mahusiano

  1. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania Je, marehemu Dr. Malecela alikuwa na mahusiano gani na Mange Kimambi?

    Wakuu habari za muda huu. Wakati wa nyuma kipindi cha hayati John Pombe, kulikua na vichwa viwili vilivyokua havikosi kuleteana maneno ya hapa na pale kwenye Instagram, yupo aliyempigania hayati na mwingine anaponda utawala wa hayati. Yupo Mange kimambi na mwenzake Le mutuzi mobimba, hawa watu...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unapomtaarifu mwanamke kuwa mume wake ana mahusiano pembeni unamuharibu kisaikolojia

    Kuna dada mzuri nikisema mzuri ni mzuri kweli. Aliolewa na mume mwenye kipato cha kawaida na waliishi maisha ya kawaida. Nikimaanisha hakutumia usafiri wa wote mume wake alimnunulia gari, shopping ya nguo za kazini akifanyiwa. Kwakua alikua mzuri alipendeza sana. Sasa kuna mazee mafisi...
  3. Last KING Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanamke kuficha makucha kwenye mahusiano kabla ya ndoa inaweza ikawa mwisho miaka mingapi?

    Kuna Jamaa yangu alikuja kwangu kunipa taarifa kuwa ataoa muda si mrefu na akaniambia ameshamchunguza mwenza wake vya kutosha. Nikamuuliza kwani umemchunguza kwa muda gani jamaa anadai ni miezi 4 sasa nikapigwa na butwaa kidogo maana miezi minne tuu! Sasa jamaa akahamaki kweli akaniuliza kwani...
  4. karv

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya mahusiano ya kufahamu kabla ya ndoa

    Habari za wakati huu nimepata kitu ningependa kushiriki nanyi wapendwa.. 1)Mahusiano ni magumu na kila uhusiano ni tofauti kikubwa fuata hisia zako tu. 2)Subiri umri sahihi ufike usichekewe sana wala usiwahi sana. Umri sahihi ni ule ambao unaona wewe unaweza kuhimili majukumu na changamoto za...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwafundisha vijana mahusiano yasiyo na hizi ngono zembe

    Swala la ngono hovyo katika jamii limefikia hali mbaya. Boss kulala na wafanyakazi wa chini yake, akiyewekeza kidogo hata kwa mradi wa chai anataka kulala na wauza chai wake. Huko serikalini ndiyo usiseme. Mbali na utandawazi ambao umechangia sana ngono zembe ni hali mbaya ya uchumi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yanataka kuniumiza akili

    Habari humu ndani? Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha JF Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu. Ipo hivi, nimekua kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka 9 na huyu mwenzangu...
  7. Sheillah Sheillah

    JamiiForums Tanzania Usiwe na mahusiano na mtu asiyejua anataka nini

    Za jumapili? Mfano unaenda sehemu na mtu ya kunywa, hajui hata anataka nini anasema nipe tu soda yoyote. Yaani yeye hajui hata anataka nini. Kwenye chakula hivo hivo, hawezi kuagiza anachotaka anaanza kuuliza "kuna chakula gani na gani?. Hawezi kusema nataka chakula hiki au hiki. Kama hamna...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Swali gumu sana kwenye mahusiano mapenzini

  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tunafanyiwa ulozi sana kwenye mahusiano

    Kuna stori moja niliileta hapa, kuhusu dada mmoja alikuwa mpenzi wangu (mchepuko), alifumaniwa na mumewe kwa njia ya simu akiwa faragha na jamaa mwingine. Ambapo, alipokuwa faragha simu yake kutoka kwa mumewe iliita, na katika zile harakati za kushika simu ikawa imejipokea, na mumewe kusikia...
  10. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Ifahamu milango minne ya kuingia katika mahusiano na sababu za kuvunjika au kufanikiwa kwa mahusiano hayo!

    Amani kwenu Wakuu. Elimu ya mahusiano ni kubwa na watu wengi wamekuwa wakielezea mambo kadha wa kadha, kwa upande wangu naomba kujikita katika muktadha tofauti kidogo kwa namna yake japo kwa ujumla wake mambo yanaweza kuwa yaleyale kama ambavyo huelezwa na watu wengine. Bila shaka utakubaliana...
  11. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Khadija Kopa atoa ya moyoni kuhusu fununu za mahusiano ya mwanaye Zuchu na Diamond Platnumz

    Mtunzi na mwimbaji mashuhur wa nyimbo za taarabu kutoka Zanzibar Khadija Omar Kopa amepasua mbarika kuhusu uhusiano wa bintiye Zuhura Othman Soud almaarufu kama Zuchu na bosi wa WCB Diamond Platnumz. Hii ni kufuatia uvumi unaoenezwa kuwa nyota hao wawili wa Bongo wanachumbiana baada yao...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tunaomba mlio kwenye mahusiano mtushirikishe jinsi mlivyoboresha mahusiano yenu

    Kama umedumu kwenye mahusiano, iwe ndoa au hata familia, jinsi unayoishi na mwenza au watoto wako. Tuambie unayo yajua leo ambayo yamesaidia kuboresha upendo, heshima na amani ndani ya nyumba yako. Mambo ambayo ungeyajua juzi na jana yangekusaidia zaidi. Kwa kufanya Hivi tunaweza kuboresha...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Sabubu za Kuolewa nini nini hasa?

    Nilikutana na dada mmoja nilisoma nae ameolewa na kuachika mara nne na sasa yuko kwenye ndoa ya tano! Shida ilianza pale nilipo muuliza mumewe mzima! yeye naye aliniuliza yupi ninayemzungumzia Inawezekanaje mwanamke akaolewa na kuachika zaidi ya mara tano lakini wenzake hawajapata bahati hata...
  14. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kimapenzi walimu, wanafunzi yalivyotikisa 2020/21

    Mahusiano ya kimapenzi walimu, wanafunzi yalivyotikisa 2020/21 Dodoma. Mahusiano ya kimapenzi kati ya baadhi ya walimu na wanafunzi umetajwa kuwa miongoni mwa mambo matano yaliyowatesa walimu kipindi cha 2020/21. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Dk Willy...
  15. KJ07

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kimahusiano 2021, mipango ya 2022 katika mahusiano

    Tukiwa tunaelekea kuimaliza 2021 ni changamoto gani ya kimahusiano ambayo ulikutana nayo hasa katika marafiki zako na katika mapenzi na ulikabiliana nayo vipi? Na je vipi kuhusu mwaka 2022 umejipangaje kimahusiano ili usikutane na changamoto kama za 2021. Binafsi 2021 nilikuwa na rafiki yangu...
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Zitto: Chadema kina mahusiano na chama cha RENAMO 'wauji' cha huko Msumbiji.

    Hizo tuhuma ni nzito kwa Chadema kutoka kwenye andiko lake hapa jf. Chadema kunasabaishwa na kilichopata kutuhumiwa ni chama cha kigaidi cha RENAMO cha huko Msumbiji ni jambo linalo fikirisha sana hasa wakati huu Mbowe ambaye ni M/kiti wa Chadema akiwa gerezani kwa tuhuma za makosa ya ugaidi...
  17. Translator and 97 others

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwaelewa wanaume au wanawake kwenye mahusiano

    Kumuelewa mwanamke ingia kwenye mahusiano na wanawake wengi kadri uwezavyo, hii itakusaidia kukutana na maumivu ya kila aina yanayosababishwa na wanawake kwenye mahusiano na hivyo kuwa sugu na kuona ni ya kawaida. Wanawake hawataacha kuwaumiza wanaume njia pekee ya kuwaelewa ni kuhimili...
  18. VinJoe

    JamiiForums Tanzania Je, kimaadili, mila, desturi na tamaduni zetu za kiafrika ni sawa kua na mahusiano na binamu?

    Miaka mingi iliyopita nikiwa bado mdogo sana familia zetu yaani baba mkubwa baba baba zangu wadogo shangazi yangu walikua wana utaratibu wakukutana kila mwaka mwezi wa 12 ambambo walikua wanasherekea birthday ya baba yao na sikukuu za xmas na mwaka mpya hivyo hata sisi binamu na ndugu wengine...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

    Sikuhizi imekuwa vigumu sana kumtambua mwanaume ambaye tayari ameshaoa! Kwa uzoefu wako mdau,naomba mnisaidie Niko matatani! Nitamtofautisha vipi ambaye ameoa na ambaye sie ilihali sikai eneo LA karibu na anadai kunipenda?
  20. MKWEPA KODI

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Tanzania na Malawi kuhusu Mpaka katika Ziwa Nyasa umeishia wapi?

    Habari wakuu, inaonekana mara ya mwisho nchi zetu zilikutana mwaka jana kujadiliana kuhusu mgogoro wa mpaka wa ziwa nyasa, na kweli kwa mwendo huu inaonekana mgogoro huu hautapata ufumbuzi mpaka mwisho wa dunia na wote tutakufa masikini wakati kuna utajiri mkubwa wa mafuta kwenye ziwa hilo, sasa...
Back
Top Bottom