Matokeo ya usaili wa Mahakama mbona huchukua muda mrefu?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Nilibahatika kufanya usaili wa Mahakama kama Record Management Assistant, lakini sasa ni mwezi na wiki nzima matokeo bado.

Kumbuka unachoma nauli toka mkoani, unasubiri matokeo lakini unasubiri matokeo hujui lini yatatoka.

Inaumiza sana,ajira ni tatizo sugu.
 
Kuna jamaa alinidokeza ajira za serikali wanapeleleza mambo mengi kweli mpaka nilichoka.
Wanapeleleza mpaka ukoo wako, sehemu uliyozaliwa, shule ulizosoma na mengine mengi ikiwemo tabia zako mitandao ya kijamii uliyojiunga .....​
 
Kuna jamaa alinidokeza ajira za serikali wanapeleleza mambo mengi kweli mpaka nilichoka.
Wanapeleleza mpaka ukoo wako,sehemu uliyozaliwa, shule ulizosoma na mengine mengi ikiwemo tabia zako mitandao ya kijamii uliyojiunga .....​
Nini maana ya kuweka Cv na vyeti vyako? Na kama hufai kwa nini wakushortlist?
 
Nilibahatika kufanya usaili wa Mahakama kama Record Management Assistant, lakini sasa ni mwezi na wiki nzima matokeo bado.

Kumbuka unachoma nauli toka mkoani,unasubiri matokeo lakini unasubiri matokeo hujui lini yatatoka. Inaumiza sana,ajira ni tatizo sugu.
Hiyo Tume ya mahakama katika suala la ajira linaendeshwa kwa rushwa vibaya sana. Kama unasubiria matokeo ya kuitwa kazini basi omba Mungu sana
 
Kuna jamaa alinidokeza ajira za serikali wanapeleleza mambo mengi kweli mpaka nilichoka.
Wanapeleleza mpaka ukoo wako,sehemu uliyozaliwa, shule ulizosoma na mengine mengi ikiwemo tabia zako mitandao ya kijamii uliyojiunga .....​
Kwa hiyo unataka kusema wote walioajiriwa serikalini ni watu wasafi?shule hawakuwa na vurugu?sio walevi?wote familia/koo zao hazina matatizo?

Hizo zingine ni skendo tu labda uniambie kuna baadhi ya nyadhifa za uongozi ni lazima uchunguzwe,kwa mfano wanataka wakupe ukurugenzi,ukuu wa mkoa/wilaya,uwaziri,commissioner hapo sawa inasound.
 
Nini maana ya kuweka Cv na vyeti vyako? Na kama hufai kwa nini wakushortlist?
CV inasaidia tu upelelezi maana kutoka kwenye cv watajua mengi kama, Umri wako,interests zako. Halafu kumbuka kupitia hizi ajira na interview watu wa vitengo ndiyo husailiwa bila wao kujijua.

Hii kali tena...
 
sio kweli. waliosomsma nje je inakuaje hapo
 
Kuna jamaa alinidokeza ajira za serikali wanapeleleza mambo mengi kweli mpaka nilichoka.
Wanapeleleza mpaka ukoo wako,sehemu uliyozaliwa, shule ulizosoma na mengine mengi ikiwemo tabia zako mitandao ya kijamii uliyojiunga .....​
huo muda wa kukupeleleza ww wanaupata wapi maana watu ni wengi sana wanatafuta ajira na sijui watapeleleza wangapi
 
Back
Top Bottom