mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama kama " imehakiwa".

    Habari wanajamvi! Kwanza nichukue furs a hii kuwapongeza viongozi wa CHADEMA kwa kuona mbali. Hawajataka kuwaelekeza wagombea Ubunge na udiwani wao wote kufungua mashitaka ya kuporwa ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu Wa 2020. Kwani wameona mbali. Ni kama wamemwachia Mungu. Katika jambo...
  2. JamiiForums Tanzania Napeleka ombi Mahakama Kuu itoe amri (Mandamus) ili viongozi wa CHADEMA waliotafuna mali za umma wakamatwe na kufikishwa mahakani

    Japokuwa sijaenda shule kwa sana ila najua ninayo haki ya kufile writ of mandamus ili Pccb wafanye kazi kwa mujibu wa sheria. Viongozi wa Chadema walitafuna zaidi ya bil nane na ushahidi wa kimazingira unaonyesha wazi kuwa walizitafuna. Tunamshukuru Mwita Waitara kwa kuibua huu ufisadi na...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Mashinji: Huwezi ukawatofautisha Serikali, Mahakama na Bunge. Hata Mbinguni kuna Baba, Mwana na roho lakini maamuzi ni yaleyale

    Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na baadae kuhamia CCM, Dkt. Mashinji amesema Tanzania ni nchi changa na haiitaji kuwa na mabadiliko ya haraka ghafla kwa sababu kila mabadiliko yana athari. Amesema yakifanyika mabadiliko na yakaja na athari, bado Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kesho Mahakama inatoa amri ya kuachiwa Mazrui

    "Polisi wanajibu hoja, kesho tunatarajia mahakama itatoa Amri ya kuachiwa Nasoro Mazurui. Sisi viongozi wa ACT- Wazalendo hatutalala hadi tuhakikishe viongozi wote waliokamatwa kwa hila wameachiliwa" Zitto Kabwe Amenukuliwa Zitto kabwe kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo kupitia ukurasa rasmi wa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini ACT-Wazalendo wanaishitaki Serikali ICC badala ya Mahakama ya Afrika Mashariki? Huu ni uzalendo?

    Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa. Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika? Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli? Maendeleo hayana vyama!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Tume ilitangaza ajira 195 mwezi wa Aprili na miongoni mwa nafasi zingine ikasema kuna nafasi wazi 114 za Hakimu Mkazi II, wenye sifa waombe. Watu wameomba na Tume ikaitikia kwa kuita waombaji 300+ mwezi Oktoba (kwa nafasi ya uhakimu). Wengi tukavutwa na uwiano huo wa ushindani (nafasi 1 watu 3)...
  7. JamiiForums Tanzania Eurocentric & Deterrent Criminal Court: Kama Burundi walijitoa, mpaka sasa Tanzania imenufaikaje na uwepo wa Mahakama inayolenga viongozi wa Afrika?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kama nchi ndogo za Rwanda na Burundi ambao ni jirani zetu walijitoa kutoka katika taasisi hii inayosemekana inafumbia macho uhalifu unaotendwa na mataifa ya Ulaya (Eurocentric), mpaka sasa Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa ya Tanzania itakwepaje lawama hizi katika Uchaguzi wa 2020?

    Wana-JF, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imehusika kwa kiasi kikubwa katika uharamia huu tulioshuhudia siku chache zilizopita. Kipindi kifupi kilichopita, Mahakama Kuu ya Tanzania ilitoa hukumu ikisema Wakurugenzi wasisimamie uchaguzi kwa vile ni wana-CCM na wamekuwa wakiipendelea CCM...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA wekeni pingamizi Mahakama Kuu ili matokeo yasitangazwe baada ya Mawakala wenu kufanyiwa figisu

    CHADEMA nimeona mnalalamikia suala la mawakala wenu kufanyiwa figisu na kuambiwa hawawezi kuingia vituoni. Badala ya kulalamika mtandaoni, msichelewe chukueni irregularities zote muwahi Mahakama Kuu leo leo. Mnyika fanya press conference haraka kuiambia dunia juu ya hujuma kwa Mawakala wenu.
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi ni haki kweli kwa akina Robert Amsterdam kuingilia uchaguzi mkuu wa nchi yetu? Je, tunaweza kuwashitaki kwenye mahakama za kimataifa?

    Ni kweli kama walivyosema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria.Haijawahi kutokea huko nyuma, kwa uchaguzi mkuu wa nchi yetu kuingiliwa ki wazi wazi na watu wa nchi za nje wa aina ya akina Robert Amsterdam! Sijui ingalikuwaje kama kila mgombea wa urais katika uchaguzi huu angalikuwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Je rais Magufuli, Mahakama na polisi ndio wamekushinda?

    Rais wangu kipenzi cha watanzania,najua kuwa unakwenda kushinda urais kwa kishindo kizito. Hii ni dalili kuwa watu wana imani kwako. Natolea mfano tu leo umezindua reli ya Arusha Dar ambayo ilikuwa imekufa kwa zaidi ya miaka 30. Kwa hiyo wewe kwa watu wa Arusha ni shujaa na jembe lao,maana sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili wa Mahakama mbona huchukua muda mrefu?

    Nilibahatika kufanya usaili wa Mahakama kama Record Management Assistant, lakini sasa ni mwezi na wiki nzima matokeo bado. Kumbuka unachoma nauli toka mkoani, unasubiri matokeo lakini unasubiri matokeo hujui lini yatatoka. Inaumiza sana,ajira ni tatizo sugu.
  13. JamiiForums Tanzania Félicien Kabuga: Mahakama ya Ufaransa yaamuru mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda ashtakiwe Tanzania

    Mahakama moja ya kukata rufaa nchini Ufaransa imekubali kumpeleka msukiwa a mauaji ya kimbari nchini Rwanda Felicein kabuga kushitakiwa nchini Tanzania. Bwana kabuga alikamatawa nyumbani kwake nje ya mji wa Paris baada ya miaka 26 kama mtoro. Takriban watu 800,000 waliauwa nchini Rwanda katika...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UPO KIHALALI Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliyofunguliwa na baadhi ya wanaharakati. Mapema leo Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata ameeleza kuwa mahakama hiyo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yaahirisha kesi za Tundu Lissu kupisha Uchaguzi Mkuu

    Mahakama ya Kisutu imeahirisha kesi mbili zinazomkabili Tundu Lissu hadi baada ya uchaguzi mkuu mwezi Novemba. Tundu Lissu anagombea urais wa JMT kupitia CHADEMA. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama! ===== Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia kesi mbili zinazokabili Mgombea Urais...
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu iliwakataa hawa watu, Mahakama ya Rufaa ikarudisha kwa rufaa ya Mwanasheria Mkuu. Hivi Mwanasheria Mkuu ana jicho kali la kisheria?

    Kesi ilifunguliwa mahakama kuu kukataa wakurugenzi wa halmashauri ambao ni wateule wa Rais na baadhi yao wakiwa makada wa CCM kuwa wasimamizi wa uchaguzi mkuu. Mahakama kuu iliona kuwa hawana sifa ya kuwa wasimamizi. Mwanasheria mkuu wa serikali alikata rufaa kwa madai kuwa wanakula kiapo, hivyo...
  17. JamiiForums Tanzania Watu watano wahukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Dkt. Sengondo Mvungi

    Watu watano wamehukumiwa kifo kwa kumuua Dkt. Sengodo Mvungi Ikumbukwe Sengodo Mvungi aliwahi kuwa Mgombea wa Urais kupitia NCCR Mageuzi, pia mjumbe wa kamati ya katiba mpya maarufu kama tume ya Warioba. Source TBConeline === Watu watano wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Mahakama zetu na mrundikano wa kesi

    Taarifa iliyotolewa na Jaji Mkuu kwenye siku ya sheria inaonyesha kuna mrundikano wa kutisha wa kesi kwenye Mahakama zetu Mahakama ya Rufani (Court of Appeal) ndiyo kwanza sasa inashughulikia kesi za mwaka 2016 na 2017. Hapo haijagusa kesi za mwaka 2018, 2019 na 2020. Kwa speed hii inamkatisha...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo, Boniface Jacob kuzindua kampeni Viwanja vya Las Vegas, Mahakama ya Ndizi

    Hii ndio habari iliyozagaa mitaa yote ya jimbo la Ubungo, kwamba yule mwamba wa siasa za Ubungo ambaye pia ni Meya mstaafu, yule aliyewekewa pingamizi la kizushi, leo anaanza rasmi amsha amsha.
  20. JamiiForums Tanzania Saed Kubenea aachiwa kwa dhamana

    Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo na ameachiwa kwa dhamana Kubenea alikamatwa Septemba 07, 2020 na kutuhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo utakatishaji fedha, kukiuka Sheria za kuvuka mpaka kwenda Kenya na kurejea nchini kwa kutumia njia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…