Rais Magufuli mpaka anakosa pesa ya elimu bure?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,680
Reaction score
58,686
Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?

Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.

Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi?

Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?

kwanini wasijisomeshe kwa pesa ya kodi yao?

Au iyo pesa ukusanyi ni figure tu? kopa tujenge viwanda tuwekeze kwe technology tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa ambacho output yake haitapita hata miaka 5 tutakuwa umeshaiona.
 
Taarifa nyingi za serikali hii ni sawa na KARUBANDIKA!
Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?

Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.

Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mpaka 1.7 kwa mwezi?

Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?

kwanini wasijisomeshe kwa pesa ya kodi yao?

Au iyo pesa ukusanyi ni figure tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?

Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.

Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mpaka 1.7 kwa mwezi?

Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?

kwanini wasijisomeshe kwa pesa ya kodi yao?

Au iyo pesa ukusanyi ni figure tu?
Duh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!

Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!

Elimu uliyopewa kwa maana nyingine ni uwekezaji/soko na kinachotakiwa ni kuufanya huo uwekezaji uwe na tija!
 
Kuna mjinga kama wewe unaewambia wenzako wajiajiri wakati wewe tangu umalize masomo kula na kulala yako inategemea ccm?
Ndio maana nikaandika, ''Kudhani unamfahamu mtu fulani wakati humfahamu ni aina mojawajo ya ujinga ambao huyo mjinga hajui kama ni mjinga''!
 
Takwimu za awamu hii zina walakini, lakini pia JPM kaamua kuibebesha nchi zigo la miradi mikubwa (baadhi isiyo na tija) nchi, mbaya zaidi tunalipa makampuni ya nje kutekeleza miradi hiyo, hivyo basi matumizi ya serikali ni makubwa na pesa yote inakwenda nje, sie tunabaki na midege imepaki uwanjani.
 
Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?

Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.

Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi?

Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?

kwanini wasijisomeshe kwa pesa ya kodi yao?

Au iyo pesa ukusanyi ni figure tu? kopa tujenge viwanda tuwekeze kwe technology tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa ambacho output yake haitapita hata miaka 5 tutakuwa umeshaiona.

Tuuze ndege 2 tujenge shule
 
Back
Top Bottom