mahusiano

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mzazi wako anapokuwa kwenye mahusiano rasmi yaheshimu kama kweli unampenda

    Wengi tungependa kuishi na kulelewa na wazazi wetu waliotuzaa lakini maisha yana changamoto nyingi. Kuna wanaozaliwa na wazazi wanapoteza maisha, wengine ni matokeo ya kubakwa, wengine ni mimba za ujanani wakati wazazi wote hawana dira za maisha. Wengi wetu pale unapomuelewa mtu na kuanza...
  2. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Nimekata nusu mwaka sasa bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi

    Baada ya kupiga hesabu ya kumiliki mwanamke nje ya ndoa nimeona kuna gharama kubwa sana zinazosababisha hela kupotea. Pesa ambazo ningezifanyia mambo ya msingi sana. Sasa Toka January nikaamua kukaa SINGLE KABISA. Miezi 6 sasa imekamilika. Sina Dem wala Girl yeyote wa kuniomba vocha, hela ya...
  3. Oppo A17k

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke anakua kwenye mahusiano na bado anatoa namba yake kwa mwanaume mwingine?

    Wakuu poleni na harakati za kila siku katika ujenzi wa taifa Binafsi nimeshindwa kuelewa hii tabia ya mwanamke kutoa namba ya simu kwa mwanaume mwingine wakati anafaham kabisa kifuatacho hapo ni kutongonzwa na wakati yupo kwenye mahusiano mengine. Mkasa ulionitokea. Juzi wakati nipo job sehem...
  4. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Ufahamu Wa Mahusiano Na 'Red Flags'

    Watu wengi tumekuwa tukipuuza ishara mbaya katika mahusiano yetu, lakini tambua kwamba mwenzi unaemshahili atakuwa vile unahitaji. Wanawake wengine siku hizi wamekuwa wakisema wanateswa na kuendeshwa na mwanaume, kwasababu hawajui wajibu wao kwa mwanaume huyo, pale unapomuomba mpenz wako kuwa...
  5. Kasie

    JamiiForums Tanzania Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

    Habari za jumapili, Nikiwa na akili zangu timamu, leo tarehe 29/05/2022 nimeona nisimulie moja ya mahusiano niliyopitia kwenye maisha yangu wakati wa uschana.... Sio mazuri kusimulia sababu yananiletea kumbukumbu mbaya na mapigo ya moyo hunienda mbio jasho hunitoka viganiani na miguuni na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zamani mtu akiwa na mahusiano na CCM aliitwa Mamluki na Chama chake kiilitwa ‘CCM B’. Wapinzani walikataza mahusiano na CCM

    Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF yeye tayari ameonyesha wazi kumuunga mkono mama, juzi kati lipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari alikwenda mbali sana kwa kuonyesha yupo tayari kumfanyia mama kampeni 2025. Prof. huyo ambaye ndiye muasisi na muanzilishi wa vuguvugu la...
  7. American Dream

    JamiiForums Tanzania Mahusiano miaka 10 hata harufu ya engagement ring hamna na Bado upo tu

    Hello Wadau!! Huu ujumbe kwa waleee wanajijua wenyewe nasubiri comments zenu za makasiriko. Yani mpo kwa relationship Toka upo chuo ulivyokuwa na 22 Hadi Leo uko na 32 na eti wamsubiria mtu. Ikifika weekend huyoo kwenda kupika, kufua nguo na kusafisha mazingira ya kwa msela Ili uonekane wife...
  8. Daudi1

    JamiiForums Tanzania Kwanini inakuwa ngumu kusamehe katika mahusiano?

    Salamu nyingi ziwafikie popote mlipo..... Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha mada kinavyojieleza, kwanza ijulikane maisha tunayoishi hatuishi kwa ajili yetu, yaani maisha yako ili yaende yanategemea watu wengine hakuna anayeweza kuishi kwa kujitegemea mwenyewe, vivyo hivyo hata...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Swala ya Ijumaa ya jana Ilikuwa ya Kipekee Kabisa na Yenye Jambo kubwa Katika Mahusiano. Imenishangaza sana Tuna Mengi Hatujui.

    Sheikh.... Nakupa pongezi sana. Jana kama ulikuwa moyoni mwangu. Ulisisitiza sana tuwaombee wa kwetu katika mahusiano aka ndoa. Nlimwombea sana huyu sister wangu sister duu. Maana toka alivyotaka kusababisha nimwambe makofi kwa kutaka mnyima unyumba shemeji. Nlianza ona ana tatizo. Maana...
  10. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazochangia mahusiano ya mapenzi kupungua ladha

    Ukipata mpenzi anayekuelewa na kukupenda basi hata dunia iwe ya tabu vipi kwako utaiona inazunguka kama kawaida na maisha yatasonga mbele kwako kwa raha mustarehe, na hata matatizo mengine makubwa kwako huwa madogo kwa sababu tu unapenda na kupendwa kwa dhati. Lakini ukiumizwa kwenye mapenzi au...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Makundi ya Damu (blood groups) na Mahusiano

    Heshima zenu popote mlipo na poleni na kupanda kwa gharama za maisha........ Moja kwa moja kenye mada Kuna uhusiano kati ya Kundi la damu na Tabia ya mtu katika mahusiano/mapenzi. Kwa mujibu wa tafiti na machapisho mbali mbali zifuatazo ni baadhi ya sifa za watu kulingana na kundi la damu...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simu zimechangia kuupoteza umuhimu wa kujuana kabla ya mahusiano; siku hizi mapenzi mengi huanza ndani ya siku hiyohiyo bila kujuana vizuri

    Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano. Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine...
  13. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Wanawake huwa mnajisikiaje katika hili?

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwaajili ya siku ya Akina mama wote, pili niwashukuru wanawake wote kwa mioyo yenu ya upendo, uvumilivu, kujali na kila kitu. Ninyi ni mama, dada,wadogo pamoja na wake zetu Ni hivi huwa mnajisikiaje pale tunapokuwa tumewadanganya na majanga yakatukuta na ikabidi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

    Wapendwa wa Jamii Forums, Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo...
  15. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Almasi wa Williamson watangaza kuanzisha mahusiano mapya na vijiji 12

    Na. Mwandishi Wetu, Shinyanga. MIGOGORO ya mara kwa mara kati ya Kampuni ya Williamson Diamonds Ltd iliyopo Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga na wakazi wa vijiji 12 vinavyouzunguka mgodi huo hatimaye huenda ikafikia ukomo. Hali hiyo imebainishwa mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya...
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wanaovaa nguo za wapenzi wao huwa ni lugha ya picha kwa 'shoo' wanayoipata ndani

    Ukiona mdada anavaa nguo za mpenzi wake wa kiume, kama; mashati, tshirt, bukta, boxa, suruali, vest n.k Juwa mmewe/mpenzi wake anamkoleza ipasavyo. Ni vigumu, mtu kusema habari za mpenzi wake; hasa mambo ya sirini na kuyaweka hadharani. Ila kwa kuangalia vitendo, utagundua uwezo wa mwenza wake...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania PRST kuendesha Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Maafisa Habari wa Mahusiano APA Tanzania 2022

    Washiriki zaidi ya 300 kutoka mataifa tofauti ikiwemo Bara la Afrika, Ulaya, Amerika wanatarajiwa kuhudhuria mkutano mkuu wa mwaka wa kimataifa wa kitaaluma 'APA TANZANIA 2022', utakaofanyika kuanzia Mei 23 hadi 27, Dar es Salaam. Wakizungumza na Waandishi wa Habari, juu ya utambulisho na...
  18. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazowafanya wanawake wachepuke kwenye mahusiano

    Asilimia mpaka 45 ya wanawake waliopo kwenye ndoa wanachepuka. Kumbuka sababu za mwanamke kuchepuka ni nyingi na hakuna namna wewe kama mwanaume unaweza kufanya ili kumzuia mkeo asichepuke. Haijalishi wewe mwanaume ninani na una nini. Mkeo akiamua kuchepuka atachepuka tu, huwezi kumzuia. Kuna...
  19. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Happy Anniversary (au ukipenda, happy birthday) kwa mahusiano ya Kenya-Tanzania

    Siamini kwamba mwaka mmoja umepita, bila ya hasira, visasi, mivutano, malumbano, majibizano na 'makasiriko', kati ya nchi mbili hizi za Kenya na Tanzania. Sio baada ya yote tuliyoyashuhudia, kwa karibia miaka sita. Yaani tangia mwezi wa nne hivi mwaka uliopita mambo yaligeuka ghafla, yakawa...
  20. kookaburra

    JamiiForums Tanzania Wageni vs Wenyeji kutokuelewana

    Nimeletewa kisa ndugu wa mume katembelea hii family ila baada ya siku chache tu anawanunia wenyeji wake, lakini pia nimeshaona na kusikia pia sehemu tofautitofauti. Naomba mnisaidie hivi hii hali ya kutokuelewana kati ya wenyeji na wageni hivi inasababishwa na nini. a/Wewe umetembelea mahali...
Back
Top Bottom