mahusiano

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji/Ukatili katika Mahusiano: Fahamu aina za unyanyasaji, dalili na hatua za kuchukua

    Hii inaweza kuwa kwa vitendo vya kimwili, kingono, kihisia, kiuchumi au kisaikolojia. Hii ni pamoja na tabia zozote zinazotisha, kuumiza, kufedhehesha au hata kumjeruhi mtu Hali hii inaweza kutokea kwenye ngazi mbalimbali za mahusiano ikiwemo kwenye Ndoa, watu ambao wanaishi pamoja au walio...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kwa Marekani kuifikia China kwenye mahusiano na nchi za Afrika

    Fadhili Mpunji Ni zaidi ya miezi sita sasa tangu Marekani itangaze pendekezo lake la ujenzi wa miundo mbinu wa Build Back Better World ( B3W), ambao ilisema lengo lake ni kukabiliana na vitendo visivyofaa vya kugharamia miradi ya miundo mbinu vya China, vinavyoziingiza kwenye changamoto kubwa...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuepuka gharama kwenye mahusiano

    Mahusiano kwa upande wa mwanaume yana gharama sana. Kama hutokuwa makini, hutofanya kitu cha maana katika maisha yako. Utajikuta kila siku, wewe ni mtu wa kutoa hela tu. Ukija kupiga mahesabu, kwa fedha ulizozitumia kwa mwezi mzima katika mahusiano, inazidi kipato chako. Na hii imepelekea...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  5. ShyaRuwa

    JamiiForums Tanzania Kwenye Mahusiano Upande Wenye Nguvu Ni Ule Uliowekeza Kidogo

    Hakuna mahusiano yaliyo balance 50/50. Lazima kuna upande unaogharamia/wekeza kwenye mahusiano zaidi ya upande mwingine. Anayewekeze zaidi kwenye mahusiano ndiye anayemuhitaji mwenzie kuliko mwenzie anavyomuhitaji yeye, na mara nyingi ndiye mwanzilishi wa hayo mahusiano. Kwenye uhusiano kati ya...
  6. samwel phanuel

    JamiiForums Tanzania Kwanini 90% hawafaidi hatua ya ujana?

    Ujana : nihatua ya ukuaji anayoipitia mtu baada ya kumaliza hatua ya utoto ili kuelekea utuuzima na uzeeni na hii hatua hutakiwa kuwa Makini na mtulivu wa fikra pamoja na akili nyingi kuliko hatua nyingine yoyote, na hii ndio hatua pekee ya utambulisho halisi wa mtu kifikra, kiutendaji na hata...
  7. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulitarajia kabla hujaanza mahusiano?

    Wakati niko shule niliwaona watu (couples) wakiwa na furaha nyakati zote, kusaidiana nyakati zote. Nikajipa matumaini na kusema mapenzi matamu Nami nitainjoy soon. Mda ukafika kila niliyokuwa naye sikuwahi pata Yale niliotarajia nikiwa shule. Nilijua kwenye mapenzi kuna. •Utulivu •Furaha...
  8. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Ushauri gani ambao ulishawahi kupewa na Mzazi wako kuhusu mahusiano?

    Wakuu, Binafsi mimi wazazi wangu wote walishanipa ushauri japo ilikuwa kiutani Ila meseji ili delivery Kwa wakati tofauti, Father alishawahi nishauri mambo machache kuhusu mahusiano/wanawake 1. Katika kabila letu LA kaskazini kule kuna watu wa mahala fulani kaniambia nisioe huko hata kwa...
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mahusiano chuoni huwa kama 'drama'

    Utakuta wanachuo wanatembea kwa kufuatana kama kumbi kumbi; mwanaume hataki kumuacha mwanamke, na mwanamke naye hataki kumuacha mwanaume. Mmoja akienda maktaba, mwenzake anamfuata, hivyo hivyo hata kwenye magrupu ya 'discussion'. Ulikuwa ukiingia kwenye vyumba vyao, utakuta matunda, juisi, wine...
  10. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Nini suluhisho ya mahusiano yanakunyima amani ya moyo?

    Safari ya mahusiano huwa ni safari yenye mambo mengi kuna wakati mahusiano unaona ndio chombo kinachokupa amani ya moyo Na kuna wakati mahusiano unaona kabisa hayakupi furaha ya moyo mbaya zaidi mwenza anaku treat vizuli anakuheshimu anakupa upendo wote ila basi unaona ila tuu haya mahusiano...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hawapendi marafiki zao kuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada zao ?

    Yani unakuta mtu anaona bora hata dada yake atoke na mtu asiemjua kabisa lakini linapokuja swala la rafiki yake ku date na dada yake hapo huwa pana utata?
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Jiulize haya maswali unapokuwa kwenye mahusiano

    Fumba macho kwa dakika 10 hapo ulipo, kisha tafakari yafuatayo:- Ni nani atakuwa na wewe, bega kwa bega ukiwa gerezani? Ni nani atakuwa na wewe, ukiwa kwenye ugonjwa mahututi? Ni nani atakuwa na wewe, pale utakapopata ulemavu? Ni nani atakuwa na wewe, pale familia itakapofariki? Ni nani atakuwa...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Usipokuwa makini na unywaji wa pombe maeneo ya starehe, unaweza kupata mahusiano yasiyokuwa na tija

    Kuna siku nilikuwa nimechoka sana, kutokana na changamoto za kidunia, nikaamua kwenda kiwanja na jamaa yangu kwa ajili kupiga kinywaji pamoja na kuosha osha macho kwa kuangalia watoto wazuri. Siku hiyo tulipiga pombe sana huku tukibembelezwa na ‘ live band’. Baada ya kukaa masaa kazaa, tukaona...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawapendi, bali wanatafuta 'sponsor' kwa kigezo cha mahusiano

    Nimepata uzoefu huu, kupitia mazingira mbalimbali ya kimahusiano. Kila niliyekuwa nakutana naye, awe ameajiriwa, amejiajiri, yuko chuo, au hana ajira; wote wanaomba fedha za matumizi pamoja na gharama za kuendesha maisha yao. Unaweza kushangaa mtu ameajiriwa au amejiajiri na ana kipato kizuri...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Wadau, Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa! Nilikuja kujuta...
  16. Stroke

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema anarejesha mahusiano na nchi za Ulaya. Je, kukopa ndio njia bora ya kufanya hivyo?

    Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha. Observation yangu ndogo ya matendo...
  17. Merchante

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ni miaka 7 na miezi 3 bila mahusiano

    Wakuu! Nimetimiza miaka ipatayo 7 na miezi mitatu bila mahusiano. Naikumbuka sana tarehe hii 21/9/2015 kiumbe yule aliponipiga pigo zito, hali ilopelekea kufunga rasmi kitabu cha mahusiano. Sidhani kama nitakuja kuwa sawa kwasababu lile pigo liliniathiri sana kisaikolojia. Ila, Mbususu...
  18. MR KADIDY

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa aina gani anafaa kuwa naye kwenye mahusiano?

    Habari JF Mimi ni kijana wa miaka 25 naishi morogoro na najitegemea nilikuwa naomba ushauri juu ya mwanamke wa aina gani naweza kuwa nae akanipa furaha na hata kufika malengo yetu. Ahsanteni sana 🙏
  19. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani huwafanya wanawake wengi walio katika ndoa kuendeleza mahusiano na ma-ex wao?

    Kuna wakati nawaonea huruma watu wanaoa na wenye mipango ya kuoa kama wanawake wenyewe kumbe wako hivi wakishaolewa na kupata mtoto au watoto wengi huanza harakati za kurudisha mahusiano yao na ex wake wa zamani. Kipindi cha nyuma nilikuwa nina amini wanawake wengi wakishaolewa huwa hubadilisha...
  20. Petr61

    JamiiForums Tanzania MAHUSIANO YA MBALI NA KERO ZAKE

    Wasalaam, bila shaka muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya usiku hapo kitandani. Bila shaka wengi wetu tuna mahusiano ya kimapenzi na watu ambao kutokana na mihangaiko ya maisha wamesambaa mikoa mbalimbali. Binafsi nnao kama watano ktk mikoa tofauti. Na kwa sasa nimeoa na kujaliwa watoto...
Back
Top Bottom