Stiffler88
Senior Member
- Apr 23, 2017
- 158
- 490
Kwa miaka ya karibuni Talaka zimekua nyingi sana ? Umri wangu Nipo in early 30's na nmekua kwenye relationships kadhaa ambazo hazikuweza ku mature kuja kwenda ndoa lakini pia nmeona watu wangu wa karibu waliooa wapo ambao ndoa zipo vizuri, wapo ambao wanastruggle na wapo ambao washaachana. So as much natamani kuoa lakin pia kuna hali ya ka uoga flan ka "what If shit went wrong" itakuaje? Maana tatizo nalionaga ni watu walioko Happy kwenye ndoa hawasemi ila waliokua na majanga ndo wako vocal sana. Na wale walioko Happy wakiongea how happy they are kwenye ndoa zao wanaonekana wanajishaua tu.
Dada yangu pia ni wakili siku izi anapata sana kesi za Talaka, so ananisumuliaga tu visa tofauti tofauti japokua hana detailz zaidi ya why ndoa imevunjika ila ana details za inakiwa uvunjikaje na kwa miaka ya karibuni apa ndoa za watu wazima 45+ years na za kina sisi early 30's anapokea kesi nyingi tu. Sasa nataka kujua, Kwa mtu aliyeoa/kuolewa af akaacha/akaachwa/akaachika umejifunza nin kwenye hio experience na pia whats your take moving foward kuhusu mahusiano na ndoa ni kitu kipi ungependa watu wajifunze kama ungepata nafasi ya kuwaambia.