Dr. Magufuli ndiye Mwenyekiti bora kabisa wa chama cha siasa barani Afrika. Bila juhudi zake CCM ingekuwa kama KANU

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
44,328
2,000
Mtafiti wa masuala ya siasa za Afrika nchini Kenya ndugu Jonathan Otieno amesema Rais Magufuli ndiye mwenyekiti bora na aliyeleta mabadiliko makubwa kwenye chama chake ukilinganisha na wenyeviti wengine barani Afrika.

Otieno amesema ni juhudi binafsi za Dr Magufuli zilizorudisha uhai kwenye chama kikongwe cha CCM ambacho kilishaanza safari ya kuelekea kule iliko TANU ya Kenya.

Otieno anasisitiza kuwa katika utafiti mdogo alioufanya amegundua kuwa wananchi wa Tanzania wanamkubali zaidi Rais Magufuli kuliko wanavyoikubali CCM, ndio maana hata wapinzani wanahamia CCM kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli na sio chama.

Hivyo ameshauri viongozi walio chini ya mwenyekiti kutobweteka bali wafanye kazi kwa bidii ili kukuza imani ya wananchi kwa chama.

Kadhalika Otieno amemtaja Maalim Seif wa Zanzibar kama kiongozi wa upinzani mwenye maono, jasiri na asiyekata tamaa.

Maendeleo hayana vyama!
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,740
2,000
Leo umezungumza kama mtu mwenye hekima, endelea hivyo, waambie hao wazee wastaafu wa CCM wabadilike kabla hatujawabadilisha
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,732
2,000
Kuna uhusiano gani kati ya Otieno na Mzee Mgaya? Au ni huyohuyo mmoja?
Jee hajazungumzia sifa nyingine? Kwa mfano MTU pekee Afrika awezaye kujifunza hadi level ya daktari wa falsafa bila kuimanya lugha ya kusomea? Au uwezo mkubwa wa kusahau juzi kasema nini hadharani na Leo anasema nini?
Tuelewane, nimesema kwa mfano tuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
42774277

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
3,553
2,000
Mtafiti wa masuala ya siasa za Afrika nchini Kenya ndugu Jonathan Otieno amesema Rais Magufuli ndiye mwenyekiti bora na aliyeleta mabadiliko makubwa kwenye chama chake ukilinganisha na wenyeviti wengine barani Afrika.

Otieno amesema ni juhudi binafsi za Dr Magufuli zilizorudisha uhai kwenye chama kikongwe cha CCM ambacho kilishaanza safari ya kuelekea kule iliko TANU ya Kenya.

Otieno anasisitiza kuwa katika utafiti mdogo alioufanya amegundua kuwa wananchi wa Tanzania wanamkubali zaidi Rais Magufuli kuliko wanavyoikubali CCM, ndio maana hata wapinzani wanahamia CCM kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli na sio chama.

Hivyo ameshauri viongozi walio chini ya mwenyekiti kutobweteka bali wafanye kazi kwa bidii ili kukuza imani ya wananchi kwa chama.

Kadhalika Otieno amemtaja Maalim Seif wa Zanzibar kama kiongozi wa upinzani mwenye maono, jasiri na asiyekata tamaa.

Maendeleo hayana vyama!
Akafie mbele huyo mkenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
44,328
2,000
Kuna uhusiano gani kati ya Otieno na Mzee Mgaya? Au ni huyohuyo mmoja?
Jee hajazungumzia sifa nyingine? Kwa mfano MTU pekee Afrika awezaye kujifunza hadi level ya daktari wa falsafa bila kuimanya lugha ya kusomea? Au uwezo mkubwa wa kusahau juzi kasema nini hadharani na Leo anasema nini?
Tuelewane, nimesema kwa mfano tuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu kasoma lugha lakini bado anaungaunga mbona humshangai?
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,248
2,000
Mtafiti wa masuala ya siasa za Afrika nchini Kenya ndugu Jonathan Otieno amesema Rais Magufuli ndiye mwenyekiti bora na aliyeleta mabadiliko makubwa kwenye chama chake ukilinganisha na wenyeviti wengine barani Afrika.

Otieno amesema ni juhudi binafsi za Dr Magufuli zilizorudisha uhai kwenye chama kikongwe cha CCM ambacho kilishaanza safari ya kuelekea kule iliko TANU ya Kenya.

Otieno anasisitiza kuwa katika utafiti mdogo alioufanya amegundua kuwa wananchi wa Tanzania wanamkubali zaidi Rais Magufuli kuliko wanavyoikubali CCM, ndio maana hata wapinzani wanahamia CCM kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli na sio chama.

Hivyo ameshauri viongozi walio chini ya mwenyekiti kutobweteka bali wafanye kazi kwa bidii ili kukuza imani ya wananchi kwa chama.

Kadhalika Otieno amemtaja Maalim Seif wa Zanzibar kama kiongozi wa upinzani mwenye maono, jasiri na asiyekata tamaa.

Maendeleo hayana vyama!
Aiseee..
Matokea ya huu utafiti yatasaida sanaa WB kuachia mkopo wa Elimu.
 
mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,461
2,000
Mtafiti wa masuala ya siasa za Afrika nchini Kenya ndugu Jonathan Otieno amesema Rais Magufuli ndiye mwenyekiti bora na aliyeleta mabadiliko makubwa kwenye chama chake ukilinganisha na wenyeviti wengine barani Afrika.

Otieno amesema ni juhudi binafsi za Dr Magufuli zilizorudisha uhai kwenye chama kikongwe cha CCM ambacho kilishaanza safari ya kuelekea kule iliko TANU ya Kenya.

Otieno anasisitiza kuwa katika utafiti mdogo alioufanya amegundua kuwa wananchi wa Tanzania wanamkubali zaidi Rais Magufuli kuliko wanavyoikubali CCM, ndio maana hata wapinzani wanahamia CCM kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli na sio chama.

Hivyo ameshauri viongozi walio chini ya mwenyekiti kutobweteka bali wafanye kazi kwa bidii ili kukuza imani ya wananchi kwa chama.

Kadhalika Otieno amemtaja Maalim Seif wa Zanzibar kama kiongozi wa upinzani mwenye maono, jasiri na asiyekata tamaa.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo Magufuli akimaliza muda wake Waliunga mkono itakuwaje? Otieno atupe utafiti wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamundu

JF-Expert Member
Nov 22, 2006
4,316
2,000
Mtafiti wa masuala ya siasa za Afrika nchini Kenya ndugu Jonathan Otieno amesema Rais Magufuli ndiye mwenyekiti bora na aliyeleta mabadiliko makubwa kwenye chama chake ukilinganisha na wenyeviti wengine barani Afrika.

Otieno amesema ni juhudi binafsi za Dr Magufuli zilizorudisha uhai kwenye chama kikongwe cha CCM ambacho kilishaanza safari ya kuelekea kule iliko TANU ya Kenya.

Otieno anasisitiza kuwa katika utafiti mdogo alioufanya amegundua kuwa wananchi wa Tanzania wanamkubali zaidi Rais Magufuli kuliko wanavyoikubali CCM, ndio maana hata wapinzani wanahamia CCM kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli na sio chama.

Hivyo ameshauri viongozi walio chini ya mwenyekiti kutobweteka bali wafanye kazi kwa bidii ili kukuza imani ya wananchi kwa chama.

Kadhalika Otieno amemtaja Maalim Seif wa Zanzibar kama kiongozi wa upinzani mwenye maono, jasiri na asiyekata tamaa.

Maendeleo hayana vyama!

Hivi tunavyosemaga Africa wengine hata nchi zote za Africa hawazifahamu sembuse wenyeviti wa vyama. Kusifia ni sawa lakini usiweke data ambazo huwezi kuzielezea Kenya haiko peke yake kuna nchi zaidi ya 50 Africa
 
Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
6,946
2,000
Mtafiti wa masuala ya siasa za Afrika nchini Kenya ndugu Jonathan Otieno amesema Rais Magufuli ndiye mwenyekiti bora na aliyeleta mabadiliko makubwa kwenye chama chake ukilinganisha na wenyeviti wengine barani Afrika.

Otieno amesema ni juhudi binafsi za Dr Magufuli zilizorudisha uhai kwenye chama kikongwe cha CCM ambacho kilishaanza safari ya kuelekea kule iliko TANU ya Kenya.

Otieno anasisitiza kuwa katika utafiti mdogo alioufanya amegundua kuwa wananchi wa Tanzania wanamkubali zaidi Rais Magufuli kuliko wanavyoikubali CCM, ndio maana hata wapinzani wanahamia CCM kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli na sio chama.

Hivyo ameshauri viongozi walio chini ya mwenyekiti kutobweteka bali wafanye kazi kwa bidii ili kukuza imani ya wananchi kwa chama.

Kadhalika Otieno amemtaja Maalim Seif wa Zanzibar kama kiongozi wa upinzani mwenye maono, jasiri na asiyekata tamaa.

Maendeleo hayana vyama!
Wengi wa nje ukiona kikombe Kwa nje, Na tafiti zao utegemea propaganda za TBC kama source of information
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom