Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,351
2,000
CHARITY BEGINS AT HOME.

Tofauti na viongozi wengine waliomtangulia, Mwalimu Nyerere hadi Kikwete, Mheshimiwa Rais Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa aina ya Viongozi wanaopapenda na kupapendelea sana kwao...

Kwa mfano, leo ni Siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alipoondoka Ofisini kwake Ikulu ya Chamwino, Dodoma na kuhamia nyumbani kwake/Kwao Chato, Geita. Na anapiga kazi tu kama Kawaida tukiacha matatizo madogomadogo ya kulalamikiwa na Viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC na AU kuwa hapokei simu zao.

Viva Magufuli, Viva Tanzania, Viva Afrika, Viva Chato
..............................

Update:

Leo ni siku ya 46...tutaendelea kumhesabia

IMG_20200511_112912.jpg
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
43,094
2,000
CHARITY BEGINS AT HOME.

Tofauti na viongozi wengine waliomtangulia, Mwalimu Nyerere hadi Kikwete, Mheshimiwa Rais Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa aina ya Viongozi wanaopapenda na kupapendelea sana kwao...Kwa mfano, leo ni Siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alipoondoka Ofisini kwake Ikulu ya Chamwino, Dodoma na kuhamia nyumbani kwake/Kwao Chato, Geita. Na anapiga kazi tu kama Kawaida tukiacha matatizo madogomadogo ya kulalamikiwa na Viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC na AU kuwa hapokei simu zao.

Viva Magufuli, Viva Tanzania, Viva Afrika, Viva Chato

View attachment 1446876
Bavicha mna kazi kweli kweli!

Jana nilimuona Mbowe akiongoza kikao cha kamati kuu kutokea sebuleni kwake sikushangaa!
 
dong yi

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
3,628
2,000
CHARITY BEGINS AT HOME.

Tofauti na viongozi wengine waliomtangulia, Mwalimu Nyerere hadi Kikwete, Mheshimiwa Rais Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa aina ya Viongozi wanaopapenda na kupapendelea sana kwao...Kwa mfano, leo ni Siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alipoondoka Ofisini kwake Ikulu ya Chamwino, Dodoma na kuhamia nyumbani kwake/Kwao Chato, Geita. Na anapiga kazi tu kama Kawaida tukiacha matatizo madogomadogo ya kulalamikiwa na Viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC na AU kuwa hapokei simu zao.

Viva Magufuli, Viva Tanzania, Viva Afrika, Viva Chato

View attachment 1446876
Huo uwanja ndio ule wa Chato? mbona unaonesha cracks hapo!?
 
Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
8,362
2,000
Mnahamasisha watu wakae majumbani ila mnataka Rais ajiexpose kwenye hatari, hivi hamnaga Cha maana Cha kuhoji mkaacha siasa za kitoto? Umepungukiwa Nini tangu Magufuli aende Chato- Geita- Tanzania?

Majukumu anayafanya Kama kawaida Bado mnalalamika.

Akae hata mwaka mzima, ilimradi awe salama na anatimiza majukumu yake. Bavicha hamnaga jema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
50,383
2,000
Mnahamasisha watu wakae majumbani ila mnataka Rais ajiexpose kwenye hatari, hivi hamnaga Cha maana Cha kuhoji mkaacha siasa za kitoto? Umepungukiwa Nini tangu Magufuli aende Chato- Geita- Tanzania?

Majukumu anayafanya Kama kawaida Bado mnalalamika.

Akae hata mwaka mzima, ilimradi awe salama na anatimiza majukumu yake. Bavicha hamnaga jema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni wa kupuuzwa kama wapuuzi wengine wa Lumumba
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom