mahusiano

  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanawake: Zijue dalili za Mwenza anayeweza kukuua katika Mahusiano, tafakari mahusiano yako na Uchukue Hatua

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine mwaka 2020. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, mwanamke au msichana huuawa na mtu katika familia yake...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kunyimwa unyumba kama hujatoa hela ya huduma kwa mwanamke?

    Hapa nazungumzia wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya ndoa au uchumba. Hii mada haiwahusu wanawake wanaojiuza. Unakuta mwanamke unamuhudumia vizuri na Hela unampa kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Ila kama mjuavyo siku hazifanani, ikitokea anahitaji lake la Hela na ukute muda huo huna...
  3. ReTHMI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Wengi watapigwa na butwaa kwanini natamani elimu ya mahusiano itolewe mashuleni tena mahusiano ya kimapenzi. Nitabaki kusimamia kwamba elimu ya mahusiano ya kimapenzi itolewe mashuleni, ikiwezekana kama somo la lazima kuanzia ngazi ya elimu ya msingi mpaka elimu ya sekondari. Elimu inatakiwa...
  4. Doswe Dossena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanamke akikupenda na ukamkatalia kuwa nae kwenye mahusiano anakuchukia na kukuchukulia kama adui yake wa wazi.!?

    Salaaaaaaam.! Hii imekaaje wakuu.! Mwanamke akikutaka kwa kukushawishi au kukutongoza kabisa ila ukamkatalia kuwa nae hata kwa njia za kistaarab na kiuungwana lazima ajenge chuki juu yako.!?
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nguvu inayomsukuma mwanamke kwenye mahusiano, ni umasikini

    Nguvu inayomsukuma mwanamke, kuingia kwenye mahusiano, kwa asilimia kubwa huwa ni umasikini. Wengi wanaingia kwenye mahusiano, ili kupata uhakika wa kula, kuvaa, kumiliki majengo, magari, kumiliki miradi, kupanda vyeo n.k Hawaingii kwenye mahusiano, kwa sababu ya mapenzi ya kutoka moyoni; ndio...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ni mvivu sana

    Habarini Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sana na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana kapika kama mara 3 hivi ndani ya miezi mi 5, kufua ndio hajawahi. Na nilikua nimepanga mwakani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika sababu wanawake wamesahau kuwa mwanaume ameumbwa kuheshimiwa

    Heshima ya kila namna anahitaji mwanaume. Kuanzia kupikiwa na kuandaliwa chakula mpaka kupewa unyumba. Mwanaume anataka heshima. Sio dharau na kiburi kwa namna yoyote. Ndio maana mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika.
  8. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa wanawake wanaingia katika mahusiano na ndoa kutafuta unafuu wa maisha

    Huu ndo ukweli wanawake walio wengi wanaingia katika mahusiano au ndoa kutafuta angalau unafuu wa maisha. Katika mahusiano na ndoa wanawake wengi hutumia kama opportunity chance ya kupunguza shida zao ndogo ndogo kupitia mwanaume kwa sababu wanachoamini mwanaume kazi yake ni kumuhudumia...
  9. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi sahihi wa kuanza nae mahusiano imara na bora

  10. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na mahusiano na ndugu wa tumbo moja?

    Miaka kadhaa huko nyuma nikiwa chuo mkoa flan jiran yetu kulikuwa na Chuo cha Tpsc(wanaita Uhazil enzi hizo) Walikuwa kila term wanaletwa wapya(wakawa wanaita kontena imemwaga) Basi wakija wapya unachangamkia fursa. Nikiwa mwaka wa mwisho chuo Contena ikamwaga nikajichagulia mtoto mmoja mzur...
  11. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

    Wakuu habari zenu, Huku tukiutafuta tafuta usingizi hebu tuambiane mahusiano ambayo umewahi kuwa nayo na yakawa mafupi kuliko yote..... Ukitoa sababu ya kwanini mlidumu muda mfupi hivyo itakuwa vizuri. Binafsi mahusiano yangu mafupi kuliko yote yalichukua week moja. Nlijiona tu siko sehemu...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Jichunguze; inawezekana mahusiano uliyonayo yanatokana na nguvu ya mzizi

    Mwezi uliopita, nilienda kumtembelea mpenzi wangu wa zamani Kahama; baada ya kufika, nikatafuta sehemu nzuri ya kupumzika. Nikamjulisha sehemu nilipofikia; na baada ya muda akawa amefika. Tukaweza kupasha kiporo, na mambo mengine yakaendelea. Sasa katika kubadilishana mawazo, akanisihi sana...
  13. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipo-deal na Kenya alionekana anaharibu mahusiano, mmeona sasa?

    Mzaha mzaha, mbuzi Kampanda mamaye. Ile kauli "mtanikumbuka ilikuwa ni kauli ya kinabii na sio ya kisiasa. Nathaniel sasa kila mtanzania ameanza kuelewa kwanini JPM Ali deal na wakenya effectively. Hawa Wakenya sio majirani, ni maadui zetu, hawafai kuchukuliwa kama majirani. Suala la...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kukutana na mama mkwe mtarajiwa ni dalili ya hatua nyingine kwenye mahusiano yenu

    Madada ndiyo walengwa wa uzi huu lakini makaka msiache kusoma na pia kutoa mawazo yenu. Mama wakwe ni wanawake na wao pia walikua vijana wakati fulani hivyo kukutana na mama kusikufanye uwe roho juu juu. Mpaka mwenza anaamua kukufahamisha kwa mama yake, inamaana kuna vitu ameviona kwako na...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unapokuwa na mtoto kuwa mwangalifu unapoanza mahusiano mapya

    Alice alikua jirani yangu huku Kwamtogole, nilipomfahamu Alice alikua mwajiriwa katika Taasisi ya Serikali. Alifika Dar akitokea mkoani baada ya mjomba wake kumsaidia kupata ajira hii kabla hajastaafu. Elimu ya Alice ni kidato cha sita. Alice alikutana na Bill aliyemuahidi ndoa, baada ya...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mkitaka kufurahia, kuepuka kuuana na kupendana kwa dhati msiwape hela

    Nlianza na huu utaratibu baada ya kugundua kumbe tunapofanya mapenzi na mademu nao wanasikia utamu sana tu. Miaka ya nyuma nlidhani ni sisi tu wanaume...nlipoanza kugegedana na nikapata uzoefu nligundua wote tunapata utamu. Nliona wakati mwingine baby anadai kabisa kuwa ana wazungu...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Fanya haya ukitaka kuwa na mahusiano yenye furaha katika jamii

    USIMPIGIE MTU SIMU ZAIDI YA MARA 2 MFULULIZO - labda kama ni jambo lenye haraka sana, subiri mpaka wakupigie. UKIKOPA, LIPA! -Rudisha kabla hata hujaoulizwa au kukumbushwa UKITOLEWA DINNER AU LUNCH -Usiagize vyakula vya gharama sana na mara nyingine ununue wewe KUWA NA UTU -Kwa wahudumu...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake; eleweni kuwa hakuna mahusiano bila Maslahi

    WANAWAKE ELEWENI; HAKUNA URAFIKI BAINA YA MWANAUME NA MWANAMKE. Anaandika, Robert Heriel. Kwanza kabisa, hakunaga Urafiki baina ya mwanamke na Mwanaume hilo kila mtu mwenye akili na hekima analijua, hakunaga kitu Kama hicho. Kidini, Uislam Kwa kuzingatia torati unatanabaisha kuwa hakuna...
  19. Surya

    JamiiForums Tanzania Huwa mnafikiri nini wanawake kisha kuingia kwenye mahusiano?

    Mapenzi hayanitesi sana siku hizi, lakini kiukweli warembo wanazidi kunikataa na sielewi ni kwanini. Huwa najiuliza wasichana huwa mnawaza nini kabla ya kumkubali Mwanaume, Tuweke mbali Pesa, kipi huwa mnajiuliza kabla ya kumkubali mwanaume. Baadhi ya Maswali yenu nimeweza kuchambua.. lakini...
  20. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Mahusiano sugu

    Nishawahi kuandika humu kuhusu mahusiano sugu humu mkanipuuza Saizi mnaishi humo mnashindwa ku move on Mmegeuka watumwa wa wapenzi ambao hamuoni future kwao Kila siku ni vilio vya hasara ya pesa na muda mtu anatreat atakavyo anajua huna options na kweli huna option Kwa kuongozwa na mioyo...
Back
Top Bottom