mahindi

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwanini Pesa za serikali zilizoongezwa kwenye bajeti ya kununua Mahindi zinaitwa pesa za Rais?

    Amesikika Mh Waziri Mkuu bungeni akimpongeza Rais Samia kwa kuongeza pesa ya kununua Mahindi ya Wakulima zilizofikia Bilioni hamsini. Kwa kadri ya ufahamu wangu Mh Rais hakuitoa hela hii kutoka kwenye Mshahara wake bali ametoa hela hii kutoka kwenye Mfuko wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mahindi kukosa soko

    Ningependa kuchangia walau kidogo kuhusu mahindi kukosa soko Hizo ni dalili la kutokua tayali hayo ni matokeo ya kuto kukijua vyema Tanzania endapo Kila mkulima stamina kisses Kama tuna to shawishi Hali itakuaje? Hiyo ni neema kidogo tu ya mahindi tayari Changa moto mahindi tusiyachukulie ni...
  3. MKEHA

    JamiiForums Tanzania Sakata la mahindi litaondoka na serikali?

    Kumekuwa na kelele sana juu ya anguko la bei ya mahindi kote nchini. Kiasi ambacho imebidi CCM iingilie kati. Nimewaona wabunge wote hasa wa CCM wakionyesha kutorodhishwa kwao jinsi NFRA inavyonunua mahindi toka kwa wakulima. Ongezekeo hili la wingi wa mahindi ni mwitikio wa wakulima kwani...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bunge lasitisha Shughuli zake ili kujadili bei ndogo ya Mahindi nchini

    Bunge limesitisha kwa muda shughuli zake za leo ili kujadili changamoto ya bei duni inayowakumba wakulima wa mahindi nchini. Wabunge wameeleza kutoridhishwa na bei ndogo ya mahindi, bei ghali ya mbolea hivyo wameitaka Serikali kuiongeza hela NFRA ili inunue mahindi kwa wakulima. Waziri wa...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa maelekezo matatu kwa Serikali, ahueni kwa wakulima wa mahindi nchini

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHATOA MAELEKEZO MATATU KWA SERIKALI, AHUENI KWA WAKULIMA WA MAHINDI NCHINI. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa maelekezo matatu kwa Serikali kuhusu ununuzi wa mahindi ya wakulima, vituo vya kununulia mahindi pamoja na bei ya mbolea nchini. Maelekezo hayo yametolewa...
  6. Genius jack

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapokula Pweza na Ngisi njiani

    Leo muda wa jioni nilikuwa maeneo ya Mbezi ya Kimara nilikuwa nimesimama namsubiri rafiki yangu pembeni kwa mbele kulikuwa na mtu anauza supu ya pweza na vipande vyake na ngisi na kachori.Nikiwa pale walikuja watu kadhaa kununua nilichokiona. Mteja alikuwa anachukua kijiti cha kuchomea anatoboa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Serikali imetoaTsh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kununua mahindi toka kwa wakulima

    Kupitia kwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeshatoa sh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kununua mahindi kutoka kwa wakulima. “Uzalishaji wa mahindi ni mkubwa lakini na sisi pia tumeimarisha hifadhi yetu ya Taifa ya chakula. NFRA tumeipa fedha za...
  8. msigazi

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kufanya kilimo cha mahindi karanga mahindi maharage na mpunga?

    Nimekuwa mjini muda mrefu sana Nimeona kukaa mjini hailipi Napanga niende kijijini nikalime Niepukane na matozo ya serikali ambayo yanaletwa kila uchao Niko kanda ya ziwa Unanishauri nihamie wapi ambapo naweza kufanya kilimo cha mahindi karanga mahindi maharage na mpunga Na nikafanikiwa...
  9. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje kila RC anayepangiwa Ruvuma agenda ni ukosefu wa soko la mahindi? Kuna haja gani kuwanadili kila mara?

    Leo TBC 1 Tv,nimeona Mkuu mpya wa Mkoa wa Ruvuma amezungukwa na magunia ya mahindi,hakuna soko. Hii inaashiria nini endapo aliyekuwepo mambo yalikuwa hayohayo? Ukienda mkoa wangu wa Rukwa ni yaleyale. Tunakosaje sera endelevu ya soko la mahindi Kitaifa?
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya sasa inanunua mahindi kutoka Tanzania mara sita zaidi ya kiwango ilichokuwa ikinunua hapo awali

    Kuna wale Malazy waliopinga safari ya rais Samia Suluhu kuja Kenya. Walisema kwamba rais Samia hapaswi kuja Kenya na alistahili kuendeleza roho mbaya na mikwaruzano aliyoanzisha mwendazake ambaye sitamtaja hapa. Lakini cha kushangaza ni kwamba baada ya rais Suluhu kutembea Kenya, sasa Kenya...
  11. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Naomba nifundishwe kupika ugali wa mahindi

    Habari marafiki zangu wapendwa? Mimi naomba kujua jinsi nitakavyopika ugali wa mahindi, pia mboga zinazofaa (kama vile mchuzi wa nyama au biringani za kukaanga). Mimi ni mpishi mpya, lakini nitajaribu kuzipika vizuri kama iwezekanavyo. Shukrani
  12. ROJA MIRO

    JamiiForums Tanzania SoC01 Shina moja la Mahindi hulipwa Tsh 60/= mifugo inapokula mazao fidia inayowatesa wakulima

    Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa jumla wa biashara ya mahindi

    Natafta wateja wa jumla wa mahindi kuanzia gunia hamsini na Bei ya mahindi ni 5000 kwa debe kazi yangu ni kumkusanyia atanilipa elfu moja kwa kila gunia na gharama za usafirishaji ni juu yake so kama kuna mtu unaweza niunganisha nae naomba nisaidie. Namba ya simu 0688633630
  14. YoungIsrael

    JamiiForums Tanzania Mnunuzi wa nafaka hasa Mahindi

    Awali ya yote npende ktanguliza salamu, kwa yeyote mwenye connection za biashara za nafaka hasa mahindi, yaani nahitaji kuwa mnunuzi wa jumla kwa sehemu kama Geita, Rukwa na Shinyanga
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Washika dau kwenye soko la mahindi Tanzania wakiri wenyewe tatizo la sumu ni changamoto kwao huko

    Wamekutana na kujadili namna ya kushughulkia hilo tatizo ili kuboresha soko ukanda wote huu, ikikumbukwa walivyopiga makelele wakati walipoambiwa warekebishe, wenyewe wanafahamu hilo tatizo kimya kimya halafu walitaka kulazimisha kwa kupiga ukunga. Wamelalamika kwamba TBS ndio huwakwamisha kwa...
  16. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuondoa harufu mbaya kwenye unga wa Soya uliochanganywa na mahindi

    JF ndio kisima cha maarifa. Katika kujiandalia lishe bora ya ugali nimechanganya kg 10 za mahindi na kg 3 za soya. Nilianza kwa kuchemsha soya na kuzianika siku 2. Tatizo unga umetoka na harufu mbaya sana, naiondoaje jamani? Wakati huu wa dunia ya kula kwa sababu na malengo soya ni kitu...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Sirari-Tarime: Inadaiwa Askari wa Kenya Wamewashambulia Wafanyabiashara wa Mahindi, baadhi wamejeruhiwa kwa Risasi

    Nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo. Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na wamekimbizwa hospital. Katika hali ya kushangaza baadhi ya Watanzania waliopigwa risasi wamechukuliwa na...
  18. laurentie

    JamiiForums Tanzania Nanunua mahindi bei 350/kg nipo Arusha

    Habari wadau wa nafaka nanunua mahindi yawe yamekauka vizuri sana yasiwe na uchafu bei ni 350/kg malipo ni baada ya kushusha mzigo. Tupo Arusha tunanunua kuanzia tani 10, mahitaji yetu ni tani 100. Mawasiliano 0622115570/0784418789
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta ampa Waziri wake wa Biashara wiki mbili kuhakikisha mahindi ya Tanzania yanaingizwa Kenya, Rais Samia asema yeye ni Suluhisho

    Hii ni habari njema kwa wakulima wa mahindi kwamba mzigo wao uliozuiliwa mpakani utaingia nchini Kenya ndani ya wiki mbili zijazo na hapatakuwepo na usumbufu tena. Rais Uhuru amemtaka waziri wake kusimamia hilo. Rais Samia amesema Kenya wana bahati wanaye Uhuru atakeyewaletea Uhuru wa kufanya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kampuni zanazonunua mahindi Tanzania

    Naomba kufahamu kampuni ambayo inajihusisha na ununuzi wa mahindi hapa Tanzania ... kwa mtu yeyote anaefahamu naomba msaada please.
Back
Top Bottom