Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2017. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!
Leo tena...
Hili ni angalizo tu kwa wanaopewa dhamana ya kuwa mawaziri au manaibu uwaziri kuwa mnapoaminiwa na Mheshimiwa Rais kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kamwe msiweke maslahi yenu mbele bali muweke maslahi ya Taifa Mbele na kamwe matendo yenu yasitake kuharibu Image ya mheshimiwa Rais.
Wapo...
Wana JF, ningependa kuwapa historia kidogo. juu ya tulikotoka
Baada ya awamu ya Raisi Mwinyi kuelekea uchaguzi Mkuu kulikuwa joto kubwa na upendezi kuelekea NCCR Mageuzi ambayo mgombea wao wa urais alikuwa ni Lyatonga Mrema. Mrema alifikia umaarufu wa kulinganishwa na Sokoine kwa kupendwa na...
Korona ilipoingia Rais Magufuli alichukua hatua zote stahiki kuzuia.
Katika hali ya kushangaza, Rais huyu asiyelala kwa ajili ya Taifa lake Kitengo cha Usalama BARABARANI kimelala usingizi wa pono.
Rais aliagiza magari na usafiri wa umma watu wasisimame, wakae level seat, baadhi ya daladala...
Salaam wanajamvi,
Itakumbukwa kwamba ujio wa COVID-19 umekuwa ni mtihani mkubwa kwa marais wa mataifa mbalimbali hususani yanayotegemewa kufanya uchaguzi mwaka huu na mwaka ujao. Corona imekuwa ni moja ya mitihani mikubwa mwaka huu.
Niende moja kwa moja nchini (Tanzania), Corona ilipoanza...
Kwa lipi hadi utaje taje Jina la Mungu?
1. Kagera walipopatwa na tetemeko uliwaambia kuwa CCM wala Serikali hawajaleta tetemeko. Hiyo siyo kauli ya mtu anayemcha Mungu.
2. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa risasi wewe kama kiongozi wa kitaifa hujawahi kuja na hatua yoyote dhidi ya tukio hilo...
ALIPOTUTOA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI NA ANAPOTUPELEKA,KWA HAKIKA SASA WATANZANIA TUNAJUA TUNAPOELEKEA.
Leo 13:30pm 06/06/2020
Rais John Pombe Magufuli ametutoa kwenye giza totoro lililoleta kashfa kubwa ya Ufisadi wa Richmond na Escrow na kutupeleka kwenye nuru na mwanga kwa kutujengea Bwawa...
Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
Chama tawala Zimbabwe cha ZANU PF kimeiomba radhi CCM kutokana na matamshi ya kashfa ya aliekua naibu waziri wa habari wa nchi hiyo aliyoyaandika kwenye mtandao wa twitter mwezi uliopita.
Naibu waziri huyo Bwana Mutodi aliandika kwenye mtandao wake wa twitter kua Magufuri kwa maombi bila zuio...
Chadema mkoa wa Tabora wamemshukuru na kumpongeza Rais Magufuli kwa kutoifunga nchi wakati wa Corona.
Akiongea kwa niaba ya uongozi wa mkoa wa Chadema, mbunge wa viti maalumu mh Mwaisonga amesema wao kama chama wanamshukuru Mungu kwa maono aliyompa Rais Magufuli na hatimaye ametuvusha salama...
Nimemsikikiza kwa makini Mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Abdrahman Kinana, kwa taarifa yake aliyotoa kwa Umma kwa kile alichokiita mwenyewe kuwa anaomba msamaha kwa Rais Magufuli kwa yale maneno yaliyonaswa kwenye video clip, ambayo anaamini yalimkera Mheshimiwa Rais
Nimemsikiliza pia...
RISALA YA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA KWA MGENI RASMI MH. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU - JUNI 05, 2020 KATIKA UWANJA WA CCM JAMHURI JIJINI DODOMA
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Rais Magufuli amenukuliwa akisema haya..
Wakati tunaingia madarakani tuliambiwa Tanzania kuna ugonjwa wa Zika, aliyetangaza na aliyetumiwa kutangaza nikamfukuza kazi (bahati mbaya ni Mgogo); Baada ya kumfukuza yule Mgogo aliyesema Tanzania kuna Zika na waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi...
Nina hakika CCM itashinda chaguzi nyingi zijazo na kuendelea kuiongoza nchi hii ya Tanzania.
Sababu kubwa ni ujinga + upumbavu wa Watanzania wengi. Samahani najua nimewakwaza wengi kwa neno upumbavu na ujinga ila haya maneno hayana undugu na matusi.
Leo unatoa shukrani kwa Rais kisa amelipa...
Rais Magufuli amesema kwa taarifa alizopewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba DSM kuna wagonjwa wanne tu wa Corona.
Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo kiti chake peke yake...
Salaam Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania-CWT.
Mkutano huo utafanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, huku watu wote wakitakiwa kuzingatia na kuchukua...
Kiongozi anayefanikiwa kuwaondolea hofu watu wake, kuwaongoza katika kipindi kigumu na kuwavusha salama ndilo hitaji LA Dunia kwa sasa.
Kiongozi anayepanga mikakati, kuisimamia na kufanya maamuzi magumu yenye manufaa kwa nchi take, Huyo ndiye kiongozi bora.
Pamoja na hatua madhubuti...
Ukweli mchungu, Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.
Lissu...
Dunia bado inaendelea kupigana na ugonjwa wa korona. Miezi ya hivi karibuni imekuwa ya heka heka na maamuzi mengi kwa karibu kila mtu duniani kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa. Binafsi nimetumia muda huu kuchukua tahadhari kuzuia maambukizi kwangu, familia na wale wanaonizunguka lakini pia...
Kulingana na report ya Ukaguzi ya CAG 2019/20 Serikali inadaiwa na Mifuko ya Jamii PSSSF kiasi cha zaidi ya Tshs. 700 Bilioni ambazo Serikali imekopa toka PSSSF na haijarudisha/kulipa fedha hizo.
Kuna Habari za kuaminika kwamba fedha hiyo imekopwa kwenda kujengea miradi mikubwa ya Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.