President Magufuli is failing Tanzanians and East Africans

Momboi Reece

Member
Sep 16, 2018
30
15
How Magufuli is failing Tanzanians and East Africans

On paper, President Pombe Magufuli is arguably the most learned of all East African presidents. This is not to say that he is the brightest or rather the less ignorant of them all. This can be clearly seen from how he is handling the Covid-19 pandemic which has hit his country like a thunder strike.

From the time Tanzania reported that it had a corona virus patient, President Magufuli ignored measures that most governments were undertaking to prevent further spread of the disease. He despised social distancing rules by allowing people to gather in churches and mosques believing that prayer could defeat the pandemic, and only urged them to observe hygiene as a preventive measure.

1cf2347955de6036df5542e1e1c42b9d

Further, he surprised masses by believing that Madagascar had found a cure to Covid-19 and was said to have ordered the "alleged cure" for Tanzanians to use against the pandemic. As a chemistry professor, most people expect President Magufuli to understand the effects of the disease better than other leaders, but he is not showing any signs of taking the matter seriously. Instead, the respected leader has opted to stick to his beliefs, probably thinking that he might use this period to make economic advancements that could make see his country better placed in the region.

722fcf34258b8a8c0d5de843f6b002ad

His moves towards fighting corruption in Tanzania had been highly appreciated by most of the citizens from the East African region but his undertaking about the Covid-19 might make people forget about his rights and focus more on his wrongs.

Even though Tanzania has officially reported that it has slightly over 500 confirmed cases of Covid-19, a Ugandan journalist has revealed that Tanzania's case is worse than what people can imagine. Andrew Mwenda, the said journalist has claimed, through his twitter account that his reliable sources from Tanzania have confirmed to him that the actual Covid-19 confirmed cases are 16,467. He went on to reveal that 1,293 had succumbed while only 118 persons had recovered.

ddc152fc19fe836de263338df9ced1d1

Because of this, Zambia has reportedly closed its borders with Tanzania, a move that is expected to be taken by both Kenya and Uganda who have reportedly found Tanzanian truck drivers as being part of the infected persons. President Magufuli should be reminded that Africans knew nothing about the Bible or the Quran, and that the countries from which the messages came from are suffering as well.

He should follow suit and do what other countries are doing to prevent Tanzanians as well as East Africans from the blow. He should also forget about economic advancements and focus on how people will stay alive, furthermore, how can an economy do well without its most reliable resource, humans?
 
I don't see a point here because he is not only president who demanded that medicine from madagascar. And also right data about covid patients must come from government not otherwise. And let me assure you that he will not fail.
 
I don't see a point here because he is not only president who demanded that medicine from madagascar. And also right data about covid patients must come from government not otherwise.and let me assure you that he will not fail.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jombaa, nchi mbili tu za Afrika ndio ziliagiza kikombe cha babu wa Madagascar, CVO, Tanzania na Guinea Bisau. Marais wa nchi zote zingine za Afrika waliagiza 'tiba' yenyewe ifanyiwe utafiti kwanza. WHO says Madagascar's herbal tonic against COVID-19 not a cure
 
It is too senseless seeing some irrelevant hogs are trying to spin on the quality of the Tanzanian president, they devote some moments discussing how Magufuli is leading Tanzania rather than discussing their jubilee corrupted government.

I tell you, at the end of the race, Magufuli is going to win a gold medal, you tried lockdown but you failed, you are now imposing a regional isolation technique to discriminate Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sisi tz tumeileta ili tufanyie utafiti kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Utafiti sio, hawa viongozi wenu ndio lab rats au?
Na rais buhari wa naijeria
Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi umefungua hiyo link ukasoma hizo taarifa za WHO? Hamna nchi zingine za Afrika ambazo ziliagiza 'tiba' hiyo kutoka Madagascar isipokuwa Tz na Guinea Bisau. Alafu CVO tayari imefanyiwa utafiti ambao umedhibitisha kwamba haina tofauti zozote na kikombe cha Babu wa Loliondo. Yaani sio kinga, sio tiba wala haizuii maambukizi ya virusi vya COVID-19.
 
Take note that life in densely populated urban areas of Tanzania, street venders and other business areas, life goes on, without reported cases of dead people.

While lockdown countries are allowing people back to normal life, there is no evidence that the deadly disease has been contained. If there were new cases of infection while in lockdown, there is all likelyhood that the spread will increase cases.

To change your life, you have to change yourself. To change yourself, you have to change your mindset. Thus, it takes time for an individual to adopt to change. While Tanzanians are gradually getting used to safe hygienic practices against COVID-19 infections, because of non-lockdown situation, their counterparts will have time to adapt to.
 
Magufuli hakujiandaa na wala hakuandaliwa kuwa rais, amepatikana kibahati bahati katika mtafaruku wa kumnyima mtu fulani nafasi.

Ndiyo maana anatapatapa.
Bora yeye kuliko Kamanda Mbogo anayetumia ubabe kuwaburuza viongozi wenzake kama watoto wa shule. Hana Sera yoyote ya mabadiliko kijamii na kiuchumi zaidi ya kutafuta njia ya mkato kukifikisha CHAMA CHAKE Ikulu ili aendeleze ujasiriamali wa kisiasa.
 
Utafiti sio, hawa viongozi wenu ndio lab rats au? Hivi umefungua hiyo link ukasoma hizo taarifa za WHO? Hamna nchi zingine za Afrika ambazo ziliagiza 'tiba' hiyo kutoka Madagascar isipokuwa Tz na Guinea Bisau. Alafu CVO tayari imefanyiwa utafiti ambao umedhibitisha kwamba haina tofauti zozote na kikombe cha Babu wa Loliondo. Yaani sio kinga, sio tiba wala haizuii maambukizi ya virusi vya COVID-19.

Hivi kunaye amejibu hii? Hehehehe
 
Kiukweli napenda sana utashi alionao Magufuli, msukumo na nguvu zake yaani ni mtu ambaye angekua wa kuskliza ushauri na kuufanyia kazi anaweza akaaipeleka Tanzania mbali sana, tatizo lake (kwa maoni yangu) ni aina ya wale wazee ambao hawaambiwi kitu, nakumbuka enzi zetu tukiwa wadogo, tulikua na aina fulani ya wazazi ambaye angekuwasha kibao kisa umejaribu kumshauri au kujibizana naye kwa lolote.

Hawa wazazi walikua wakali kwamba akiamrisha kitu, unaanza kukifanyia kazi hata kama haujakielewa alichokiamrisha, na ukithubutu hata kuhoji au kuomba maelezo zaidi ili uelewe namna gani anataka uifanye anakuwasha kibao kisa haupo makini kwenye kuskliza maagizo.

Ndivyo huwa naiona kwa Magufuli, ni aina hiyo ya kiongozi, yaani akisema kitu, mnapaswa muendane naye kukifanyia kazi, maaelezo na maagizo zaidi mtayapata huko mbele maana kadiri utakavyomhoji ndio utakua unaharibu, na mbaya zaidi jaribu kumbishia ndio utaona balaa yake.

Angekua kiongozi wa kuskliza ushauri na kukubali kukosolewa panapostahiki, kwa kweli angefaulu pakubwa sana katika kuitoa Tanzania, ila kwa sasa ndio kama hivyo, anajikuta akibishia hata mambo ya kitaalam ya Corona.

Yaani pona na nafuu ya Tanzania ni kwamba wako na upinzani dhaifu sana, na pia Watanzania ni watu wenye asili ya unyonge, sio wabishi na wagomvi, kwa kweli rais Magufuli angewaongoza Wakenya nchi ingeishia kwenye umwagikaji mkubwa wa damu, maana desturi yetu na sisi pia wabishi, tutakuhoji hata kwa ukali wako, tutabanana na wewe kwa hali yoyote ile, tutapumuliana, ukienda chini tunakwenda, ukipandisha tunapanda.....najaribu kuwaza hapa ingekuaje kwa kiongozi wa upinzani Tanzania kujiapisha urais kama alivyofanya Raila Odinga hapa kwetu, halaafu tena mbele ya nyomi, maelfu ya watu.....kwa chini ya uongozi wa Magufuli nahisi jamaa wangevurugana mpaka sisimizi hawangekua salama.

Hitler alikua kiongozi mzuri sana kwenye utendaji, yaani alikua mtu wa matokeo tu, hakutaka uzembe wa aina yoyote na Ujerumani ilikua inapiga hatua sana enzi zake, ila tatizo lake kubwa alikua mbishi sana, hakupenda kukosolewa au kushauriwa, aling'ang'ania hadi dakika za mwisho, wakuu jeshini walijaribu kumshauri asishambulie Urusi, wakajaribu kumshauri asitishe vita, yaani mpaka mabomu yanatua Berlin lakini jamaa king'ang'anizi, aking'ata ameng'ata ng'ata ng'ata, hakutaka kuskliza wala nini, na mpaka dakika za mwisho kwa alivyokua mbishi kajipiga risasi kichwani, hakutaka hata dakika moja asikike kwamba amekubali yaishe, kaamua bora ajifie mbali. Ujerumani ikasambaratishwa na kuwa kama shamba.

Ndio hili naliona kwa Tanzania kwenye haya ya Corona, yaani pale Magufuli alisema hatofunga chochote, walahi msitegemee aje kubadilisha hiyo kauli hata mkifa 50%, hehehehe!!! Hivyo haya makelele sijui mara USA, mara WHO, mara CDC hakuna atakayembadilisha kwa hilo, na msitegemee hata huyo Mbowe hana usemi wowote utakaomfanya Magufuli abadilishe msimamo, tafuteni mbinu zingine za kuishi na kirusi lakini msitegemee rais alegeze msimamo wowote.
 
Acha unafiki Kwan umeambiwa TANZANIA hiyo dawa inatumika wakati imechukuliw ili kufanyiwa utafiti, na sio nchi mbili zimeagiza tayar nchi 6 mpaka kenye yenyewe ulitaka Ila ndio kutokana imekaa kinafiki ndio maana hawakupewa
Jombaa, nchi mbili tu za Afrika ndio ziliagiza kikombe cha babu wa Madagascar, CVO, Tanzania na Guinea Bisau. Marais wa nchi zote zingine za Afrika waliagiza 'tiba' yenyewe ifanyiwe utafiti kwanza. WHO says Madagascar's herbal tonic against COVID-19 not a cure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is too senseless seeing some irrelevant hogs are trying to spin on the quality of the Tanzanian president, they devote some moments discussing how Magufuli is leading Tanzania rather than discussing their jubilee corrupted government.

I tell you, at the end of the race, Magufuli is going to win a gold medal, you tried lockdown but you failed, you are now imposing a regional isolation technique to discriminate Tanzania.

Cc: Haters, Nyang'aus , and mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Facts🙌
 
Yaani hapa hujaandika lolote Na nakikishia kwamba magufuli Ataipeleka tz mbali.hivi unauhakika gani magufuli hasikilizi ushauri?
Kiukweli napenda sana utashi alionao Magufuli, msukumo na nguvu zake yaani ni mtu ambaye angekua wa kuskliza ushauri na kuufanyia kazi anaweza akaaipeleka Tanzania mbali sana, tatizo lake (kwa maoni yangu) ni aina ya wale wazee ambao hawaambiwi kitu, nakumbuka enzi zetu tukiwa wadogo, tulikua na aina fulani ya wazazi ambaye angekuwasha kibao kisa umejaribu kumshauri au kujibizana naye kwa lolote.
Hawa wazazi walikua wakali kwamba akiamrisha kitu, unaanza kukifanyia kazi hata kama haujakielewa alichokiamrisha, na ukithubutu hata kuhoji au kuomba maelezo zaidi ili uelewe namna gani anataka uifanye anakuwasha kibao kisa haupo makini kwenye kuskliza maagizo.
Ndivyo huwa naiona kwa Magufuli, ni aina hiyo ya kiongozi, yaani akisema kitu, mnapaswa muendane naye kukifanyia kazi, maaelezo na maagizo zaidi mtayapata huko mbele maana kadiri utakavyomhoji ndio utakua unaharibu, na mbaya zaidi jaribu kumbishia ndio utaona balaa yake.
Angekua kiongozi wa kuskliza ushauri na kukubali kukosolewa panapostahiki, kwa kweli angefaulu pakubwa sana katika kuitoa Tanzania, ila kwa sasa ndio kama hivyo, anajikuta akibishia hata mambo ya kitaalam ya Corona.

Yaani pona na nafuu ya Tanzania ni kwamba wako na upinzani dhaifu sana, na pia Watanzania ni watu wenye asili ya unyonge, sio wabishi na wagomvi, kwa kweli rais Magufuli angewaongoza Wakenya nchi ingeishia kwenye umwagikaji mkubwa wa damu, maana desturi yetu na sisi pia wabishi, tutakuhoji hata kwa ukali wako, tutabanana na wewe kwa hali yoyote ile, tutapumuliana, ukienda chini tunakwenda, ukipandisha tunapanda.....najaribu kuwaza hapa ingekuaje kwa kiongozi wa upinzani Tanzania kujiapisha urais kama alivyofanya Raila Odinga hapa kwetu, halaafu tena mbele ya nyomi, maelfu ya watu.....kwa chini ya uongozi wa Magufuli nahisi jamaa wangevurugana mpaka sisimizi hawangekua salama.

Hitler alikua kiongozi mzuri sana kwenye utendaji, yaani alikua mtu wa matokeo tu, hakutaka uzembe wa aina yoyote na Ujerumani ilikua inapiga hatua sana enzi zake, ila tatizo lake kubwa alikua mbishi sana, hakupenda kukosolewa au kushauriwa, aling'ang'ania hadi dakika za mwisho, wakuu jeshini walijaribu kumshauri asishambulie Urusi, wakajaribu kumshauri asitishe vita, yaani mpaka mabomu yanatua Berlin lakini jamaa king'ang'anizi, aking'ata ameng'ata ng'ata ng'ata, hakutaka kuskliza wala nini, na mpaka dakika za mwisho kwa alivyokua mbishi kajipiga risasi kichwani, hakutaka hata dakika moja asikike kwamba amekubali yaishe, kaamua bora ajifie mbali. Ujerumani ikasambaratishwa na kuwa kama shamba....

Back
Top Bottom