magufuli

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

    Amewaponngeza Watu wa Singida na kufurahi mnama mkoa huo unavyopendeza. Amesema amefurahi kuona Watanzania wakiwa wandelea kuomba kuhusu #COVID19 Rais #Magufuli: Janga la #COVID19 limepungua sana pamoja na kuwa bado hailijaisha. Ndugu zangu tuendelee kuchukua hatua. Katika mkoa wa Singida...
  2. Mohamed Ismail

    JamiiForums Tanzania Tuna imani na rais wetu Magufuli

    Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa siri nyingi zimefichwa kwenye maandishi ndio maana tunavitu vingi tunavyo lakini tunashindwa kuvitumia na waliotangulia kuyafunua hayo maandishi ndio silaha yao wanayoitumia kututumia. Tukiwa kwenye group moja la mitandao ya kijamii, Mchangiaji...
  3. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

    Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema... Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea mpakani na Kenya, Zambia na Rwanda yanaonyesha haja ya umakini kwa Magufuli kuteua wakuu wa mikoa ya mipakani wenye uwezo wa kidiplomasia

    Nakumbuka katika kuteua wakuu wa mikoa muda fulani uliopita, Raisi Magufuli alisema kwamba alikuwa akiteua wakuu wa mikoa ya mipakani wengi wakiwa wanajeshi ili kusaidia katika suala la ulinzi mipakani. Lakini sasa, migongano na nchi jirani za Kenya, Zambia, Rwanda na hata Uganda zimetufundisha...
  5. Observer

    JamiiForums Tanzania CORONA USA: Rais Trump asema anatumia dawa ya Hydrocychloroquine kujikinga na ugonjwa wa Corona, kinyume na ushauri wa wataalam wa afya

    Rais Donald Trump amesema yeye anatumia dawa ya malaria kujilinda dhidi ya ugonjwa wa COVID19, licha ya onyo kutoka kwa serikali yake mwenyewe kwamba inapaswa kutolewa tu kwa ajili ya COVID-19 hospitalini ama katika mazingira ya kiutafiti kutokana na athari mbaya ambazo zinaweza kusababishwa na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ndugai amezidi kumsemea Magufuli, unaweza kudhani yeye ndiye msemaji na mteteaji wa Rais Magufuli!

    Hii tabia ya Ndugai kumsemea Magufuli kwa watu anaokuwa na bifu nao inakera sana. Mtu yeyote mwenye akili anaelewa wazi hii ni saikoloji Ndugai anatumia kuchochea moto kati ya Magufuli na watu ambao Ndugai ana tatizo nao, hasa baada ya kumjua Magufuli ana silka ya namna gani. Ndugai...
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahutubia Taifa au Kanisa?

    Jumapili 17-05-2020 Rais wetu mpendwa aliongea "kutoka KKKT ambapo yeye siyo muumini, ila aliamua kwenda kushiriki Je, Taifa la Tanzania lina dini? Je, Muislamu ililazimika kuangalia ibada ya wakristu, kadhalika wasio Walutheri walazimike kuangalia ibada hiyo ili kumuona Rais akipewa nafasi ya...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anapenda kuona watanzania wakiumia?

    Wakulima wa nchi hii wanauza Mahindi, Mchele, Karanga, Machungwa kwa wingi katika miji ya Mombasa na Nairobi yaani wanategemea soko kwa 60%. Wafanyabiashara wa ng'ombe wa Tanzania ndi wanalisha nairobi na kenya nyama na wanategemea kipato kutoka Kenya. Tunauza mbao kwa wingi nchini Kenya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli Mei 17, akili za kuambiwa changanya na za kwako

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada itifaki yote imezingatiwa. Hapo jana huko Chatto mheshimiwa akitujia mubashara tokea kanisani, mbona ametuachia mengi fikirishi? Yeye mwenyewe aliurejea ule usemi maarufu wa mzee wa msoga kuwa, "akili ya kuambiwa changanya na ya kwako." Tokea Chatto...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai amtaka Mbowe aache tabia ya kujipima ubavu na Mkuu wa nchi Rais Magufuli, aache kabisa!

    Up dates; Spika Ndugai amesema Mbowe kama KUB ni mtu muhimu sana pale bungeni na ni mjumbe wa kamati zote muhimu ikiwemo ya Uongozi, kamati ya haki, kamati ya kanuni na kamati ya bajeti. Pia kama KUB Mbowe anaruhusiwa kusimama bungeni wakati wowote na kuuliza au kushauri chochote tofauti na...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli, kama mwanao aliumwa Covid-19? Ulijuaje na wewe hukubaliani na vipimo na upimaji ulishasitishwa? Kama alipona ulijuaje hana virus? Confusion!

    Hotuba ya Magufuli ilikuwa ya hovyo, very controversial and contradictory...Nimeshangazwa na jinsi alivyokuwa akijichanganya. Mwanzo Upimaji nchini Tanzania ulisimamishwa kwa kisingizio kuwa wakipima wengi wanakuwa positive...Je mtoto wake rais ni katika hao False positive, kama rais anaamini...
  12. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Things Magufuli said and Kenyan Media rediculate him only to be proven right by WHO

    Things JPM said and Kenyan media rediculate him only to be proven right by WHO
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Antonio Nugaz, Haji Manara waguswa na juhudi za Rais Magufuli katika mapambano na Corona, Haji ataka Rais apewe kombe la ligi kuu ikiwezekana

    Msemaji wa Simba ndugu Haji Manara amesema hayo kufuatia hotuba ya Rais Magufuli jana, Jumapili kwamba ataangalia mwenendo wa ugonjwa wa COVID-19 nchini katika wiki hii ili kuona kama anaweza kuruhusu vyuo kufunguliwa na shughuli za michezo kuendelea. Manara amesema kuwa Simba imebakiza muda...
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Watanzania wengi wataishi maisha mazuri Sana muongo mmoja ujao kwasababu ya misingi anayoiweka Magufuli

    Mimi kidogo nimesoma uchumi.Hivyo nitatoa short analysis ya kiuchumi. Miaka kumi ijayo Tanzania itakuwa Kama afrika ya kusini au ureno. Hebu fikiria yafuatayo. Umeme mkubwa wa stiglaz gorge ambao utailuminate nchi yote na bado tukabakiwa na ziada. Mradi wa REA ambao umeiluminate vijiji vingi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Poleni Rais Magufuli na KUB Mbowe kwa vijana wenu kupata maambukizi ya Covid 19, Mungu ni mwema amewaponya

    Namshukuru Mungu kwa ushuhuda wa uponyaji kwa mtoto wa Rais Magufuli kadhalika mtoto wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe. Kwa mujibu wa Rais Magufuli mtoto wake alitibiwa nyumbani kwa tiba zetu za asili ikiwemo kula malimao, tangawizi na kujifukiza na Mungu wa mbinguni amemponya. Naye...
  16. idawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu akanusha taarifa za Tanzania kufunga mpaka na Kenya

    Waziri amekanusha kwenye page yake na kusema habari hizo ni uzushi . BBC mnakwama wapi mbona mmekuwa wazushi hivi.
  17. Niccolo Machiavelli

    JamiiForums Tanzania Magufuli anatupigania WaTanzania. Wengi wetu hatufahamu!

    Nianze kwa kusema mimi sio muumin wa chama chochote cha siasa Tanzania, lakini naipenda sana nchi yangu Tanzania. Nimekua nikimfuatilia kwa ukaribu Rais Magufuli toka ameingia madarakani mwaka 2015. Huyu mzee ni mtu ambaye nimegundua ana nia nzuri na hii nchi, ila tatizo ana maadui wengi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Rais Magufuli amepatia hasa jinsi anavyopambana na Corona

    Binafsi mimi ni mpinzani damu damu. Tokea mfumo wa vyama vingi uanze nimejikuta nikichukua mlengo wa kupenda upinzani. Uchaguzi wa 1995 japo nilikuwa mdogo lakini nilivutiwa sana na NCCR Mageuzi. Kipindi cha akina Mrema, Mabere Marando, Prince Bagenda, Masumbuko Lamwai n.k. Baada ya NCCR...
  19. Witmak255

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dkt. Kalemani alipokuwa ofisi za TANESCO - Geita alivaa barakoa na alipoenda kanisani kujumuika na Rais Magufuli akaivua?

    Hili Jambo limenishangaza kidogo.! Dr. Kaleman leo akiwa Ofisi za TANESCO-GEITA alivaa Barakoa pamoja na wote waliokuwa nae lakini ameenda Kanisani kujumuika na Raisi akavua na kuonesha hali ni shwari na wale wote waliokuwa Kanisani leo hawakuwa na Wala hawakuvaa Barakoa, kuna kitu kilipangwa au?
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020. Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito. Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao. Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara. ======...
Back
Top Bottom