mahusiano

  1. JamiiForums Tanzania Shetani katawala katika mahusiano

    Wana JF kwema! Kiufupi siku hizi wàpenzi wengi hukutana kupitia njia za shetani kuliko njia za muumba (sahihi). Mfano; msichana anapenda Mali, pesa n.k, toka kwa kijana na kijana nae anapenda chura tuu basi mahusiano button ON. Hizi ni tamaa sio mapenzi. Kama unawaza kuwa na mpenzi kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nimeamini upole hausaidii chochote kwenye mahusiano

    Habarini wana jamvi. Natumai my wazima humu. Kiukweli bila kupepesa macho, imebidi ty niliyotoe La moyoni. Mahusiano ambayo mwanaume anazidisha upole kwa kudhani ndo anakuwa romantic huwa ni ya mateso makubwa kwa mwanaume na nd ambao mwishoni tunasikia Mara kajinyonga, ooohh mara hamida...
  3. JamiiForums Tanzania Divorced people: Ilikuaje ?, Umejifunza nini na whats your future take moving forward on Marriage/ Relationships

    Kwa miaka ya karibuni Talaka zimekua nyingi sana ? Umri wangu Nipo in early 30's na nmekua kwenye relationships kadhaa ambazo hazikuweza ku mature kuja kwenda ndoa lakini pia nmeona watu wangu wa karibu waliooa wapo ambao ndoa zipo vizuri, wapo ambao wanastruggle na wapo ambao washaachana. So...
  4. JamiiForums Tanzania Unamudu/ilimudu vipi mahusiano (ndoa) baada ya uaminifu kufunjika ?

    Inapofika wakati uaminifu juu ya mwenza wako unakua haupo kutokana na viashiria vya usaliti lakni kuna mazingira yanalazimisha kua pamoja , unawezaje kuishi katika hali hii ? pia je kunna mahusiano ambayo hua hayana hizi struggle za hivi ?
  5. JamiiForums Tanzania Tupe kumbukumbu yako, ni kwa namna gani "Umakini" uliathiri mahusiano yako?

    Habari ya muda huu wana MMU! Kama mada inavyo jieleza hapo juu, sote tunatambua kuwa "umakini" ni jambo la muhimu kuzingatiwa katika mahusiano. Kutokuwa makini kati ya wenza wawili kumepelekea mifarakano na hata kuchangia kuvunjika kwa mahusiano. Kutokuwa makini...
  6. JamiiForums Tanzania Punguza wivu kwenye mahusiano

    Habari wana JF nina imani mko powa powa sana. Nyungu muhimu sana . Twende kwenye mada mmoja kwa mmoja .. Wanaume kwa wanawake punguzeni wivu wa kijinga katika mahusiano maana Matokeo ya wivu huo ni mbaya Unakuta kila saa unampigia simu mkeo au girl friend wako kila saa una mtext kama...
  7. JamiiForums Tanzania Boresha mahusiano/penzi kwa ladha tofauti za piano

    Maisha yenyewe yashakua vagara vagala vululu vululu ,huku covid kule covid version 2.0 kule chanjo huku kuchokonolewa site nyeti ilimaradi tu mambo yawe shagalabaghara. Leo bana nimeona nishare na wakulungwa wenzangu maana haya maswala ya mapenzi hayana professional yani yanahitaji ubunifu...
  8. JamiiForums Tanzania Hii habari ya kuombana pesa kwenye mahusiano kabla hamjaonana ni sawa au kuumizana tu

    Hii habari inaudhi sana au kwa wengine iko poa, mwanaume au mwanamke anakutana na mtu kwenye mitandao mnawasialiana na mnakubaliana hata kabla ya siku ya kuonana laivu haijafika mwenzio anaanza kukuomba hela haijalishi ni hela ya nini au kiasi gani lakini kwanini tusisubiri kuonana laivu na...
  9. JamiiForums Tanzania CEO Simba SC: Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi

    "Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi. Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi. Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Joe Biden pengine utajenga mahusiano mazuri na Dunia

    Kuapishwa kwa Joe Biden kama Rais wa Marekani leo kumefuatiliwa na wananchi wa dunia na pengine imefurahiwa na wengi kwa vile walio wengi wanatarajia mabadiliko ya utekelezaji wa sera za Marekani kuhusu Afrika na mataifa mengineyo hususani ya nchi zinazoendelea. Ni ukweli usiopingika Triump...
  11. JamiiForums Tanzania Utoro, Ulevi na kuwa kwenye mahusiano na Wanafunzi zatajwa kuwa tabia sugu kwa Walimu wa Tanzania

    Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), Moses Chitama ametaja makosa sugu yanayofanywa na baadhi ya walimu nchini kuwa ni utoro, ulevi pamoja na kujihusisha kimapenzi na wanafunzi. Aliyasema hayo Januari 5 mwaka huu, wakati akiwasilisha mada kuhusu maadili, katika Mkutano wa...
  12. JamiiForums Tanzania Wadau, kuna mahusiano gani baina ya mbu na sikio?

    Wadau aiseee ebu wataalam waelezee kidogo uhusiano uliopo kati ya mbu na sikio manake mbu anataka damu so inabidi akungate sasa hii kulia sikioni yaani anauzi atazunguka koote atarudi sikioni ziiiiiiiii na sikioni hakuna damu sijui anataka nini
  13. JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa wimbi kubwa la ndoa na mahusiano kuvunjika kwasababu ya video za chumbani tunazorekodi

    Kwa sasa hivi smartphone zimekuwa kawaida sana kumilikiwa na watu wengi hususani vijana, Smartohone hizi zina kamera ambazo baadhi ya vijana huzitumia kujirekodi wakiwa katika ibada ya utamu. Miaka inavyoenda vijana wanaoa na kuwa na familia, mda huu wanakuwa wamesahau uchafu wao ambao upo...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana tuwe makini. Mahusiano ya online ni sawa na kuuziwa mbuzi katika gunia

    Heri ya mwaka wa 2021 Wadau mwaka jana panapo mwezi wa saba rafiki yangu mmoja alifunga pingu za maisha na msichana ambae walianzisha mahusiano kutokea mtandaoni IG, ila walisomana kidogo kama miezi 8 hivi. Sasa jamaa kapatwa na janga ambalo linamchanganya psychological, yule mrembo aliyemuona...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Ingeundwa Wizara ya Dini ambayo ingesimamia mahusiano ya dini na siasa

    Katika baadhi ya nchi kuna Wizara ya dini ambayo inaratibu mambo yote ya dini yanayohusiana moja kwa moja na siasa. Viongozi wa dini wanaopendelea siasa kama akina askofu Bagonza, askofu Mwamakula, Shehe alhad Salum, askofu Gwajima nk nk hiyo ndio inakuwa forum yao ya kuongelea badala ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu yapo kwenye mgogoro, msaada unahitajika

    Mimi ni kijana ambae nipo kwenye umri wa kuuvuka ujana na kuuendea utu uzima. Miaka ya nyuma mara kadhaa nimeshawahi kuumizwa sana kwenye mahusiano. Ilifikia kipindi nikaamua kuyapa kisogo mahusiano. Mbinu haswa niliyokuwa naitumia ni ku hit and run. Ila baadae miaka 6 nyuma nilikutana na...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake kumbe wana tabu hivi katika maisha na mahusiano na wanaume?

    mnawezaje kubadili kiumbe wa mwenyezi Mungu
  18. JamiiForums Tanzania Uko upande gani?

    Utafiti wa Taasisi ya Kinsey Indiana University Marekani umehitimisha kuwa Mwanaume uchepuka kwenye uhusiano/ndoa yake ni dalili ya kuwa na akili ndogo (low IQ), "Wanaume wenye akili kubwa muda wa kuwasaliti Wapenzi au Wake zao hawana kabisa, wanatulia na Mtu mmoja"
  19. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake walio wengi wanatumia ushirikina kwenye mahusiano ya ndoa?

    Habari za Leo wakuu. Wakuu nina swali... Hivi ni kwa nini wanawake walio wengi wanatumia ushirikina kwenye mahusiano ya ndoa? Na je tufanyeje ili kuwadhibiti? Labda nikupe tu mfano mmoja. (Wanawake ndio wanaongoza kwenda kwa waganga kuchukua limbwata za kuwafunga waume zao) Lengo hapa ni...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake walio kwenye mahusiano na matajiri ni ushahidi tosha mapenzi sio pesa, pesa inalazimisha mapenzi

    Ni wanawake wachache sana wanaweza kuukwepa mtego wa pesa za mwanaume anaehitaji kuwa na mahusiano nao. Hii ni kwasababu pesa hio ndio tatizo kuu la dunia, tunaitafuta kila siku na ni ngumu kuipata na bila hio pesa maisha yanakuwa magumu. Hivyo ni kazi sana mwanamke kukwepa hili hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…