Spika Ndugai: Kwa wale msiojua Bunge limebakisha mikutano miwili tu Februari na Aprili 2020 kabla Rais Magufuli hajalivunja rasmi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Spika wa bunge mh. Ndugai amesema Bunge la 11 ambalo yeye ndio analiongoza limebakiza mikutano miwili tu yaani Februari na Aprili 2020 kabla halijavunjwa rasmi na Rais Magufuli.

Spika Ndugai alikuwa anaweka uelewa sawa kwa wananchi ili tuweze kwenda pamoja kama kuna jambo limesahaulika basi tujue muda ni mchache uliobaki.

Maendeleo hayana vyama

cc: Daudi Mchambuzi wa Ufipa soma hiyo!
 
Who cares about what this bald-headed shortest and fattest nigga on earth says?
 
Spika wa bunge mh. Ndugai amesema Bunge la 11 ambalo yeye ndio analiongoza limebakiza mikutano miwili tu yaani Februari na Aprili 2020 kabla halijavunjwa rasmi na Rais Magufuli.

Spika Ndugai alikuwa anaweka uelewa sawa kwa wananchi ili tuweze kwenda pamoja kama kuna jambo limesahaulika basi tujue muda ni mchache uliobaki.

Maendeleo hayana vyama

cc: Daudi Mchambuzi wa Ufipa soma hiyo!
Kwani jirani hilo ni Bunge au vituko?
 
Ni bora kumkumbusha Ngugai, hata yeye uspika wake utakoma rasmi 2020, na kama akibahatika kupata ubunge basi atafukuzwa kwenye chama na kunyang’anywa ubunge kabla ya 2023 hapo kama Mungu aiimjalia uzima
 
Back
Top Bottom