Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,326
- 24,192
Wana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono.
Sijaanza kampeni hapana.
Ila mwaka huu tunajua ni mwaka wa uchaguzi wa Rais na wabunge.
Wabunge twaweza kuwaondoa lakini kwa Rais chonde chonde tumwache aendelee.
Sababu zangu kimsingi ni miradi miwili mikubwa ambayo Mh Magufuli angeachwa aimalizie .
Wa kwanza muhimu sana ni ue wa Umeme wa Stiegler, na wa pili hi huu wa SGR.
Uchumi umeyumba siyo siri akini hata huko Ulaya na Marekani hali ni hiyo hiyo.
Tumwachie kipindi cha pili Mh Magufuli ili ingalau akamilishe hii miradi na tutamkumbuka maana hii miradi itpaisha uchumi.