Kiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.
Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
Kuna wanaofikiri kukosoa ni kuchukia, lakini wanaojua siasa za kweli wanajua kukosoa ni kujenga, hasa kama unakosoa kujenga sio kubomoa. Pia, kwenye siasa kuna kusifia pia, hivyo leo namsifu rais wetu, sio kwamba mie ni CCM, in fact sina chama, ila mwananchi na rais ni wa nchi nzima sio chama...
Tunakumbushana tu alama njema zilizowekwa na viongozi wetu wastaafu.
Kiukweli wamefanya mengi ila kwa yale ambayo yanajulikana kona zote za nchi ni hayo machache niliyoyataja hapo juu.
Kwa Dkt. Magufuli hii awamu ya kwanza tu nimeshindwa nianzie wapi maana mambo ni mengi, hapa nipo njia panda...
Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka.
Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni...
Habari wana JF
Ukijifunza kwa nadharia tu, mara nyingi watu walio wengi huwa ni vigumu kupata ufahamu mpaka wafanye vitendo (practical).
Mwaka 2015 vyama upinzani viliwaeleza namna wananchi watakavyooshwa na Serikali chini ya Rais Magufuli lakini hawakuamini! Miaka mitano baadaye kila mtu...
Badala ya kupigania wananchi wasife njaa, Rais wetu anataka tupate tabu ya chakula na kununua kwa bei ya juu. Kasema,-
“Niwaombe wakulima, msiuze chakula kwa bei ya chini, mwaka huu na mwaka unaokuja si mzuri sana, sasa tutunze chakula, na kama tunaamua kuuza basi tuuze kwa bei ya juu sana...
Wananchi wote tumemsikia Rais Magufuli akimuagiza waziri wa Fedha, Dkt Philipo Mpango "achote" pesa kiasi cha shilingi bilioni mbili kwenye Hazina ya Taifa, ndani ya saa 24 na awaletee wakandarasi ili zikamilishe ujenzi wa Ikulu wa Chamwino na akaendelea kumpiga mkwara mzito waziri huyo kuwa ole...
Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima bila Mbowe kujua ila baadae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya kugundua alifanya makosa akaanza kuwafanyia ujasusi na kugundua wote walio kuja kutokea CCM na wimbi la...
Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana.
Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana.
Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
Marais wa awamu ya Pili hadi ya Tano wamehudhuria hapa mama maria nyerere yupo hapa pia kama mke wa mwasisi wa Taifa hili
Mh Rais amewazawadia marais wastafu zawadi ya ndege tausi 25 kila mmoja pamoja na hati za umiliki wa ndege hao, mc wa sherehe anasema tunao tausi zaidi ya 2800+
Ikulu ya...
Utamu wa ngoma ingia mwenyewe ucheze. Na ukitaka kujua ayafanyayo Dr John P Magufuli wewe ishi Tanzania na ukiwa nje ya Tanzania hakikisha ngoma ya masikio yako iko vizuri na kingine zaid kula mchicha wa kutosha ili mboni ya macho yako iwe na uwezo wa kuyaona ayafanyayo.
Wakati Dr John P...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake.
Lakini Rais Magufuli alimwona Mungu akazipeleka haja zetu mbele zake, Mungu akatupigania nasi...
Hakuna kitu kilichokuwa kikinishangaza - kama sio kuchefusha, kama kumsikia mwanasiasa, mwanaume au mwanamke mzima ambaye tunatumaini ana akili timamu na za kutosha, akitamka hadharani kwamba ameamua kutoka chama chake kwa kuwa eti amefurahishwa sana na Magufuli!
Hivi kweli hawa wanasiasa...
Wakulima Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, wamempongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kuelekeza ununuzi wa mazao yao kwa mfumo wa stakabadhi ghalani.
Pongezi hizo walizitoa mwishoni mwa wiki wakati wa ulipwaji wa fedha zao baada ya kuuza choroko kwa njia ya stakabadhi ghalani katika Kata ya...
Wanabodi,
Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa...
Watanzania tunatakiwa kujitoa kuitafuta katiba na tume huru kwa udi na uvumba wanasiasa wetu mnawajuwa wenyewe. tunatakiwa kuingia barabarani maelfu kwa mamia kudai katiba ya warioba na tume huru ya uchaguzi.
Ni aibu sana kizazi cha 1980 kuja leo kuwa na katiba mbovu kiasi kile hata watu mil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.