Ni ipi kazi ya shanga kwenye mahusiano?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,485
40,502
Kutokana na utandawazi, karibia robo tatu ya warembo kwa nyakati hizi huwa wanavaa shanga kiunoni au ata miguuni; wao wanaita urembo.

Ingawa wao wanavaa wakiamini, huwa zinawapendezesha na pia uwavutia wapenzi wao pale wanapokuwa au wanapohitaji kuwa kwenye mahusiano.

Mara nyingi warembo ninaokutana nao, huwa wana hizo shanga, na tunapokuwa kwenye tendo la ndoa huwa sioni kama zinaongeza chochote, zaidi tu ya kuziona basi.

Siku moja nikaamua kuzifanyia ubunifu; nikiwa nipo kwenye zoezi, nilizikamata hizo za kiunoni na kuzisokota ili zibane kiuno; baada ya hapo nikawa nachochea moto, mara nikaona ushirikiano unaongezeka kwa spidi kubwa, kiuno kikawa kinazungushwa kama feni huku akilalamika; ndipo nilipogundua, ile ndio itakuwa kazi kubwa ya shanga za kiunoni.

Kwa nyie wakuu, huwa mnazitumiaje zile shanga katika kunogesha tendo la ndoa?
 
Haziongezi chochote zaidi ya kuiga tu wanawake wengi wanaishi kwa hisia thus wanaiga tu chochote
Wakionekana MTU anatoboa masikio mawili,kila mmoja utoboa,Kama ni kuvaa pensi kila mmoja uvaa
Sio kweli.. Zina kazi yake labda useme kwa wasio jua maana😂😂😂
Shanga inaweza kukuonyesha mwanamke yupo katika hali gani bila kuongea, mfano ukiona ina nyekundu,nyeupe,nyeusi.👍
Shanga inakuonesha mwanamke yupo ready kwa tendo, inakuonesha pia kama hayupo tiar..
Zinahamsha hisia hata kwa mwanaume ambae hakuwaza kufanya tendo.. 😀
Kama unaelewa utajua ila kama hujui utaona ni urembo tuu au kero..👋

Na hazitakiwi kuonekana njeee ni mali ya ndaniii, wenye kuiga bila kujua maana ndo hufanya ivyo. 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom