kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Habarini wana jamvi. Natumai my wazima humu.
Kiukweli bila kupepesa macho, imebidi ty niliyotoe La moyoni. Mahusiano ambayo mwanaume anazidisha upole kwa kudhani ndo anakuwa romantic huwa ni ya mateso makubwa kwa mwanaume na nd ambao mwishoni tunasikia Mara kajinyonga, ooohh mara hamida umeniacha, mambo kibao.
Kiukweli kwa mwanaume bora uwe MTU flani hivi wa misimamo misimamo hata ya kijinga ili manzi asikudharau baadaye.
Nb: Jifanye mpole ty na uromantic wako akitoka anakukandia kwa mchepuko