mahusiano

  1. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kutongozwa na Shoga? Yamenikuta leo wakuu

    Nipo zangu facebook juzi kwanza nikaona messeji inbox inaanza na "hi" kucheki nikaijibu baada ya muda huyo mtu akatuma friend request nikaona ni rafiki tu kama marafiki wengine nimechat nae anaanza kuniita " my" nikamuuliza we chalii una maana gani akasema oooh hakuna shida. Nikahisi huyu ni...
  2. Squidward

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake

    Mwanamke unaweza kupika chakula gani cha Tsh 1000 mkashiba wewe na mumeo? Wanaume tuangalieni majibu hapa ndo pa kupata wa kuoa.
  3. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Zero IQ mtayarishaji wa JF-HardTalk umepotea nini tatizo?

    Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?! Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa. Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza...
  4. Christopher Cyrilo

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Tanzania na Marekani (2)

    Hii ni sehemu ya pili katika muendelezo wa makala inayohusu uhusiano baina ya taifa tajiri na lenye nguvu duniani, Marekani na moja kati ya mataifa masikini duniani, Tanzania. Katika makala iliyopita niligusia kwa juujuu, maeneo ambayo uhusiano ulikuwa mzuri, hasa kwenye huduma za kijamii...
  5. lembu

    JamiiForums Tanzania If a woman has sex with a man, his DNA lives in her forever

    -If a woman have sex with a man, his DNA lives in her forever. A research by university of Seattle USA has proven that. There is now a greater understanding of why God asks us not to have sex before we get married. This research proves that any man, that a woman has sex with leaves a part of...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila nikitongoza nakataliwa?

    Wanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI! Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali 'outing' huwa wananipa Majibu mabaya yaani wananikatalia. Nimewahi kusikia mabinti hawanitaki eti nina...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

    Wakuu habari. Kuna huu msemo kua hakuna aliyekamilika chini ya jua. Hivyo kila mtu ana madhaifu yake, unaweza kua unaujua udhaifu wako au huujui lakini bado utakua na mapungufu flani kadha wa kadha. Mimi udhaifu wangu mkubwa ni u laissez faire na kua too gentleman. Mimi hua sio mtu wa kutake...
  8. Heloo

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke, fanya haya kuimarisha mahusiano yako

    Wasalaaam waungwana, Leo nijikite moja kwa moja kwenye mada husika kuhusu mahusiano. Ni Mara nyingi sana watu hasa wapendanao kuwa na migogoro ya Mara kwa Mara na kupelekea kuchokana na kukinai mahusiano na kuachana. Nini sasa kifanyike ewe mwanamke mwenzangu. Tujitahidi kwa haya yafuatayo...
  9. 4X4byfar

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni sawa?

    Ndugu wapendwa mimi ndio mara yangu ya kwanza kuwa hapa. Nina jambo naombeni msaada. Nimeolewa hivi karibuni, baada ya kumjoin my husband aliamua kunitambulisha kwa wanawake aliyodai ambao baadhi ni marafiki tuu wa kawaida na wengine ni wafanyakazi wenzake. Ok nilikubali na kuwaona wote. Ila...
Back
Top Bottom