Nipo kwenye mahusiano lakini sipati amani ya moyo wala furaha kabisa kwa huyu mwanamke 7bu na kuna vitu simwelew naitaji ni muwache shida nilishamzoea mazoea ndio yanasumbua moyo wangu.
UKITAKA KWENDA MBALI, NENDA NA WENZAKO - MAHUSIANO YA DIPLOMASIA
Matokeo Chanya ya Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yashusha neema kwa Watanzania leo tunashuhudia Ujumbe wa Wawekezaji zaidi ya 120 kutoka Nchini Misri hii imetokana na Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwezi Novemba...
Uwiano katika mahusiano ni kitu kisichoepukika, kama unataka kufurahia mahusiano yako.
Mwanamke mnene anatakiwa awe na mwanaume mwembamba
Mwanamke mwembamba anatakiwa awe na mwanaume mwembamba na mrefu
Mwanaume mfupi anatakiwa awe na mwanamke mnene
Mwanaume mrefu anatakiwa awe na mwanamke...
Kesi ya Ugaidi inaypendelea Mahakama ya Uhujumu uchumi imeonysha namna Serikali ya chama cha Mapinduzi ilivyokuwa inaendeshwa na inavyoendeshwa. Yapo mambo ambayo Wala Jaji apaswi kusubiriwa kuyatolea hukumu maana yapo wazi kabisa. Mfano:
Mkuu wa upelelezi Arumeru Afande Jumanne anayetuhumiwa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nimekua kwenye mahusiano na mpenzi wangu kwa takribani miaka nane, tumeishi kwa upendo saana, kila mtu alikua anaguswa na shida ya mwenzie pindi jambo linapoonekana kuwa gumu lakini kwa sasa naona kama mambo hayapo sawa ilikuwa haipiti siku bila kunipigia...
Hivi karibuni ukurasa wa Hamisa Mobetto Instagram umedhihirisha kuwa mwanamtindo huyo yupo karibu sana na Rick Ross.
Hamisa Mobetto amekuwa akichapisha picha na video fupi zikionesha wawili hao wakiwa kwenye kumbi tofauti za starehe huku wakionesha ishara ya mapenzi
Shabiki wa Rick Ross na...
Ni hivi jamani mimi ni kijana wa miaka 24 naomba ushauri wa kimahusiano. Mimi mwenzenu nimekuwa mgumu mno wakuwa na mahusiano kwa sababu mbalimbali ambazo mimi nazisimamia akini napata tabu sana kuishi hivihivi na nyemelewa sana na punyeto.
Japo nimeona kuna tija ya kuwa-single lakini sasa...
Zari amefichua miongoni mwa sababu zilizomfanya kumwacha staa wa bongo Diamond Platnumz ni kwa sababu ya kutokuwa mwaminifu mfululizo.
Anasema wasichana walikuwa wengi na katika baadhi ya matukio, kulikuwa na mimba zinazohusika.
Akizungumza wakati wa mahojiano ya wazi na Toke Makinwa, Zari...
Wasalaam,
Wanajamvi jana kuamkia leo usingizi umekua mgumu kwangu kutokana na changamoto ninayopitia katika swala la mahusiano ya mapenzi.
Ikiwa ni muda mfupi toka nitengane na mke wangu tuliozaa watoto wawili kwa mapenzi yetu (japo yeye ndio aliyewahitaji mwanzoni mwa mahusiano yetu). Hali...
Mwanasoshalati na mwanamuziki kutoka Tanzania Irene Louis almaarufu kama Official Lyn amefunguka kuhusu mahusiano yake na nyota wa bongo Diamond Platnumz.
Alipokuwa kwenye mahojiano na Wasafi Media siku ya Jumatatu, Lyn alisema mahusiano yake na Diamond yalidumu kwa kipindi cha mwaka mmoja...
Wasalaam wapendwa wa MMU.
Kumezuka na msemo maarufu wa vijana haswa wa kike 'unataka kuwajua maEX wangu, unataka kuwanunulia gari?'
Huu msemo una nia ya kupotosha. Zaidi, kuwatia watu katika mahusiano yatakayoandamwa na changamoto nyingi. Nakusihi, ni vema kujua historia ya mahusiano ya...
Nakumbuka enzi hizo nilijenga yrafiki na binti mkali acha tu, ilikuwa ni mtandao wa facebook, tulikuwa marafiki, alafu tukaja kupeana namba, hapo ndipo nilitupia ndoano na ndipo tukaingia rasmi kwenye mahusiano.
Sio siri mtoto alikuwa na kisauti flani hivi cha upole mixer aibu, akiniita mpenzi...
Wapendwa,
Wasalaam!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta msichana ambaye tutaanza naye urafiki wa kimapenzi. Lakini lengo hasa ni kuona kama tunaweza kuelewana na kuelekea katika ndoa. Awe na sifa zifuatazo: -
1) Elimu: Form Four na kuendelea. Kama ni la saba, awe tayari...
Wengi wanapenda kuitwa 'boss' makazini, bila kujua uzito wa hilo jina. Wengine wanalazimisha waitwe hivyo, na wengine inatokea tu wanaitwa hivyo kutokana na wanavyotatua kero za wafanyakazi wao hasa kimaslahi.
Wenye kulipenda hilo jina wengi wao wanafikiri kuitwa 'boss' ni kuwa na uwezo wa...
Habari zenu wakuu niende kwenye mada moja kwa moja siku mbili zilizopita ikiwa nipo bandarini mida ya saa tatu usiku baada ya kupakia mizigo kwenye ikiwa nasubiria maji ya usiku ili nisafiri kabla ya kuondoka nikaona niende nikachakate kidogo mbusu maana nahodha kila bandali hakosi jiko...
Wanasaikolojia mbalimbali wamejaribu kuelezea aina za mahusiano ya kimapenz ambayo wapenzi wawili wanaweza kuwa wanayapitia katika kipindi flani cha mahusiano yao. Lakini kabla hatujaangalia hizi aina lazima tujue kuna vitu vitatu vinavounda na kudetermine ni aina gani ya mahusiano ya kimapenz...
Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa Tabata Kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema "mambo angel za siku nyingi"?
Ni mtu alien sound like he /she knows me ...nilijibu tu kifupi "poa"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.