magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".

    Wanabodi, Haya sii maneno yangu bali ni paraphrasing from ushauri wa mwana Jf humu. Angalizo kuhusu paraphrasing. Ni editing tool inayotumiwa na ma editors ku summarize long speeches kwa kufanya brief for brevity na coherent ujumbe ufike kwa urahisi . Huu ni ushauri kwa rais Magufuli...
  2. JamiiForums Tanzania TRC yajivunia mafanikio uongozi wa Rais Magufuli

    SERIKALI ya awamu ya tano, imeleta mchango mkubwa katika kukamilisha na kuleta mafanikio katika sekta ya reli nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa uongozi wa Rais John Magufuli umekuwa wa kipekee kutokana na...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege nyingine 3 kuwasili mwakani. Wahudumu wa ATCL wana ‘shape’ nzuri

    Rais Magufuli wakati akipokea ndege iliyokuwa imezuiliwa Canada amebainisha kuwa ndege mpya tatu zilizobaki zitawasili ambapo moja (Bombardier Q400) itawawasili Mwezi Juni 2020 na nyingine mbili ni Air-Bus 220-300 ambapo moja itawasili mwezi Juni na nyingine mwezi Julai 2021 Lakini pia, ameweka...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kasi hii ya Rais Magufuli nashindwa kuelewa mzee Mwinyi alifeli wapi hadi viwanda na mashirika ya umma yakafa!

    Nafuatilia kwa makini jinsi taasisi za serikali zinavyozidi kujitokeza kutoa gawio (dividends) kwa serikali. Nimeona hadi vyuo kama SUA, IFM nk vikitoa gawio sambamba na wakala mbalimbali za serikali na hata vitega uchumi vilivyoko jeshini na magereza mfano Suma JKT. Natafakari tu endapo...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

    Wajumbe wa NEC Waliokuwa Mwanza Kesho saa 3 Asubuhi watapanda bure na Kurejea Dar es salaam kwa Kutumia Ndege ya Mpya Ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada na Mabeberu. Watasafiri bure Kushuhudia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM. Hata Hivyo ifahamike kuwa Ndege Hiyo Mpya bado ipo...
  6. JamiiForums Tanzania Magufuli is driving Tanzania further from human rights

    Baada ya kuona ndege imeachiwa mabeberu wametoa hii 👇... KWA UFUPI NI... Rais wa Tanzania John Magufuli anaendelea kuiongoza nchi yake mbali na utawala bora, demokrasia na haki za binadamu. Hatua yake ya hivi karibuni ilikuwa kuondoa tamko la Tanzania likiruhusu Mtanzania mmoja mmoja...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Mh Rais Magufuli, jina la John maana yake ni ‘Mtu aliyependelewa na Mungu na kupewa baraka zote’

    Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi ametoa tafsiri ya jina la John kwa mujibu wa Biblia kuwa ni mtu aliyependelewa na Mungu wa mbinguni na kupewa baraka zote. Tafsiri hii imetolewa na Prof Kabudi mbele ya Rais Magufuli, nami Johnthebaptist nakubaliana na huyu mzee wangu wa Kanisa pale St Alban...
  8. JamiiForums Tanzania Zama za Magufuli wanasiasa wanaume wamebaki CHADEMA

    ZAMA ZA MAGUFULI NI RAHISI KUWAJUA WANAUME NA WANAWAKE! NA Luqman Maloto KUNA "male" yenye kumaanisha jinsia ya kiume na "man" ambayo maana yake ni mwanaume. Kuna "female" yaani mwenye jinsi ya kike na "woman", mwanamke. Awamu ya President Magufuli ni rahisi sana kuijua tofauti kati ya wenye...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

    Aman iwe nanyi wakuu Rais Magufuli amedai kuwa licha ya mashinikizo mengi kutoka kila pande lakini yeye ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba ya CCM na nchi wala hataongeza miaka maana kazi ya Urais ni ngumu sana. Amedai kuna watanzania wengi tu ndani ya CCM wenye kuweza kuongoza nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Magufuli anatamani nchi yetu iwe na Katiba ya nchi mbovu zaidi ya hii tuliyo nayo sasa!

    Wananchi wengi wa nchi hii wanatamani nchi yetu iwe na Katiba mpya ambayo itaendana na nyakati hizi, tofauti na Katiba tuliyo nayo hivi sasa ambayo ilitungwa mwaka 1977, ambayo wananchi wengi wanaiona kuwa haikidhi matakwa ya sasa ya kisiasa na kijamii Wakati wananchi wengi wanatamani nchi yetu...
  11. JamiiForums Tanzania Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

    Verdiana Mjwahuzi (81) ambaye ni mama wa mwandishi wa habari, Erick Kabendera amemuomba Rais wa Tanzania, John Magufuli kumsamehe mwanaye. Akizungumza kwa huzuni leo Ijumaa Desemba 13, 2019 katika mkutano na waandishi wa habari, Verdiana amesema Kabendera ni mwanaye pekee anayemsaidia katika...
  12. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Boris Johnson ni wazi kuwa Dunia inataka akina Trump, Magufuli na Jair Bolsonaro wengi yaani wazalendo wafia nchi zao kwa gharama yeyote

    Baada ya Chama cha Conservative cha Boris Johnson kupata ushindi mkubwa wa viti zaidi ya 326 vya Ubunge Uingereza, Waziri Mkuu huyo ameweka msisitizo kwamba Januari 31,2020 Uingereza itajiondoa rasmi katika Umoja wa Ulaya (EU). _ Boris amesema ni jukumu lake kuindoa Uingereza kwenye Muungano wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwingine tena aliyetoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli amekamatwa akiiba ng’ombe Mkoa wa Pwani

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, amesema kuwa Jeshi la Polisi mkoani humo linamshikilia Mustafa Malimi (25) ambaye juzi Desemba 9, 2019 alipata msamaha wa Rais Magufuli na kuachiwa huru kwa kosa la kuiba Ng'ombe mwenye thamani ya...
  14. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri wakati wa mkutano wa mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF)

    BW. BERNARD KONGA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAFANIKIO YA MFUKO HUO KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO LEO DESEMBA 12, 2019* NHIF imetumia jumla ya Shilingi Bilioni 13.7 katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano kuwezesha ukarabati na ununuzi wa vifaa...
  15. JamiiForums Tanzania Makampuni mengine 58 yatoa gawio Serikalini

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philipo Mpango leo amepokea gawio na ziada nyingine kwa Makampuni 58 ambayo yalikuwa hayajatoa gawio kwa serikali ambapo Rais Magufuli alitoa siku sitini (60) wawe wametoa gawio. Pia Waziri Mpango ameagiza Makampuni na taasisi ambazo bado hazijatoa gawio la...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

    Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia Rais Magufuli amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa). “Ndege yetu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM yakutana Mwanza: Yampongeza Rais Magufuli, Walio hama vyama vya Upinzani waongeza Ruzuku ya chama hadi Bil 13

    Kamati kuu ya CCM imekutana jijini Mwanza na kuongozwa na Mwenyekiti wake Dr Magufuli. Kamati kuu imempongeza Rais Magufuli na serikali yake kwa ujenzi wa miradi mikubwa inayoendelea nchini. Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kwa sasa hakuna kikwazo chochote kinachoweza kupunguza kasi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli. Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
  19. JamiiForums Tanzania Mfungwa aliyeachiwa kwa msamaha wa Rais akamatwa kwa wizi

    MFUNGWA ALIYEACHIWA KWA MSAMAHA WA RAIS MAGUFULI AKAMATWA NA POLISI Mmoja wa wafungwa walioachiwa kwa msamaha wa rais mkoani Njombe anashikiliwa na polisi mkoani hapa kwa kosa la kuvunja nyumba ya kulala wageni ya Nang'ano mjini Makambako ili kuiba fedha. Mussa Msolwa maarufu Hitler amedai...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na mbinu ya Charm offensive: Ujuha wa Chadema

    Kama kuna kitu inabidi nimsifu au niwasifu washauri wa kisiasa wa rais Magufuli ni uwezo wake wa kuwatumia mahasimu wake kujipandisha chati kisiasa. Tekniki mojawapo ambayo rais Magufuli ameonekana kuimaster ni kukuminya kisha akakutumia wewe mwenyewe kumsafisha na athari za kibinyo chake mbele...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…