Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

pantheraleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Messages
647
Points
1,000

pantheraleo

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2013
647 1,000
Heshima wakuu,

Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda.

Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo alokuwa akiambiwa kuhusu Makonda?

Je, Uchunguzi wa kimya kimya juu ya watu waliimpiga risasi Tundu Lissu umeanza bila sisi kujua?

Je, Makonda amedanganya katika kujaza fomu za maadili ya Umma kuhusu utajiri?

Je, Malalamiko ya Meya wa Ubungo Boniface yamepata Kiki?

Je, Wakazi wa Dar kutojiandikisha kupiga kura Serikali za mitaa ndo sababu?

Je, Dar kutokufanya vizuri kwenye makusanyo ya Mapato?

Au miundo mbinu mibovu ambayo Makonda kashindwa kusimamia ndo yamemuudhi rais wetu?

Yajayo yanafurahisha, tusubiri tamko.

Zaidi, soma;


 

Lituye

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
912
Points
1,000

Lituye

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
912 1,000
Basi huko ccm kutakuwa na taabu kuliko JEHANAMU maana leo hii tumeambiwa Kikwete na Mkapa hawajasalimiana. Any way maendeleo hayana vyama. Nikuteue mimi, nikulipe mshahara, nakupa gari na mafuta,nyumba ya kuishi halafu unamtangaza mpinzani ameshinda.

Utafikiri huo mshara anao lipa, gari nyumba na mafuta pesa hizo anazitoa kwenye akaunti ya Baba yake mzazi na kuwapa wafanyakazi wa serikali. Kweli sasa leo kasema ukweli kumbe alinyweshwa Sumu ndo mana uwezo wake wa kutafakuri mambo ni very mdogoo. Sumu imetindua ubongo wa Meko.
 

Forum statistics

Threads 1,390,623
Members 528,220
Posts 34,056,759
Top