magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

    Naona mzee katupia magwanda huenda anaenda hapo Monduli kwa shughuli za kijeshi. Any way, spika amekataliwa live mbele ya Rais Magufuli.
  2. JamiiForums Tanzania Wakulima Wilaya ya Ikungi wampongeza Rais Magufuli kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wakulima Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, wamempongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kuelekeza ununuzi wa mazao yao kwa mfumo wa stakabadhi ghalani. Pongezi hizo walizitoa mwishoni mwa wiki wakati wa ulipwaji wa fedha zao baada ya kuuza choroko kwa njia ya stakabadhi ghalani katika Kata ya...
  3. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

    Wanabodi, Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Sioni wa kutuletea katiba sio Magufuli wala Mbowe

    Watanzania tunatakiwa kujitoa kuitafuta katiba na tume huru kwa udi na uvumba wanasiasa wetu mnawajuwa wenyewe. tunatakiwa kuingia barabarani maelfu kwa mamia kudai katiba ya warioba na tume huru ya uchaguzi. Ni aibu sana kizazi cha 1980 kuja leo kuwa na katiba mbovu kiasi kile hata watu mil...
  5. JamiiForums Tanzania Kupiga chabo

    SIASA Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    JamiiForums Tanzania Siku ya Afrika: Rais Magufuli ang'ara, UN yazitaka nchi tajiri kusamehe madeni kwa nchi za Afrika ili ziweze kupambana na Corona

    Leo ni siku ya Afrika. Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona. Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tuionyeshe kuwa Corona imedhibitiwa Tanzania

    Mkuu Mheshimiwa Raisi wetu John Pombe Magifuli Nakuomba tuionyeshe dunia tumedhibiti korona kwa njia zifuatazo:- 1. Uongozi wako umetoa dira kwa kuondoa hofu kwa Wananchi wako na korona imekuwa kitu cha kawaida. Zaidi ya yote ni kumtegemea mungu katika kila jambo. 2. Ugunduzi wa dawa lishe...
  8. M

    JamiiForums Tanzania COVID-19 Epicentres that were created by Presidents - Wake up call for Tanzanias President Magufuli

    When COVID-19 reached Tanzania, confirmed cases rose to cataclysmic levels. The president, Pombe Magufuli, took to casting doubts on the testing kits, followed by the firing of top health officials. Through and through, Tanzania officials have continued to term COVID-19 as "a flu" which can be...
  9. JamiiForums Tanzania Covid-19 (Denis Mpagaze)

    HOJA 6 ZA KUMUELEWA RAIS MAGUFULI JUU YA COVID 19
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi: Miaka kumi ya Rais Magufuli umasikini utaongezeka sana

    Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira. Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Asante Rais Magufuli: Polepole tunaanza kuelewa maana ya Lockdown

    Hii vita ya Covid19 ukiikurupukia bila kujua tunapelekwa wapi unaweza usimwelewe Rais wetu. Je? Wajua nini kilikuwa kinaendelea kwa nchi zilizo chini ya lockdown? Tafadhali pitia hizi video kwa umakini 1; 2: 3:
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magufuli ni Rais bora kushinda Marais wote Afrika kwa sasa

    Kadri siku zinavyokwenda Tanzania, Mh. Magufuli anazidi kujipambanua kama kiongozi bora miongoni mwa viongozi wa Afrika. Sababu zipo nyingi kuthibitisha ukweli wa hoja hii. Japo sababu hizi kwa kiasi kikubwa zinahitaji ufafanuzi wenye hazina kubwa ya mifano lukuki na kuntu. Lakini kwa leo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Imports John Magufuli s COVID-19 Master plan a day after Rewarding him with Millions of USD

    The East Africa region, Africa, and the world at large very much criticized President John Pombe Magufuli when he decided to go his way when the COVID-19 pandemic broke up in the region. During this COVID-19 pandemic that has plunged the whole world into fear, panic, and confusion, Magufuli's...
  14. JamiiForums Tanzania Marais wengi Afrika wanasubiri wazungu watafute dawa ya Corona, wamuige Rais Magufuli

    Marais wengi wa Afrika wajinga Corona imevamia nchi zao ambayo haina dawa badala ya kutafuta dawa wako tu wana lovkdown watu wao wakati dawa hawana. Wanakodoa tu mimacho kwa wanasayansi Wazungu wagundue dawa!!!! Rais Magufuli akaona asisubiri wazungu yeye kama Rais anatakiwa atafute ufumbuzi...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

    Kenya and Tanzania have struck a deal to make public data on the COVID-19 status of truck drivers without mentioning nationality of those who test positive. A statement signed by Transport Ministers James Macharia (Kenya) and Issack Kamwele (Tanzania) said the data will be submitted to the...
  16. JamiiForums Tanzania MAJARIBIO Hatari kumi ambayo Rais Magufuli na Serikali yake waliyokumbana nayo na jinsi yalivyozimwa kishujaa

    1: Walitaka kutuuzia mavazi ya madaktari na manesi kwa bei ya laki 3 kila moja JPM akasem a tutashona wenyewe kwa bei ya elfu 30 2:Barakoa kutoka nje zikaanza kuwa adimu na kupanda bei JPM akasema watz kila mtu ashone yake zikashuka bei zikauzwa hadi buku PIGO LA PILI. 3: Wakaleta...
  17. JamiiForums Tanzania Uingereza nao wafuata Tanzania na nchi zingine abiria wote watakaotua UK kutakiwa kujiweka karantini kwa gharama zao wenyewe kwa siku 14

    Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza Priti Patel Serikali nchini Uingeeza leo jioni inatarajia kutangaza kuwa abiria wote wa kimataifa ambao watatua kwenye viwanja vya ndege vya nchi hiyo watatakiwa kujiweka wenyewe karantini kwa gharama zao wenyewe. Pia abiria hao watatakiwa kutoa taarifa...
  18. JamiiForums Tanzania Huenda Tanzania ya sasa chini ya Rais Magufuli ikawa imepata Waziri bora wa Elimu Ndalichako tokea Uhuru wake

    Yaani Watoto wamekaa karibia Miezi Mitatu bila Masomo, huku wengi Wao wakiwa tayari wameshaathirika Kisaikolojia kulingana na Hofu iliyokuwepo na bila shaka wengine hata Topiki zao hawakumaliza anatokea Mtanzania Mmoja anasema watafanya Mtihani yao Wiki chache zijazo. Hivi hawa Watoto...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Trump agoma kuvaa barakoa hadharani

    Wamarekanni ndio wamepitisha hadi sheria ya kuvaa barakoa raisi Trump ndie aliisaini hiyo Excutive Order na amekuwa wa kwanza kuivunja hataki kuvaa barakoa hadharani akimuiga Raisi Magufuli. ====== Trump Tours Ford Plant Without Mask But Wears One Out of View “I was given a choice,” he...
  20. JamiiForums Tanzania Corona ni Mtihani, Jee Ummy Mwalimu Amepasi Mtihani?. Mnaonaje Ampokee Majaaliwa as PM, na Majaliwa Ampokee Magufuli?.

    Wanabodi, Nmemsikiliza Waziri Ummy Mwalimu akizungumzia changamoto za uwaziri wake kwenye Janga la Corona. Kwanza naomba kukiri, kwa vile Waziri huyu ni mwanamke, na jinsi alivyo, muonekano wake wa sura, shape, macho yale, kaumbo portable fulani, ukijumlisha ni Tanga line, hivyo mwanzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…