mahusiano

  1. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania Uhusiano na mahusiano

    TOFAUTI KATI YA UHUSIANO NA MAHUSIANO Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA CHALINENEE Kuna changamoto kubwa binadamu anaipata nanapojikuta katika uhusiano badala kuwa na mahusiano, kwa tafsiri isiyo rasmi, natumia lugha ya picha kuelezea mazingira ambayo unajikuta unampenda mtu kuliko...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanaokuacha kwenye Mahusiano, wengi wao walishapanga hivyo hata kabla ya kufanya kosa hilo…

    Wanaokuacha kwenye mahusiano wengi walipanga hivyo hata kabla ya hilo kosa wamelotumia kama sababu Mara nyingi anayeachwa anakuwa na msongo wa mawazo na kujiona asiye faa kwenye hii Dunia na wengine huenda mbali mpaka kujiona wasio na thamani yoyote, je nawe umewahi kuwa hivyo baada ya kuachwa...
  3. Ugwanzee

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpendwa. Iwe katka mahusiano, urafiki, ujamaa, udugu n.k

    alie tayar kua kati ya hvo juu hapo naomba ancheki dm ila mm ni mwanaume so natafuta mwanamke kutokana hiko kchwa cha.habar hapo juuu ni yoyote yule ila mwanamke kwa umri wowote ule alie tayar katka hayo yalyo juuu
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mkweli kabisa kutoka moyoni, How are you? Unaendeleje na hali?

    Wana MMU, Wengi tukisalimiana unaambiwa good moorning, unajibu tu kukamilisha salamu. Unaulizwa unaendeaje na hali unajibu fasta tu salama wakati ukweli ni kwamba unakaribia ku give up, maisha yako yameshikiliwa na ki uzi chembamba tu kiasi kwamba upepo ukipiga kidogo tu umekwenda. Wengine...
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

    Nimeketi zangu room, sina habari, nje wameketi Mwanamke mmoja wa 1998 na mwingine wa 1979... Wote wameolewa 1998 Mume wake ni wa 1990, na wa 1979 mume wake ana miaka 70+ Huyu wa mwanamke wa 1998, mume wake ana wivu wa kupitiliza na uwa inapelekea wanakwaruzana mara kwa mara, mpaka dogo...
  6. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Kuitana 'babe' kwenye mahusiano ni utoto na mwanzo wa kukosa kuheshimika, hasa kwa mwanamme

    Imagine mwanamme unaitwa babe sijui baby, yaani mtoto? Hii sio kweli. Kwa mwanamke ni sawa, sababu hata kwa kiswahili tunawaita watoto yaani 'totoz' au 'bebez'.... kwa mwanamme ina maana gani? Kama ni kwa mahaba, basi iishie siku za mwanzo tu za uchumba ile kudanganyia.... ukishanasa haina...
  7. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya nyanja ya Mapenzi na Mahusiano ( Dating is not for Weak)

    Kama mfuatiliaji wa mitandano sasahivi kuna trending ya kupeana awareness na miongozo kuhusu mahusiano hususani suala zima la kuwa SIMP. Hii miongozo mingi imekuwa ikiwahusu wanaume maana wanaume walikuwa ni watu wa kupambania uhusiano wao tu na wanawake kujiona kundi ambalo hawana wajibu wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kinachosababisha watu wengi kuharibu maisha ya watu makazini ni wivu, uchawi na kufuatilia maisha ya mtu ambayo hayana mahusiano na kazi mnayofanya

    Utasikia huyu jamaa anakunywa kila siku. Wewe inakuhusu nini? Utasikia jamaa huwa haishiwi hata katikati ya mwezi. Shida yako nini? Utasikia jamaa mtaani anamdemu kibao. Tatizo nini? Dili na masuala yanayokuunganisha na mtu kwenye kazi sio maisha yake binafsi kiasi cha kumuonea wivu na kumroga.
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi ukianzisha mahusiano na mwanamke jua amefuata kitu kwako

    Yaani mitaani tunaona hakuna stori nyingine zaidi ya maokoto. Siku hizi wanawake ndo Wana hit na ku run Ndo maana hata ukitangaza kumpenda mtu mtaani swali la kwanza utaulizwa ni UNA HELA?
  10. Nyamesocho

    JamiiForums Tanzania Je, kwa kisa hiki kijana alipaswa kumwambia mchumba wake kabla ya kumuoa kuwa ana mahusiano mengine?

    Hiki ni kisa cha kweli kimetokea mtaa jirani, je mwanaume alikuwa sahihi kutoa talaka? Iko hivi baada ya kijana kuhangaika kutafuta maisha kijijini aliamua kuzama mjini kusayasaka maisha hata hivyo haikuwa rahisi ikabidi azame kwa Jimama mwenye pesa. Aliishi na huyu Jimama zaidi ya miaka 10...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Linapokuja suala la mahusiano wakomavu tuko hivi

    LINAPOKUJA SUALA LA MAHUSIANO WAKOMAVU TUKO HIVI 😊 1.Ukishindwa kutupenda tulivyo usidhani tutakubali kuishi kama utakavyo ili ndio utupende 2.Tuna muda na anayetupenda ila hatuna muda wa kupoteza kutafuta kupendwa 3 .Tukiachwa tunajua tumepewa fursa ya kupendwa kwingine. 4 .Ukija kama...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Subiri IDD ipite ndo uanzishe mahusiano ,soma alama za nyakati

    Aisee jiongeze usitongoze msichana weekend hii lazima akupige panga la kisogo lazima kirungu kihusike umtunze hela ya kijora au dera apate mtoko wa sikukuu. Kukataliwa hutakataliwa hata kidogo kikubwa ni maokoto.
  13. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanawake wamegeuza mahusiano kuwa biashara na wanaume mitaji yao

    Ndugu zangu Ukituliza akili na kuyatafakari kwa kina mahusiano ya sasa utagundua wanawake walio wengi wameyageuza ni biashara ya kuuziwa bidhaa ambayo hubakiwi nayo huku sisi wanaume tukifanywa ndiyo mitaji yao Utagundua kabisa katika hii biashara wanawake hawana cha kupoteza zaidi ya sisi...
  14. proton pump

    JamiiForums Tanzania Yule mwanamke mzuri aliyeumbika, nyumba, gari, mashamba na biashara unayo kama ulivyopanga?

    Maisha mengi tuliyonayo yalianza kama picha inayojengeka akilini. Hakuna mwanadamu asiyependa vitu vizuri. Ushindani na matamanio ya mwanadamu yanazua mambo mengi. Pale unajaribu hili na lile ili kupata vizuri halafu ukavikosa ndipo akili inapoanza kuchanganyikiwa. Zipo nyuzi nyingi za...
  15. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Hivi shida ni nini? Kila mahusiano nikiingia nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza mpenzi wangu anakubali

    Habari wanaJF. Nina imai mko poa kabisa Kama kichwa cha habari kinavyosema Nimekuwa na mahusiano na wasichana takribani watano mpaka sasa hivi, ila cha kushangaza kila demu napokuwa kwenye mahusiano naye nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza kama mwanaume mwingine huwa wanakubalii kabisa...
  16. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa NATO atenguliwa kushukiwa kuwa na mahusiano na Russia

    Baada kipigo cha Russia kwenye maficho ya NATO huko Ukraine NATO wameanza kumtafuta mchawi... #BREAKING Polish Lieutenant General Jaroslaw Gromadzinski, a commander of Eurocorps, a joint military group of some EU and NATO states, has been removed from his post after a counter-intelligence...
  17. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Kanuni 10 muhimu za kukusaidia na kukulinda mwanaume unapochepuka na mke wa mtu

    Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume. Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:- 1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye. 2...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

    Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi. kama uamini, poteza kipato uje utoe ushuhuda hapa jukwaani. Kama huna kipato au ramani zako hazisomeki, atakuvumilia kwa muda tu, baadaye anakutelekeza. Kwa kifupi, hakuna mwanaume anayependwa bila kuwa na kipato...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu kwenye mahusiano mengi

    Wanawake wakiwa wanapeana ushauri kusuhusu mahusiano, wanaambiana kuwa. "Shosti wewe date na Hao wanaume wote, halafu angalia yupi anajali zaidi na ana hela kuliko wenzie halafu ndio akuoe". NB: WANAUME TUWE MAKINI AISEE!
  20. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Basi wakati tunaumia sana kuhusu mahusiano tuliyopitia au tunayopitia basi tukumbuke kuna Geremi Njitap

    Huyu ni mchezaji wa zamani wa Cameron , Chelsea na Madrid
Back
Top Bottom