Heshima wakuu,
Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda.
Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo...
AMNESTY INTERNATIONAL HUMAN RIGHTS WATCH
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani umeongezeka tangu mwaka 2015, zinasema ripoti mbili tofauti za mashirika ya Amnesty International na Human Rights Watch zilizotolewa leo...
Ndege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na Serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii.
Msemaji wa Uganda amesema sasa ndege za shirika hilo zinamilikiwa na Serikali tofauti na hapo awali...
Nyakati za CCM kuendelea kutawala nchi hii zimefika mwisho na yote haya mnayoyashuhudia leo hii ni viashiria tu vya anguko la CCM katika siku zijazo.
Kelele za wana-CCM majukwaani, mitandaoni, Bungeni na kwingineko, ni sawa tu na mateke ya farasi anaekata roho hivyo hayaepukiki na watarusha...
Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.
Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
ccm
jpm
lami
leader
maamuzi
maendeleo
mafanikio
magufuli
miradi
miundombinu
mkombozi
president magufuli
rais magufuli
simba
tanzania
ujenzi
uzalendo
vita
watoto
Amani na umoja wa Watanzania, ni sifa ambayo ilijulikana juu ya Watanzania duniani kote. Kwa miaka mingi sana Tanzania ilikuwa haitajwi na vyombo vya habari kama BBC na CNN kwa kuwa hatukuwa na habarai mbaya ambazo vyombo vya magharibi hupenda kuzitangaza juu ya nchi zinazoendelea na masikini...
watanzania ni wagumu kupambanunuwa mambo kwelikweli. Nimekuwa nikisikia watanzania wengi wakiwemo wanasiasa wakilaumu wasimamizi wa uchaguzi kwa kuharibu uchaguzi.
Na wengine wakitaka raisi Magufuli atowe tamko la kukemea uchafuzi huo na kuchukuwa hatua dhidi ya walio husika na uhalibifu wa...
Nikimnukuu kada wa CCM na Gwiji wa siku nyingi humu JamiiForums, Pascal Mayalla...
"We have nothing to loose rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo...
Mwangalie Polepole wa utawala wa Kikwete na wa utawala huu, Mwangalie Nape alivyokuwa na ushawishi wakati akiwa Katibu Mwenezi na sasa, Mwangalie Mwigulu yule na huyu anayemshukuru Magufuli baada ya kupata ajali, Mwangalie January Makamba wa kipindi cha Kikwete na huyu anayeenda akiburuza miguu...
Jina la Askofu Simon Chiwanga (81) si geni masikioni mwa wengi, hasa waliokula chumvi kiasi.
Aliwahi kuwa mwalimu, mwanasiasa na mjumbe wa kamati kuu CCM, Mkurugenzi Shirika la Elimu la Kibaha na amemaliza utumishi akiwa Askofu wa Kanisa la Anglikana akiwa ndiye mwanzilishi wa Dayosisi ya...
Nimekuwa nikiwasikiliza wanasiasa wa Chama tawala cha CCM, katika majukwaa ya kisiasa na nilichokishuhudia ni viongozi hao kujigamba kuwa, vyama vya upinzani vya nchi hii vipo mahututi na vinasubiri kuzikwa tu, kutokana na juhudi kubwa inayofanywa na Mheshimiwa Rais ya kufanya maendeleo...
Kutokana na kinachoendelea katika nchi yetu tuipendayo, ninajaribu kuwaza historia itamkumbukaje Mheshimiwa Rais Magufuli, je, itamkumbuka kama;
• Mwoga aliyetumia ipasavyo madaraka ya kikatiba aliyonayo katika kuudhibiti upinzani kushiriki ipasavyo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na...
Ninafahamu dhamana ya wizara ya Tamisemi iko direct mikononi mwa Rais Magufuli hivyo ushauri huu nampa akiwa katika nafasi yake ya ukuu wa Tamisemi.
Ni kwamba wagombea wanaobebwa siku zote hawawezi kuwatumikia wananchi hivyo ni heri tukaachana na hii dhana ya kupita bila kupingwa ili tupate...
Deo Sanga ama Jah People (aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa CCM, Dr Magufuli awe Rais wa milele.
Alisema: huwezi kuwa na Demokrasia na ukashinda kwa zaidi ya 90+ huku mpinzani wako umemfunga, hakuna uhuru wa habari, hakuna uhuru wa vyama kukutana, kufanya mikutano, uhuruwa kukosoa serikali, hakunataasisi imara za check and balance ukasema kuna demokrasia.
Unafanya uchaguzi kujidanganya...
Katika hali isiyo ya kawaida, Madikteta wote duniani huondoka kwa staili moja ya fedhea sana.
1. Muamar Gaddafi.
2. Saddam Hussein.
3. Al Bashir,
4. Mohamed Mosri.
5. Mugabe
6 .Sankara na wenzao waliondoka kwa aibu kubwa , sasa leo huyu mtu anayedhani yeye ndiye kila kitu huenda akaondoka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Nchi za Afrika na NORDIC unaofanyika akatika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es Salaam.
=====
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWA...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
imewahukumu watu wanne kulipa faini ya Sh1.5 milioni kila mmoja baada ya kuwatia hatiani kutumia jina la Janeth Magufuli, mke wa Rais wa Tanzania John Magufuli kutapeli Sh4.4 milioni.
Wanadaiwa kujipatia kiasi hicho cha fedha kwa njia ya udanganyifu baada ya...
Viongozi wa BAKWATA walioko Jijini Mwanza ikiwa ni katika wiki ya maulidi ambayo kitaifa sikukuu itafanyika jijini humo wamempongeza na kumshukuru Rais Magufuli kwa maendeleo anayotuletea.
Viongozi hao wamekaguwa miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ikiwemo ujenzi wa meli mpya za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.