maisha

  1. Mr George Francis

    SoC02 Ni sawa umenizaa, lakini umefupisha maisha yangu

    Jioni ya jana nikiwa natoka katika harakati zangu za kila siku niliamua kufaya mazoezi kwa kutembea kwa miguu tokea kazini hadi nyumbani tofauti na nilivyozoea malanyingi huwa napanda usafiri wa umma asubuhi na jioni kwasababu sina chombo binafsi cha usafiri. Nikiwa nakatiza katika mitaa karibu...
  2. L

    Wanawake washiriki katika mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba na kuanza maisha ya furaha mjini Meishan, China

    Agosti 9, 2022, katika mji wa Meishan mkoani Sichuan China, wanawake wanashiriki kwenye mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba katika shule ya mafunzo ya kisiasa katika Kaunti ya Renshou. Kuanzia mwaka 2022, serikali ya wilaya ya Renshou ilitegemea vituo vya mafunzo ya ustadi wa utunzaji nyumba na...
  3. N

    Whatsapp group wanayanga wakimtishia maisha Wallace Karia wa TFF wadai atahamia Lugalo jeshini kwa usalama wake

    Naam Bugga Buggati limefanikisha kuhamishia matatizo yake kwenye taasisi, baada ya Barbara kukataa ujinga wake huo haswa pale aliposema mashabiki wa yanga wasiingie kwenye mechi za kimataifa za simba na uongozi wa Barbara ukatoa press release kusikitishwa na matamko yake hayo na ya kuyakana Kwa...
  4. Lee Swagger

    Vitu hivi havikuwepo Mwaka 2003. Maisha yako Spidi

    Wakuu, Mkeka Wa Vitu Ambavyo havikuwepo kabisa Duniani Mwaka 2003. Maisha Yako Spidi Sana. Hichi Kizazi Cha Miaka ya 2000+ Ni Nyoko. Malezi Yao yanahitaji Moyo wa Chuma. Tupambane Hamna Namna. Ndio Maisha Yenyewe. Facebook Twitter iPhone📱 iPad Android Alibaba Apple App Store Uber Airbnb...
  5. U

    SoC02 Nguvu ya Ulimi (Maneno) katika kuamua hatma ya maisha yako

    Jifunze kuzuia ulimi wako usinene mabaya – Mtume Petro anatueleza kwamba ‘Kwa maana, Atakaye kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila’ (1Petro 3:10). Jizuie kunena unapokuwa na hasira – Katika Waefeso 4: 26 imeandikwa ‘Mwe na hasira, ila...
  6. BestOfMyKind

    Nchi ngumu sana hii. Watu hatupo serious na maisha yetu

    Yaani watz tunavyoishi ni kama vile bado tunajifunza kuishi. Ni kama vile tupo mafunzoni yaani hata ukikosea mara mia kwa kufanya makosa yale yale utajirekebisha kwenye maisha yenyewe haya yakipita. Hatupo sirias kabisa. Kila kitu kimepanda bei kasoro mazao ya mkulima tu yaliyo shambani. Yaani...
  7. DungaMawe

    Story: Safari yangu ya kutafuta maisha mpaka kujiunga Al-shabaab

    001: umasikini ni jamb baya sana. Katika maisha yangu niliapa nitakuja pambana na umasikini kwa namna yoyote ile mradi na mimi niwe mtu miongoni mwa watu. Kwa majina naitwa Nelson ama wengi wamezoea kuniita bob nelly.mwaka 2013 nikiwa na miaka ishirini na nne nilitoroka nyumbani na kuja Dar es...
  8. Swahili AI

    Kupanda kwa gharama za maisha, wabunge mmetufikisha hapa!

    Mbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yake, maposho posho kibao. Halipi kodi, hakuna performance rating akiwa anawahudumia wananchi. Sasa ni wakati gani atahisi[feel] vile mwananchi wa kawaida anavyohisi ukali wa maisha?
  9. Adharusi

    Chama cha Mapinduzi kiseme kuhusu upandaji wa mafuta na hali ngumu ya Maisha

    Makamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM Hali ni mbaya ,mbaya ,mbaya kwanini ushauri wa Shabibi kuhusu unanuzi wa mafuta haujafanyiwa kazi Nimesema...
  10. figganigga

    Mwanamke akijua wewe ndiyo wake wa maisha, hakupi papuchi. Mwenye hela barafu ya shida za moto

    Habari, Mwanake anayekupenda, si rahisi kukupa mali yake uichakate. Anakuweka bench, sababu anajua utamchakata maisha yake yote. Ukikata tamaa utamkosa. Anakuweka kwenye vipimo vya kila aina hadi kubusiana na wanaume wenzako mbele yake. Ukikata tamaa ndo basi. Unashangaa anakuja jamaa na hela...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    Ukali wa Maisha: Wananchi waiomba Dstv ipunguze vifurushi vyake

    Kupitia ukurasa rasmi wa Dstv huko Instagram, wananchi wengi ambao ni wateja wa Dstv wameomba kupunguziwa gharama hasa kwenye vifurushi kutokana na ukali wa maisha. Wengine wakaenda nbali zaidi, kuwa wanatumia king'amuzi cha Canal hivyo hawako tayari kunyonywa na gharama kubwa za Dstv. Wakati...
  12. DR HAYA LAND

    Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Nipo Sehemu X Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23. In short vijana 80% Ni brainwashed Sana Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani. Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku...
  13. P

    SoC02 Biashara itakayobadilisha maisha yako baada ya kuchukua maamuzi ya kuifanya

    Vijana wengi wame kua wakitoa malalamiko mengi kuhusu kukosa ajira hasa kwa wale walio hitimu elimu zao za juu. Ukweli wa jambo hili ni asilimia zaidi ya 95% vijana kukosa ajira hasa kwa inchi kama Tanzania Ujasiriamali.. Nini maana ya Ujasiriamali? Ni kitendo cha kubuni bidhaa ya kipekee na...
  14. Mr George Francis

    Ukikielewa kifo umeyaelewa maisha

    EKIKIELEWA KIFO, UMEYAELEWA MAISHA #verytrue Baada ya kuzaliwa tunaishi, baada ya kuishi tunakufa. Hivyo kuzaliwa, kuishi na kufa vinakwenda pamoja, kamwe havitengani. Tulio wengi tunakumbuka kuzaliwa na kuishi lakini tunasahau kama kuna kifo. Mwanadamu wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi...
  15. Rammie Singh

    Usikariri maisha ukianza tu kufanya maamuzi sahihi kutokana na maumivu yako wewe sio mwenzetu tena..

    Maisha ni magumu na yamejaa changamoto nyingi zisizotarajiwa Hata hivyo, unapaswa kujiuliza mambo yafuatayo: Kiasi gani cha mawazo na mvutano wa kifikra Unajisababisha bila sababu Kwa kujenga dhana Na kujikumbushia hofu na maumivu yaliyopita akilini mwako? Ni mara ngapi unakataa kuachilia...
  16. EzekielEmanuel1997

    SoC02 Ajira mpya Serikalini ziwe ni kwa miaka kumikumi, itasaidia kupunguza tatizo la ajira na ugumu ya maisha

    1.0 Ikisiri Nchi nyingi duniani zinakumbana na changamoto ya ajira kwa vijana. Hii ni kutokana na ongezeko la idadi ya wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu ingali hapajatengenezwa mazingira rafiki kwa ajili ya kuwaajiri au kujiajiri vijana hao. Pamoja na kuonekana madhara makubwa...
  17. U

    Maisha Magumu sana, Serikali ikataze Michango ya Harusi hasa watumishi, wanandoa wajidhamini

    Hali ya maisha haifai, kila kitu juu huku mishahara ikiwa chini na biashara kuwa ngumu sana. Tozo kila mahali, mafuta ya nishati juu, yakupikia juu, pesa haionekani , athari ni kuzidi kuongeza gepu la matajiri na masikini, Hali hii inadidimiza zaidi masikini huku matajiri wakineemeka na kipanda...
  18. idiomer

    Maisha na uchumi

    Uchumi na maisha Utangulizi Maisha ni kuzaliwa kukua kujifunza kuzeeka na hatimaye kufa. Sio kila mmoja wetu anapitia hatua hizi. Baadhi hufa kabla hata hawajaliwa. Wengine mara tu baada ya kuzaliwa. Kadhalika wengi huish kwa siku, wiki , miezi, miaka , muongo na hata karne. Maisha ni...
  19. balimar

    Nini kifanyike kupunguza Makali ya Maisha kwa Watumishi wa Umma?

    Habari ya saa hizi waungwana!! Ni ukweli usiopingika kuwa Maisha kwa watumishi wa Umma yanazidi kuwa ni tia maji tia maji. Mathalani nyongeza ghafi isiyonyumbuka ya mshahara haifui dafu kabisa kwenye mfumuko wa bei uliojitokeza kuanzia April 2022. Nadhani wakati umefika sasa kufungua mjadala...
  20. Razmax

    SoC02 Darasa la Maisha

    DARASA LA MAISHA Nikiwa kijana mdogo, kila wakati niliambiwa niote ndoto kubwa. Hata hivyo, haikuwa hadi nilipoanza kwenda chuo ndipo nilipogundua kuwa ulimwengu halisi ni mgumu zaidi kuliko kile nilichokuwa nimekifikiria. Somo la kwanza nililojifunza ni kwamba si kila mtu atakupenda. Watu...
Back
Top Bottom