Kwanini tupo tayari kuchukulia poa Mahusiano ya Girfriend na Boyfriend ila tunapuuza kwamba ni uzinzi?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
, Siku hizi imekuwa ni kawaida sana wazazi kujua kijana wao ana boyfriend ama girlfriend na wazazi hawana shida.

Hapo wazazi wanajua kabisa kwamba vijana wanasex ila wanaona ni sawa tu, na hii imepelekea wazazi wawe wanawapa vijana sex edication kuwaasa watumie mipira (condom), ila muda huo huo wanawahamasisha wawe wanaenda kanisani.

Hali hii huwa inaendelea hadi mtu anafika miaka 33 hajaoa, kazoea zaidi mahusiano ya ma Girlfriend na ma Boyfriend.

Ni sawa kupuuza?
 
Wenzenu walishatoka huko kwenye hivyo vitabu!,hivyo vitabu it's only brainwashing machine!.

Fikiria ukae na upwiru wako toka umebalehe kisa unamsubiri wakuja kuolewanae!, what if asipopatikana.

Uhalisia wa maisha haupo hivyo na ndio maana watu wanatumbukia kufanya tu then anajidanganya anatubu kesho Tena upwiru ukimkamata anafanya...

Ni ngumu kushindana na mwili wako mwenyewe ukiamua kukupeleka unakupeleka tu.. the same God who says "Usizini" it's the same God who made you with upwiru!...

And also it's the same God who made a devil!,not only that it's the one who will dump you in fire for your sins!.

This is very crazily movie...😅
 
Mbona umemjibu kibabe sana mkuu😃😃🤔
Hapana, hizi dini watu walituwekea ili kutuendesha, kwa mfano hapa bongo mtu anabalehe btn 9 to 15, mtu akae na nyege hadi afike miaka 25 ndio avute jiko, huoni hamna uhalisia kabisa, ndio maana wazee wetu ilikua vijana wakibalehe wanapewa mwenzake hapo kabla dini hazijaja, hivyo nitakua wa mwisho kuamini kwamba sheria za dini ni sahihi kuliko za kwetu.
 
Kama kuna ukweli hivi🤔🤔
 
Back
Top Bottom