magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Kwenye maslahi ya Rasilimali za nchi, Magufuli ametuvusha salama

    Nitakukumbuka daima Mheshimiwa Rais. Nitakukumbuka kwa ujasiri wa kipekee. Nitakukumbuka kwa kutuonesha njia na kutuaminisha kuwa sisi ni watu kama walivyo watu wengine duniani...yaani tuna akili, tunajua kuzitumia na tuna mahitaji. Mheshimiwa Rais umetuonesha kuacha ubinafsi na tufanye kazi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe Lugola alichosaini ni Memorandum of Understanding (MOU) na sio Contract! Magufuli hajui kuwa MOU haina nguvu ya kisheria?

    Nimekuwa natafakari sana. Hivi huyu Lugola katika umahili wake wa kuwa graduate wa sheria UDSM, kuwa naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais, na Waziri wa Mambo ya Ndani, atawezaje kufanya kosa la ku-sign Mkataba wa USD 453m bila kumhusisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Bunge, na pia Rais...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ili Lugola aende nje kikazi lazima aeleze sababu na Raisi Magufuli atoe ruhusa. Je Magufuli alimruhusu Lugola aende kusaini mkataba ili aje amtumbue?

    Tumemsikia Raisi wetu akisema Lugola katumbuliwa kwa ku-saini mkataba wa mabilioni ya fedha bila ruhusa ya Bunge wala yeye raisi. Sasa iko hivi. Ili waziri wa serikali atoke nje ya nchi, inabidi ruhusa itolewe na Raisi Magufuli, na waziri aeleze kwa kirefu anaenda nje kufanya nini. Na kama kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo: Mwezi April 2020 nitamkabidhi Rais Magufuli orodha ya Wakurugenzi wavivu

    Waziri wa nchi Tamisemi, Seleman Jafo amesema ana majina ya wakurugenzi wasiokwenda na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya Tanzania, atayakabidhi kwa Rais John Magufuli Aprili, 2020. Jafo ameeleza hayo leo Jumatano Januari 22, 2020 mjini Dodoma wakati akikabidhi mashine 7227 za kukusanyia...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Makao Makuu ya nchi ni Chato au Dodoma? Mzee anatuchanganya

    Sielewi ziara za viongozi wakubwa zote Chato. Naona harakati za kuikuza Dodoma zinadumaa kwa style hii. Na kwa style hii tunachanganya watendaji hatujui nguvu waeke wapi Dodoma au Chato? Kuna muda itafika tutawalaumu mawaziri na manaibu wao bure tu. Naendelea kuuliza je mipango hii ilikuwepo...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua tena Lyatonga Mrema kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Parole

    Rais Magufuli ateua wenyeviti 5 wa bodi na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa. Mara kwanza Mrema aliyeteuliwa na Rais John Magufuli kuongoza bodi ya Parole Julai16, 2016, na muda wake kuisha Julai 16, 2019 baada ya kutimiza kipindi cha miaka mitatu cha kuongoza bodi hiyo. Na leo 20 January...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli abatilisha muda wa usajili wa laini za simu kwa kutumia Vitambulisho vya NIDA kama ilivyotangazwa awali na TCRA

    Amesema watanzania wapo milion 55 lakini waliosajiliwa NIDA ni million 15 tu. Hivyo tangazo la TCRA kuwa mwisho tarehe 1 mwezi wa tano itapelekea watanzania zaidi ya milioni 25 kukosa haki ya kumiliki mawasiliano. Ameongeza muda mpaka tarehe 31 mwezi wa kumi na mbili, hata hivyo muda utakuwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amualika Sultan mpya wa Oman kutembelea Tanzania wakati wowote

    Rais Magufuli amemualika Sultan mpya wa Oman kuitembelea Tanzania wakati wowote. Salamu za Rais Magufuli zimetolewa na Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi aliyeko nchini Oman alikotumwa na Rais Magufuli kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Sultan wa nchi hiyo. Source: Channel ten
  9. J

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika ( AU) wampongeza Rais Magufuli kwa kutekeleza kwa vitendo ndoto za mwalimu Nyerere za kuiunganisha Afrika

    Kamishna wa AU mh Bade kwa niaba ya Umoja wa Afrika amempongeza kwa dhati Rais wa Tanzania Dr Magufuli kwa kuzitekeleza kwa vitendo ndoto za mwalimu Nyerere za kuiunganisha bara la Afrika. Bade ametoa pongezi hizo jijini Arusha wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la makao makuu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Anguko la Rais Magufuli litakuwa na mshindo mkubwa sana

    Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote. Sio ndani ya vyombo vya usalama, Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira...
  11. JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Injinia Kamwelwe mnataka Rais Magufuli awabebeje ATCL?

    Hili ni swali ambalo linahitaji kujibiwa kwa usahihi, kwa haraka na kwa umakini. Ni kitu gani ambacho Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) linahitaji kufanyiwa na Rais Magufuli ili liweze kutengeneza hadhi inayostahili shirika la kitaifa? Huku ndiko ninakokuita kubebeka. Hadi hivi sasa Magufuli...
  12. JamiiForums Tanzania Nani atakuja kutufidia sisi kama nchi kutokana na mradi usio na tija wa SGR?

    Kwakweli huu mradi kila nikiuangalia na complications zake huwa nakuna kichwa sana na kujiuliza kina nani walipendekeza mradi wa aina hii? Pamoja na usanifu wake kujikita kwenye gharama za juu bado sijawahi kuona faida ya mradi huu na sijui kama utakuja kukamilika. Mbaya zaidi umeshatushinda...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya: Agizo la Rais Magufuli la kugawa eneo la Airport ya zamani kwa wamachinga latekelezwa

    Ikumbukwe eneo hilo liliombwa kwa Mh. Rais na Naibu spika Dr. Tulia siku ya tarehe 26 April 2019. Zaidi soma https://www.jamiiforums.com/threads/mbeya-rais-magufuli-ahutubia-wananchi-uwanja-wa-ruanda-nzovwe-agusia-usajili-wa-laini-na-machinga.1577226/ Tangu juzi wafanyabiashara wadogo wadogo...
  14. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Rais Magufuli aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne Januari 14, 2020 ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
  15. JamiiForums Tanzania Mtindo wa Magufuli ni moja ya dawa ya matatizo yetu

    Kwa maoni yangu, tuliposhindwa kuunda katiba mpya ilikuwa ni ishara ya utawala mbovu kabisa! Kwamba Bunge na Serikali vyote vilikuwa viko taaban! Yawezekana biashara ya Ndege ni mbaya lakini kila taifa hutamani kuwa na ndege chache. Treni ni muhimu pia. Tujiulize Ilikuwaje kwa miaka yote hiyo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Mapinduzi uwanja wa Amani Zanzibar Rais Magufuli na Dr Shein kuhudhuria

    Sherehe hizi zitarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Azam tv, ITV nk Rais Magufuli wa JMT na Rais Shein wa Zanzibar watawaongoza maelfu ya watanzania katika maadhimisho hayo. Karibuni! Up dates; Viongozi wastaafu wameshaingia ukumbini wakiwemo mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Sumaye...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wasukuma na Wanyamwezi wengi walikuja Zanzibar na kutorudi tena usukumani akiwemo baba yangu mkubwa

    Rais Magufuli amesema Zanzibar ni kisiwa cha raha hata watanzania bara wengi wanapohitaji kupumzika huja Zanzibar. Rais Magufuli amesema hata kaka wa baba yake alikuja Zanzibar na kubakia huko huko kama ilivyokuwa kwa wasukuma na wanyamwezi wengi. Chanzo: Channel ten
  18. J

    JamiiForums Tanzania Live ITV: Rais Magufuli anafungua Hotel ya Verde Azam Luxury Resort & SPA mtoni jijini Zanzibar inayomilikiwa na S S Bakhresa

    Ni tukio kubwa na la kihistoria kwani hii ni hoteli ya kipekee kabisa nchini Tanzania, Afrika mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara. Karibuni!
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ni aibu Shule za Zanzibar kuwa za mwisho, Wakandarasi wakikupa 10% kula ila simamia Sheria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema ni sa aibu kuona shule za Zanzibar zinakuwa miongoni ambazo hazifanyi vizuri pindi inapofika wakati wa kutangaza matokeo ya Shule za Sekondari. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye uwekaji wa jiwe la...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanzania election: Life has got worse under Magufuli we need change...

    POLITICSTANZANIATOP STORY Tanzania elections: Life has got worse under Magufuli. We need change. BY ZITTO KABWEJANUARY 8, 2020 SHARE: Opposition leader Zitto Kabwe says the past four years of CCM rule have been disastrous and lays out his vision for a thriving and happy Tanzania. Opposition...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…