mahindi

  1. Star onair

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mahindi yanauzwa, karibuni

    Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia) Debe la mahindi utapata KWA 8500 Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa. Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k. Ila ofa hii ipo KWA kipindi hiki cha Ramadhani baada ya hapo haitokuwepo tena wahi sasa KWA 8500 tu. Karibuni
  2. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

    Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana. Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani? Je, ni Ufipa? Na kwanini mwakani watakosa chakula? Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe. Maendeleo hayana...
  3. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Mahindi ni zao linaloongoza kuua mitaji ya wakulima nchini

    Kilimo cha Mahindi kinashika zaidi ya 55%,ya vilimo vyote nchini, Mahindi yanalimwa karibu nchi nzima. Soko la mahindi nchini limekua la utani sana hasa msimu wa 2020/21 mpaka sasa bei kwa gunia la serikali la mahindi kwa Mikoa inayozalisha kwa wingi kama, Ruvuma,Rukwa na Mbeya ni TSH...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zuio la mahindi kuingia Kenya, ni kwasababu makamu wa Rais anataka soko la mahindi yake

    Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, amedaiwa kuwa na shamba la mahindi hekari 500,000 nchini DR Congo, ambapo ametumia nguvu yake kisiasa kupata uhakika wa soko la mahindi yake Baadhi ya wabunge wa DRC wamethibitisha hilo. Ili kupata soko la mahindi alilazimika kuzuia mahindi kutoka Tanzania...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana hili la mahindi lilikuwa namna ya kutafuta pakupotezea wadadisi wa mambo

    Kuna mshkaji mtaani tulikua tunajadili changamoto iliyopo kwenye zogo la mahindi baina ya Kenya na Tanzania, akanipa uwezekano wa wazo fulani, naifahamu sana Serikali yangu ya Kenya ikitaka kuficha kitu kwanza huwa na mazoea ya kuibua jambo lingine litakalosababisha migongano ya baina yetu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Burundi yapiga marufuku uingizaji wa mahindi na unga kutoka nje

    Serikali ya Burundi imepiga marufuku uingizaji wa mahindi na unga nchini humo kutoka nje ya nchi wakihofia kuwemo kwa sumu kuvu katika punje za mahindi. Marufuku hiyo itadumu kwa miezi sita kuanzia 08/03/2021 My take; Tanzania tujipange vizuri haya ndio masoko yetu. Pia soma > Kenya yatangaza...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwa huu uzushi Serikali ipige marufuku mahindi kwenda Kenya, badala yake mahindi ya ziada yatumike kuzalisha vyakula vya mifugo

    Hivi karibuni kumetolewa madai na kenya kuhusu mahindi yetu kuwa na sumu kuvu. Swala la milipuko ya watu kuugua na kufa kwa kula mahindi yenye viwango vya juu vya aflatoxin limekuwepo nchini kenya tangu mwaka 1981. Mfano, mwaka 2004 wakenya 317 waliugua na 125 walifariki kutokana na kutumia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mahindi tani 260 kutoka Tanzania yakwama mpaka wa Holili upande wa Kenya

    Takribani tani 260 za mahindi kutoka Tanzania yamekwama katika mpaka wa Holili upande wa Kenya yakihofiwa kuwa na sumu kuvu Meneja wa TRA kituo cha Holili amesema mahindi hayo yamepimwa upande wa Tanzania na kuonekana ni salama kwa chakuka lakini yapofika Kenya yalizuiwa na kuchukuliwa sampuli...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 12 Year-Old Kenyan Wins Global award, she was the only child, and African nominated for the award

    Sheila Sheldon with her Nina Simone Global Award on March 8, 2021 TV 47 12-year-old Sheila Sheldone Charles, on Monday, March 8, won the 2021 Nina Simone Artistic Excellence Honoree for Young, Gifted, and Black Entrepreneur. She was the only child, and African nominated for the award. "My...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Malori 25 ya Mahindi yazuiliwa kuingia Kenya

    Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akiwa na Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Nchini (TBS) Yusufu Ngenya, pamoja na mkuu wa kitengo cha Afya ya mimea, katika mpaka wa Namanga, ambapo kwa pamoja wameonekana kushangazwa kwa kuzuiliwa kwa malori 25 ya shehena ya Mahindi kutoka Tanzania. Hata...
  11. J

    JamiiForums Tanzania RC Shigella: Hakuna mahindi yaliyozuiwa kuingia Kenya kupitia mpaka wa Horohoro, Jana na leo tumevusha tani 570

    Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigella amesema habari zilizoenea mitandaoni kwamba Kenya imezuia mahindi kutoka Tanzania hazina ukweli wowote. Shigella ambaye amefanya ziara ya kushtukiza mpakakani horohoro ameelezwa na afisa forodha wa hapo kuwa tangu tarehe 5 march hadi leo zaidi ya tani 570 za...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Zuio la mahindi kwenda Kenya tusiwatupie lawama Wakenya. Nchi yao inayo haki kulinda raia wake

    Inashangaza sana kuona watu wanailaumu nchi ya Kenya kuzuia mahindi toka Tanzania kuingizwa nchini humo. Watu wengi wanailaumu Kenya kana kwamba haina mamlaka ya kulinda raia wake na mipaka yake. Kama mahindi ya Tanzania au nchi nyingine yamepimwa mamlaka husika za Kenya na kuonekana yana sumu...
  13. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatakiwa iuze unga wa mahindi nje ya nchi, ni muda muafaka Sasa kulisimamia hilo tusililie kupeleka mahindi Kenya

    Kuhusu mahindi yetu kuwa Yana sumu au hayana sumu, mamlaka husika zihakiki ubora huo kwenye viwanda maalum vya kusaga mahindi yetu vitakavyo kuwa vimeidhinishwa angalau kila mkoa. Vilevile madawa yenye sumu yadhibitiwe yasiweze kumfikia mkulima ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wakulima wetu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Hatujapokea taarifa rasmi kutoka Kenya kuhusu kuzuiwa mahindi yetu ila magari yetu yamezuiwa!

    Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali haijapokea taarifa rasmi kutoka Kenya juu ya kuzuiwa kwa mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo. Bashe amesema wakipewa taarifa watachukua hatua stahiki japo mkuu wa TRA Namanga amethibitisha mahindi ya Tanzania kuzuiwa kuingia Kenya kwa...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

    Mamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imesema uchunguzi umebaini kuwa mahindi yayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa matumizi ya wakenya Wamesema mahindi hayo yana kiwango kikubwa cha mycotoxins, hasa aflatoxins na fumonisins ambazo yanajulikana kusababisha saratani Sumu hizo...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Dunia inakwenda kwa kasi sana, unaweza kusaga mahindi nyumbani bila kwenda mashine

    Wale wanaowekeza kwenye mashine za kusaga nafaka. Matumizi yatakua ni kusaga unga mwingi labda kwaajili ya taasisi au mikusanyiko ya watu. Kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani unaweza kusaga unga wako nyumbani.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua wilaya inayoongoza kwenye kilimo cha zao la mahindi katika mkoa wa Morogoro

    Wakuu naomba kujua wilaya gani ni nzuri zaidi kwenye kilimo cha zao la mahindi katika mkoa wa Morogoro?
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji maghala ya kuhifadhi mahindi Songea na Dodoma

    Habari zenu wadau wa kilimo biashara. Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mdau wa kilimo cha mahindi na naomba kujua namna ya kupata maghala ya kuhifadhia mahindi kuanzia tani 1000 kwa wakati mmoja kwenye hiyo mikoa. Pia ninaomba kujua gharama na muda wa kukodisha kwa kila...
  19. The Boss

    JamiiForums Tanzania Mahindi ya kuchemsha

    Why mahindi ya kuchemsha ya mikoani au vijijini au pembezoni mwa jiji Yana ladha tamu kuliko haya ya mjini? Shida iko wapi? Wa mjini wanakosea wapi? Kutumia gesi? Umeme? Au aina Tu za mahindi?
  20. Gwallo

    JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi kwa sasa

    Wanabodi habari za leo! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja, nimelima mahindi na nikayahifadhi store maguni si mengi kama 200 hivi. Je kuna mdau yeyote anayejua bei ya kilo ni Shilingi ngapi kwa sasa kwenye eneo lako ulipo? Kwa Mkoa wa Arusha na maeneo mengi ya Wilaya zake bei ina-range...
Back
Top Bottom