Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 604
- 1,534
Baada ya purukushani za muda mrefu sana na haya maisha nimegundua kukosa umakini wa kufikiri na kuamua mambo kwa weledi yamepeleka mahusiano ya mapenzi kuwa ndio chanzo kikuu cha watu wengi kupoteza mielekeo mizuri ya maisha.
Ujana, utu uzima na uzee una mambo mengi sana ambayo huwezi kuyatenganisha na mahusiano ya mapenzi lakini katika hayo ndio yamewafanya wengi wamepatwa na ugonjwa mbaya wa ukosefu wa afya njema ya akili, wen wengi wameenda jela, wengi wamejiua, wengi wamefilisika kwenye biashara, wengi wamefukuzwa kazi, wengi wameishilia kubaya na mpaka sasa wanajuta kwa nguvu, akili na rasilimali za kila namna walizozitumia kwasababu mahusiano ya mapenzi.
Kuyatukuza mapenzi kuliko mambo mengine ya msingi ni sawa na kuvua nguo mbele ya kioo cha wanakijiji. UTADHALILIKA NA KUFEDHEKA SANA. Uwe makini