Merchante
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,468
- 3,040
Wakuu!
Nimetimiza miaka ipatayo 7 na miezi mitatu bila mahusiano. Naikumbuka sana tarehe hii 21/9/2015 kiumbe yule aliponipiga pigo zito, hali ilopelekea kufunga rasmi kitabu cha mahusiano. Sidhani kama nitakuja kuwa sawa kwasababu lile pigo liliniathiri sana kisaikolojia.
Ila, Mbususu natunukiwa na baadhi yao ambao wana hisia na mimi ila mimi sina hisia nao kabisa. So sometimes wapo watakao jaribu kunishawishi kwa kila namna ili nikunjue moyo, maana nimekunja haswaa! Ila bado sijaona wa kunishawishi kabisaaa kuanza mahusiano. Japokuwa mpaka sasa nina takribani mwaka na mwezi mmoja sijagusa mbususu ya mtu (nadhani hii ni kutokana na harakati za utafutaji).