Ewe kijana usikubali kuoa au kuwa katika mahusiano na binti anayeigiza kukupenda.

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,712
36,168
Habari
Kwa nchi za Afrika Tanzania ikiwemo kuna trend kubwa ya wanaume kufa mapema kuliko wake zao.
Wakati naishi Uswahilini nyumba nyingi nilizopanga au nyumba za majirani nyingi hazina wanaume (baba mwenye nyumba).
Hii yote sababu kuu ni wanaume kujiingiza katika mapenzi au ndoa na wanawake wasiowapenda.
Kama mwanamke hakupendi hutoboi, hufiki mbali, hata pension yako ni nadra sana kuila.
Kuna vipimo vingi vya kupima kama binti anakupenda haswa au anakuigizia tu kwakuwa una kazi nzuri, biashara kubwa au umetokea familia nzuri. Sometimes hupenda umaarufu wako tu. But she is far from your soul
Ukimwoa binti asiyekupenda hata kama ulimkuta bikra lazima atakusumbua.
Ukimkuta unsealed ndo kabisa umekwisha , mpaka aliocheza nao utotoni atawapa unyumba.
Jaribu njia hii inaweza kukusaidia kumgundua binti anayeigiza kukupenda.
Mwahidi jambo litakaloamsha moyo wake. Let's say "keshokutwa twende nikakupige shopping ya gauni zuri na viatu vya gharama"
Ikifika keshokutwa ameshaondoka tayari mwambie sorry pesa iko kwenye account yangu ya bank na bahati mbaya kadi nineisahau nimegundua sasa hivi.
Akikuambia basi hamna shida nataka angalau nikuone tu nifurahi. Huyo oa haraka.
Asiyekupenda atakuambia basi ifuate bila kujali umbali wa ilipo hiyo kadi.
Mblock na umfute kichwani mwako ili uishi maisha marefu. Au mwambie kabisa nimekupima hunifai, nakutakia maisha mema.
Au mwambie saa moja usiku nitakutumia pesa sh. 10k, 20k, 50k n.k kulingana na hali yako
Saa moja ikifika zima simu iwashe kesho saa tatu.
Soma sms zake hapo utajua kuwa una mchumba au kachumbari.
Asubuhi njema
 
Pole mkuu, yatapita.....Hata hili pia mkalitazame

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Aiseeeh

Ila mbaya sana kuahidi kitu/vitu kwa mwanamke ikiwa una uhakika wa kutekeleza,acheni hiyo

Kumpima mtu kwenye upendo mbaya pia hiyo..jitoe tu
 
Mwanamke anayekupenda atakuhudumia kwa chochote kilicho kwenye uwezo wake iwe ni kukupikia, kukufulia, pesa, nguo, marashi au vitu vinginevyo au atataka kukuhudumia ivyo vitu.

Sasa hapo akili ni zako tu kukubali, kukataa au kuzichenga huduma zake.

Hayo mengine Mkuu ni kujichosha tu.
 
Au mwambie kabisa nimekupima hunifai, nakutakia maisha mema.
Au mwambie saa moja usiku nitakutumia pesa sh. 10k, 20k, 50k n.k kulingana na hali yako
Saa moja ikifika zima simu iwashe kesho saa tatu.
Soma sms zake hapo utajua kuwa una mchumba au kachumbari.
Asubuhi njema
Kwa hizo test zako zote mbili mi nna swali..

Ni ki vipi kipimo cha uongo kitatoa majibu ya ukweli?
 
Utajuaje Sasa labda uwe na elimu ya mahusiano maana uchumba ni pretending uchumba ni maisha feki ndoa ni maisha halisi.
Unaweza ukafeki uchumba na Sio ndoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom