Magufuli chaguo la Mungu hayupo anayeweza kumwandama yeye na Serikali yake akabaki salama! Marekani wanajua thamani yake ndio maana hawamgusi

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea

Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa

Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu likamilike

Kwa hiyo hayo Mabeberu yanajisumbua tu misaada wanayoiiita misaada ni mbinu tu za kutafuta masoko ya bidhaa zao

Misaada wanayosema wanatupa ina faida kwao kuliko kwetu

Madini yetu na rasilimali zetu ndizo mkombozi wetu kuliko haya mashoga yanayohimiza tuoane wanaume kwa wanaume
 
Cc
Pascal Mayalla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
!
!
aliyoambiwa makonda ni keaof tu...kaambiwa mzee baba mwenyewe kwamba unapokonya haki zakuishi
 
Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea

Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa

Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu likamilike

Kwa hiyo hayo Mabeberu yanajisumbua tu misaada wanayoiiita misaada ni mbinu tu za kutafuta masoko ya bidhaa zao

Misaada wanayosema wanatupa ina faida kwao kuliko kwetu

Madini yetu na rasilimali zetu ndizo mkombozi wetu kuliko haya mashoga yanayohimiza tuoane wanaume kwa wanaume
Futuhi
 
Wakati huo anakimbia nchi yake utamsindikiza

Hata shetani wafuasi wake wanamwita Mungu,hivi huoni akina Bashite wanatuhumiwa kuua na kutesa watu lakini kutwa wanamtaja Mungu bila shaka kuna Mungu wao anayependa kuona maisha ya watu yanakatishwa ili watawala walale fofo bila kukosolewa,wafanye watakavyo bila kujali katiba iliyowaweka madarakani na hata majeshi kuwatiii.Huyo ndio Mungu wako na hawa jamaa zako
 
Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea

Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa

Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu likamilike

Kwa hiyo hayo Mabeberu yanajisumbua tu misaada wanayoiiita misaada ni mbinu tu za kutafuta masoko ya bidhaa zao

Misaada wanayosema wanatupa ina faida kwao kuliko kwetu

Madini yetu na rasilimali zetu ndizo mkombozi wetu kuliko haya mashoga yanayohimiza tuoane wanaume kwa wanaume
Mbona wanawaramba miguu haohao mabeberu wawape mkopo kwaajili ya kusapot elimu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hili USA hawatabaki salama lazima tuwasambaratishe na kuwapa somo kupitia kwa Profesa mahili Prop Kabudi chini ya Jemedari Dr JPM..
 
Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea

Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa

Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu likamilike

Kwa hiyo hayo Mabeberu yanajisumbua tu misaada wanayoiiita misaada ni mbinu tu za kutafuta masoko ya bidhaa zao

Misaada wanayosema wanatupa ina faida kwao kuliko kwetu

Madini yetu na rasilimali zetu ndizo mkombozi wetu kuliko haya mashoga yanayohimiza tuoane wanaume kwa wanaume

Kama ni mungu mwingine sawa, lakini ikiwa ni Mungu Jehovah basi utambue kuwa huwa anaruhusu hata watu waovu washike madaraka kwa sababu maalumu. Magufuli sio mtakatifu, sio muadilifu hadi mtu aamini kuwa kuwa "chaguo la Mungu" ni kwa kuwa yeye ni mtu mwema sana. Magufuli ni muuaji, fisadi na muongo, atakuwaje muadilifu hata ampendeze Mungu?
 
Ukiambiwa weka ushahidi sasa
 
Katika hili USA hawatabaki salama lazima tuwasambaratishe na kuwapa somo kupitia kwa Profesa mahili Prop Kabudi chini ya Jemedari Dr JPM..
Watajuta kupokea taarifa za uongo kutoka kakikundi cha wachumia tumbo
 
Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea

Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa

Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu likamilike

Kwa hiyo hayo Mabeberu yanajisumbua tu misaada wanayoiiita misaada ni mbinu tu za kutafuta masoko ya bidhaa zao

Misaada wanayosema wanatupa ina faida kwao kuliko kwetu

Madini yetu na rasilimali zetu ndizo mkombozi wetu kuliko haya mashoga yanayohimiza tuoane wanaume kwa wanaume
Kumbe Makonda hafanyi kazi serikali ya Magufuli?
 
Buku 7 tayar in this rubbish?
 
Back
Top Bottom