hapa naliona ongezeko la asilimia 82, sasa wenzetu wanafanyaje fanyaje kupata hiyo 4%?

Pengine kwa hesabu hizo ndo maana hawaoni kama tatizo ni zaidi ya ukubwa
 
pleo

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
3,127
2,010
Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata

Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji

Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe

Kwamba ukiwa na 20,000 hupati kilo 7 za Mchele, wakati wazalishaji ni sisi?

Hiyo ni mifano michache tuu kati ya vitu vingi visivyonunulika Kwa Tsh 10,000 Kwa sasa, wakati vitu hivyo, miaka miwili iliyopita vilikuwa vikinunulika Kwa Tsh 3000 hadi 4000

Ni zaidi kuishi kwenye nchi yenye vita na ukaona maisha ni rahisi kulikoni kuwa hapa tulipo!

Atakayeichagua CCM 2025, amelogwa wallah nawaambia
Bongo nyoso
 
Elpaul

JF-Expert Member
Jan 19, 2018
741
466

Unaishi wapi mkuu
 
7 Reactions
Reply
Top Bottom