MAHUSIANO YA MBALI NA KERO ZAKE

Petr61

Member
Feb 19, 2013
17
16
Wasalaam, bila shaka muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya usiku hapo kitandani. Bila shaka wengi wetu tuna mahusiano ya kimapenzi na watu ambao kutokana na mihangaiko ya maisha wamesambaa mikoa mbalimbali. Binafsi nnao kama watano ktk mikoa tofauti. Na kwa sasa nimeoa na kujaliwa watoto watatu. Kero inaanzia pale ambapo hawa viumbe wanaponipigia simu na kuomba udhamini bila kuzingatia vigezo na masharti ilhali wanajua kbs kuwa tayari nipo kifungoni. Tabu yangu ni kuwa siwez kuwaacha sababu naweka akiba ninaposafiri na pia.... Itaendelea
 
Back
Top Bottom