mahusiano

  1. maishapopote

    JamiiForums Tanzania Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga

    Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana! UPDATES: Mtuhumiwa baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama dakika mbili kwa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna Wanaume wenye huu 'Utoto' na 'Ushamba' ndani ya Ndoa na Mahusiano?

    ''Kwa experience yangu mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani. uko na mwenzio kwenye ndoa lakini hakui kila kitu ni Mama aamue'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Swali analotakiwa kumuuliza mwanamke ukiwa unatafuta mpenzi ni kama ameolewa. Akijibu hapana basi huyo yupo single

    Nimeagizwa niwaletee huu ujumbe
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Kijaji: Mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Mwaka 2023, thamani ya mauzo ya bidhaa kwenda katika Soko la Ulaya iliongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 3.836 kutoka shilingi trilioni 2.446 mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 56.8. Ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa za kilimo na viwandani kwenda katika nchi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze tofauti kati ya wivu na kutojiamini kwenye mahusiano

    Wivu kwa maana rahisi ni kutojiamini muda wote unahisi kuna watu wenye sifa zaidi yako watakuibia mpenzi wako, Wivu hukoleza mapenzi. Kutojiamini ni wivu uliopitiliza kiasi yaani muda wote unahisi umpendaye ana njama mbaya dhidi yako kiasi cha kila siku kuwa na migogoro isiyoisha,Kutojiamini ni...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye Tabia hii mbaya na inayoharibu Mahusiano yenu na inayowakera 99% ya Wanawake badilikeni tafadhali

    Yaani kabisa Mwanamke wako ( Mtoto wa Watu ) umempenda Mwenyewe na kuamua kuwa nae lakini cha Kushangaza uko nae Kwako Dar es Salaam ila Maelekezo yote ya Kuishi na Mkeo au Mpenzi wako ( Mchumba ) yanatoka Kijijini ( Mkoani ) aliko Mama yako Mzazi au Mlezi wako. Huu ni Ujinga wa Kiwango cha...
  7. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisaikolojia: Sijiskii kuwa kwenye mahusiano kabisa

    Habari wana JF. Mimi ni ME wa humu JF. Tatizo langu kubwa, nimepoteza hamu kabisa ya watoto wa kike. Ninapokuwa karibu yao ndo napata muwashawasha wa kuwa nao kwenye sita kwa sita. Ila ninapowapa mgongo, habari zao kwisha Sijiskii kabisa kuwa kwenye mahusiano, na si hivyo tu, bali hata...
  8. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika nyanja ya mapenzi, mahusiano na ndoa

    NB: picha kwa hisani ya mtandao. UTANGULIZI. 👉 Linapokuja suala la mapenzi, mahusiano, na ndoa, watu wanaweza kuwa na matakwa mbalimbali yanayohusiana na hali ya maisha, utamaduni, na imani zao. Wakati mwingine, matarajio haya yanaweza kutofautiana kulingana na umri, jinsia, na hata muktadha...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Zanzibar na Comoro zina mahusiano Maalumu

    ZANZIBAR NA COMORO INA MAHUSIANO MAALUM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar na Comoro zina Mahusiano maalum ya kuchanganya damu wa kindugu hivyo ameridhia kufunguliwa kwa Konseli Mkuu wa Comoro hapa Zanzibar. Rais Dk. Mwinyi...
  10. Edson Eagle

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Ex wako aliyekuwa anasema hawezi kuishi bila wewe? Umejifunza nini sasa akiwa anaishi bila wewe?

    Hivi unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia? Ulijifunza nini baada yakuachana naye halafu ukakutana naye anaishi wakati alisema bila wewe hawezi ishi😂
  11. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania Viwango vya hisia na mihemko katika kila ngazi za mahusiano ya kimapenzi

    ELEWA VIPINDI NA HALI YA MIHEMUKO KATIKA NGAZI ZA MAHUSIANO Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA JITU LA MIRABA Katika kahusiano kuna mihemko inatofautian kati ya jinsia na nyakati za kimahusiano, andiko langu la leo linawahusia wapenzi kufikia katika mihemko ya kufanana ili mapenzi...
  12. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma

    Usiombe umpende mtu haswa halafu yeye akuoneshe dharau asiwe na upendo nawewe asee Dunia utaiona chungu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naingia kwenye mahusiano na mapacha mara kwa mara, kitaalamu ipoje hii?

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye mahusiano ana pacha wake(TWIN) au nikimtongoza mdada ambaye ni pacha anakuwa mwepesi kunikubalia sasa huwa...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania UVCCM Kuendelea Kuenzi Mahusiano ya Kidugu ya CPC China na CCM

    UVCCM KUENDELEA KUENZI MAHUSIANO YA KIDUGU YA CPC YA CHINA NA CHAMA CHA MAPINDUZI Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amekutana na Balozi wa China nchini, Mhe. Chen Mingjian, tarehe 07 Mei 2024 Ofisi za Ubalozi wa China...
  15. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Una ushauri gani kwa kijana anayetafuta mafanikio ya kiuchumi na ya mahusiano?

    Una ushauri gani kwa kijana anayetafuta mafanikio ya kiuchumi na ya mahusiano?
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Mshauri wa Saikolojia na Ndoa za watu nchini Tanzania Dkt. Mauki ndiyo kusema yeye ni Malaika na hakumbani na kero zitupatazo?

    Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, yeye hachepuki na kwamba yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia? Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dkt. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye Changamoto zetu za Kimahusiano tuitumie Kuwaonyesha Wapenzi / Wake zetu ili Wakiiona tu nao...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Muda wa kawaida wa tendo la ndoa ni dakika 3 mpaka 7, fantasy zinaua mahusiano na ndoa za watu

    Tuwekane sawa #Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu. #Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa akamaintain huo muda wa tendo la ndoa kama mkiwa kwenye relationship au ukichepuka. Kuna mambo mengi nyuma...
  18. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu mnawezaje kujizuia na vishawishi nje ya mahusiano yenu?

    Yaani sielewi Yani, hivi mnawezaje kuvumilia vishawishi vya nnje?? Yani nipo na mwanamke hapa nmelala nae lakini akili akili ipo Kwa kidada kimoja kizur cheupe chenye makalio mazuri nachokionaga kazini kwangu. Mimi naamini kwenye hii Dunia hakuna mwanaume anaeweza kuwa na mwanamke mmoja tuu...
  19. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

    Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana. Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa. Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata mwenza wa kuishi na kujenga naye familia hakikisha ni wa imani yako na kama ni imani tofauti basi hakuna...
  20. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari unapoingia katika mahusiano na wanawake hawa

    CHUKUA TAHADHARI KUBWA UNAPOJIINGIZA KWENYE KAHUSIANO NA WANAWAKE WAFUATAO. Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA 1. MWAMAMKE ALIYEKO KWENYE MSONGO WA MAWAZO Unapojiingiza katika mahusiano na mwanamke ambae ana msongo wa mawazo unakuwa umeanza kujiingiza kwenye shida, mwanamke aliyepo kwenye...
Back
Top Bottom