mahusiano

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kukubali

    Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanamke yupi muongo au tapeli wa mapenzi kwa mwezie
  2. Kinyozi_tz

    JamiiForums Tanzania Umri katika mahusiano

    Habarini wadau nisi wachoshe ngoja niende moja kwa moja katika mada .Katika jamii mwanaume kumzidi umri mwamamke imekuwa jambo lakawaida sana katika suala zima la mapenzi na mahusiano. Lakini linapo kuja swala mwanamke kuwa na umri mkubwa inakuwa nongwa mara anatoka na lishangazi nk ni baadhi...
  3. data

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

    Yani. Uko On point kila mahala. School fees Family and relatives support Daily chores..domestics upo. On Bed even better.. Yani you are perfect. Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya kumshukuru huyo msaada wa pembeni..!?
  4. George Charles007

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

    Wana JF ningependa tulikunjue hili jamvi pamoja ase! Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kumaliza chuo bila kuingia kwenye mahusiano

    Habari wanajf, Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo. Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo hata boy anatongozwa. Lakini sasa ni miezi kadhaa tangu nifike chuo sioni dalili zozote za kupata...
  6. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Wanawake ndio wanaongoza kuanzisha Mahusiano Mapya ndani ya Mda mfupi tu baada ya kuachana na Mpenzi wake?

    Habar Mwanajukwaa la Mahusiano. Kuna jambo nimelifatilia sana ila sijapata majibu shida hua ni nini haswa? Yani Mwanamke A anakua yupo kwa mahusaiano na mwanaume B ikitokea A Na B wakaachana Hua haichukui Round Mwanamke unasikia ana Mtu wake Mwingine tena mbaya zaidi Asilimia kubwa unakuta...
  7. I feel good

    JamiiForums Tanzania Ni sheria zipi nchini Tanzania zinazokataza Mahusiano ya Kimapenzi kati ya ndugu?

    Habari za wakati huu wakuu, Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Incest).
  8. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

    Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa, Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudisha nyuma kama usipoingia kwa akili?Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini...
  9. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Nina mtoto ila nataka kuingia kwenye mahusiano yatayopelekea ndoa. Naeleza vipi kwa mwenza wangu huyu?

    Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024. Naomba tumshauri, anatakiwa afanye...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaoomba hela muda mfupi baada ya kutongozwa huwa wanakuwa kwenye mahusiano ya maana?

    Habarini, Nimewaza hali ya uchumi ilivyo, na tabia ya wanawake kupiga mizinga kila mwanaume anaewatongoza. Najiuliza, mwanaume gani ataombwa hela siku chache baada ya kutongoza, halafu aweke kambi kwa huyo dada? Sana sana ama akiombwa hela mara ya kwanza atakimbia, au atahonga mara ya kwanza...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo unayotakiwa uyaelewe kwenye mahusiano ya mapenzi na ndoa

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kutokana na umri wangu sio rafiki tena. Acha nifupishe. Unapoingia kwenye mahusiano ya mapenzi ambayo unataka yawe serious na au unaingia kwenye ndoa na unataka utulivu. Kuna mambo lazima uyajue na kuyaelewa. Mambo hayo ni kama ifuatavyo; 1. Hisia hubadilika...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke mtu mzima tuanze mahusiano

    Mimi Nina miaka 38,nahitaji mama mtu mzima 43+,tuwe kwenye mahusiano,mke nilikuwa naye nimemwacha . Sihitaji mtu anayepungua umri huo ,nahitaji mama mtu mzima kabisa . Sifa: Awe tayari kupima na awe HIV negative Awe mkarimu Awe anajiheshimu na kuthamini utu wake Awe muunimi wa kikristo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Je, mahusiano bila kufanya mapenzi ni sawa na urafiki tu?

    Habarini ndugu zangu, Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti kutokana na mitazamo tofauti. Swali langu ni Je katika umri wa ujana mdogo (20-25) au umri wa chuo...
  14. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Je, Umemchoka Mpenzi wako au mahusiano? jifunze hapa

    Kuchoka ktk uhusiano huonekana kwa mtu kujitenga au kumuepuka mwenzi wake kwa sababu mbalimbali. Baada ya muda, mtu anaweza kujitenga kwa ufahamu au kwa makusudi kutokana na hisia za kutojali na kukosewa jambo katika uhusiano. Ingawa hii inaweza kuathiri sana mahusiano, kuna mambo hufanya ili...
  15. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Mkaka mmoja alalamika juu ya wanawake kutaka kipaombele zaidi katika mahusiano

    Mkaka mmoja alilalamika kua: Atamnunulia nguo huyo mwanamke kila week mdada akiona nguo nzuri mwanaume atanunua Atampeleka outing mara nyingi kwa gharama zake Atamlipia hela akasuke aweke kucha zake sawa Atamlipia hela za michezo au vikoba upatu vyote atalipa Atamnunulia zawadi kwenye kila...
  16. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinawagopesha wanawake katika mahusiano

    Hivi wa dada, Katika mahusiano ukiwa unaanza nini kikubwa ndio kitu ambacho unawasiwasi nacho? Unaogopa kuwa utapotezewa muda, au ni kwamba jamaa ameshakula na amekuacha tu kama mchezo mchezo? Je ni kweli, wanawake wanaamini kwamba mapenzi huwa addictive, kwamba ukifanyanae mapenzi nae, lazima...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimewahi kukutesa kwa muda mrefu ukiachana na mahusiano ama kumpoteza mtu?

    Kwenye maisha kuna kipindi unakuta unapitia machungu kama vile Kufirisika / kufulia Uraibu uliokurudisha sana nyuma kiuchumi mfano kubeti, ulevi, n.k. Matatizo na vyombo vya sheria mfano kesi za mahakamani, Mapolisi kukusumbua, n.k. Kurogwa - Hatupaswi kuuamini ila haya mambo yapo hata kwenye...
  18. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye faida na mwanamke mzigo katika mahusiano au ndoa

    Mahusiano mazuri au ndoa imara inategemea na aina ya mtu uliyenae katika mahusiano au ndoa husika. Naomba niwape siri moja ambayo pengine dada yangu umekuwa ukiichukulia kawaida na kuendelea kuwaita wanaume wote mbwa kumbe kosa ni lako mwenyewe. Na kaka yangu pengine na wewe umeendelea...
  19. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Vijana Mlioko kwenye mahusiano chukueni hii mnishukuru baadae

    Watu wengi Mnashindwa kuelewaga mambo madogo na mnakuwa Vipofu katika mapenzi kwa kutoona vitu vidogo vidogo. Leo acha niwaambie ishara mbaya kwa mpenzi. Mwamba/Dada unapokuwa katika harakati zako unawasiliana na mpenzo wako, na hata msipowasiliana basi utamkuta online huko WhatsApp, Instagram...
  20. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Mahusiano

    Uzuri wa Dar es Salaam sasa hivi ukiachwa unauwezo wa kulia hata sokoni mchana kweupee, kikubwa usitoe sauti na watu wakajua ni "RED EYES" kumbe unakung'utwa na mapenzi! 😀🚮
Back
Top Bottom