Mahakama kama " imehakiwa".

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
3,106
3,523
Habari wanajamvi!

Kwanza nichukue furs a hii kuwapongeza viongozi wa CHADEMA kwa kuona mbali. Hawajataka kuwaelekeza wagombea Ubunge na udiwani wao wote kufungua mashitaka ya kuporwa ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu Wa 2020. Kwani wameona mbali. Ni kama wamemwachia Mungu.

Katika jambo lingewakatisha tamaa kabisa ni kufungua kesi kuhusu uchaguzi katika mahakama za Tanzania. Wangejuta. Mahakama zetu ni kama zimehakiwa!! No freedom. Ni kama zinaelekezwa zifanye nini.

Wangepeleka kesi mahakamani wote wangeshindwa saa mbili asubuhi kwasababu hukumu ingeandaliwa mahali fulani na kazi ya mahakama ingekuwa ni kuisoma tu. Mwisho ungesikia sehemu ya hukumu inasema hivi " mleta mashitaka umepoteza kesi utatakiwa kulipa gharama zote za kesi." Hapo ndio ingekuwa balaa.

Mungu si Athumani ! Ametuletea wazungu wawakomeshe. Hapa vikwazo, pale ICC, na Armnesty international pale kati watajuta kuhujumu uchaguzi kwa kiwango hiki. Tutateseka wote lakini ni bora iwe hivyo ili akili zitukae sawa.
 
Hakuna kesi imefunguliwa kwa sababu wameshindwa kihalali. Hakuna kitu hapo. Imeisha hiyooooooooooooo
 
fikiria kuna viongozi wa Chadema wako mahabusi Singida kwa kesi ya "kuimba Mungu ibariki Chadema" wamenyimwa dhamana mpaka leo pale mahakamani wanabishania vifungu. mahakama ya bongo zero brain
Zimewekwa mfukoni mwa mtu mmoja asiye itakia mema Nchi yetu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom